Search results

 1. aise

  Mashabiki walivyojitokeza kumpokea Zari Mlimani City

  Tiffa ni muha hata mama yake ampeleke south Ila sisi tunajua Tiffa ni mtoto wa kigoma. 😂😂😂
 2. aise

  A stingy man Will make a stingy husband (Wanaume ubahili sio sifa nzuri)

  Ningekuwa na Girlfriend ningelijibu hili swali lako
 3. aise

  Ukweli mchungu: Ndoa za sasa zinaishi kimwili wakati kiroho zilishakufa

  kwa ninayo yashuhudia kuoa unapaswa ujitoe akili kidogo
 4. aise

  Mwanamke wa hivi anamaanisha nini?

  Kaka hela unayo? au unampelekea maua kama nyuki...
 5. aise

  Maisha ya urafiki na jambazi la kike chuoni

  Marafiki wa aina hiyo huwa mnawapataje?
 6. aise

  Mapenzi yamenilevya(Love Hangover)

  Ngoja nimtafute Ras Simba! Kwamba kwa lugha ya kawaida una maanisha hakuna wa kuja kutatua matatizo yetu kama wenyewe hatuyatatui au, Senti kayumba inaniyumbisha
 7. aise

  Mapenzi yamenilevya(Love Hangover)

  Wakubwa mnafaidi aise
 8. aise

  Ni kwanini mtu akikuacha huwa anapenda kukuona ukiteseka juu yake au umpoteza mwelekeo wa maisha?

  Hata wewe ukimchapa bakora mtu matarajio yako alie, asipolia unaweza kulia wewe.
 9. aise

  Inawezeka kufanikiwa bila kurithi mali za wazee au za ndugu wengine?

  Kwakweli mpaka hapa inaonekana "haujawa" ila "unatarajia kuwa". Kama ni hivyo kwakweli sote tunataraji kuwa.
 10. aise

  Inawezeka kufanikiwa bila kurithi mali za wazee au za ndugu wengine?

  Habari gani ikiwa yote hayo yanafanyika na bado hakuna cha ajabu?
 11. aise

  Inawezeka kufanikiwa bila kurithi mali za wazee au za ndugu wengine?

  Maoni yako yanataja 1, Bahati 2, Uwezo wa kuijongeza. Je, hayo yanapatikani vipi? Unaweza kuyafafanua? Je, hayo yamekusadia wewe au ndugu yako ypyote?
 12. aise

  Inawezeka kufanikiwa bila kurithi mali za wazee au za ndugu wengine?

  Kwakweli mafanikio ninayozungumzia hapa siyo kujenga nyumba Kibaha na Kununua IST ya kupelekea watoto shule. Hayo yenyewe no kawaida kwa kila mwenye juhudi bila kujali ametokea familia gani anaweza kuyafikia. Ninachozungumzia Mimi zile hela na mali zenye kichwa na miguu.
 13. aise

  Inawezeka kufanikiwa bila kurithi mali za wazee au za ndugu wengine?

  Mafanikio ninayizungumzia hapa siyo nyumba ya kulala au gari! Hayo MTU ukijipinda inawezekana! Nazungumzia Business Empire kama ulivyo itaja mwenyewe. Nashukuru umenielewa.
 14. aise

  Inawezeka kufanikiwa bila kurithi mali za wazee au za ndugu wengine?

  Ungejua hapa sina baba wala mama, sina mjomba wala shangazi wa kumwelezea shida zangu usingeandika hayo!
 15. aise

  Inawezeka kufanikiwa bila kurithi mali za wazee au za ndugu wengine?

  Hivi kweli mtu darasa la saba, mtoto wa mkulima mjukuu wake mkulima, inawezekana kufanikiwa kiuchumi bila kubebwa? Kuna mtu anaweza kuthibitisha hili? Mafanikio nayozungumzia hapa ni walau kuwa na billions za Kitanzania.
Top Bottom