Search results

 1. Preta

  TANZIA Arusha Wing tumepata msiba wa mwenzetu Freetown

  Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuwajulisha members wote kuwa, mwenzetu Freetown hatunae tena,ametwaliwa kutoka kwenye ulimwengu huu. Kwa members wa zamani, nadhani mtakuwa mnaifahamu hii ID vizuri. Kwa wale tuliofanikiwa kusafiri pamoja kuelekea Tarangire kipindi kile, niwape pole sana kwa...
 2. Preta

  TAHADHARI: Kituo cha Mafuta Triple A Arusha ni wezi

  Kwa kuwatahadharisha tu wale weekenders wezangu, epukeni kuweka mafuta pale hasa nyakati za usiku. Kuna kaka mmoja yeye ndio bingwa wa kuchezea pump, baada ya kumshtukia alidai pump sio nzima ni mbovu na kuifunga muda ule ule. Kwa anaemfahamu mmliki wake (Laseko) tafadhali amjulishe kuwa...
 3. Preta

  Adenomyosis ni nini hasa...?

  Heshima kwenu nyote... Naomba kujulishwa......adenomyosis ni ugonjwa gani......chanzo chake....tiba yake...na kwa kiswahili unaitwa nini......??.. Kwa heshima na taadhima naomba nisiambiwe nigoogle.......maana ningekuwa naelewa....singeuliza........ Asanteni sana
 4. Preta

  Nyie wakazi wa Kiborloni......

  Hii kitu imehamia wapi.......?... Nimeitafuta sana juzi juzi bila mafanikio.......
 5. Preta

  KILI MARATHON.......

  Watu wote wenye afya tupo huku......hebu niambie upo angle ipi.......
 6. Preta

  Mhe. Rais, tunakukumbusha hili kabla hujaondoka Arusha

  Kwa kuwa kiongozi wetu mkuu wa nchi upo hapo Arusha..........tungeomba usiondoke bila kushughulikia hili swala...... Kadri siku zinavyozidi kwenda.......hili jipu linazidi kuiva........na kwa sababu una shughuli nyingi.....tumeonelea tukukumbushekumbushe ili usijeondoka bila kulitia...
 7. Preta

  TAA hiki ni nini.....?

  Aibu zingine waTanzania tunajitakia....... Kweli hili ni bango la kusema ndio unaingia uwanja wa kimataifa namna hii......?.....mmekuwa mkipishana angani kwenda kwenye viwanja vya wenzenu.....hamuwezi kutoa mifano huko......?...... Muonekano wa mwenye nyumba huanza kuthaminiwa kuanzia...
 8. Preta

  My best shot...onyesha yako...

  Hii ni Serengeti National Park...Seronera....... Mimi ni noma......
 9. Preta

  Karibuni marafiki zangu

  Nimeona niwaalike hapa kwa Mromboo tupate mbuzi kidogo. Njooni tutafakari mustakabali wa taifa letu, kama vijana tutalikomboa vipi.
 10. Preta

  Natafuta hivi viatu

  Kwa yeyote yule anayefahamu sehemu nitakapovipata........tafadhali anijulishe......... Ni viatu ambavyo ni vyepesi........na havichoshi........ asanteni sana.............
 11. Preta

  Pamoja na yote, kupendeza anapendeza sana

  Rais wangu nadhifu jamani.........leo kaingia mkutanoni kachomekea.......duniani zaidi ya Obama na Kikwete nani mwingine anachomekea.........?........Aaaaaah.......sifa zake tumpe bana........RAIS KAPENDEZA........
 12. Preta

  Rostam aishukia Serikali, aitaka iache kupitisha sheria kandamizi

  Aliyekuwa Mbunge wa Igunga kupitia CCM na baadae kujiuzulu, Rostam Aziz ameishukia vibaya Serikali ya CCM akiitaka iache kukandamiza wananchi na vyombo vya habari. Bwana Rostam alikuwa akiongea leo Serena Hotel, Dar ambapo wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT) waliongea na waandishi...
 13. Preta

  Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

  Haiyaaa haiyaaaa.......... Wale wadau wa hili game........ni msimu mwingine tena umewadia wa kuburudisha mioyo yetu........ Ni leo tar 5 Oct........saa mbili usiku kwa saa za kwetu bongo......(SA ni saa moja huko)....... Basi sawa.........tukutane hiyo mida mida tukonge nyoyo zetu...
 14. Preta

  Hapa nafanyaje........?

  Simu inaniambia......Unfortunately, the process com.android.phone has stopped........ Hii itakuwa ni nini........?
 15. Preta

  Star TV hao.........

  Division 5 piga ua......ni lazima iwepo......
 16. Preta

  Precision Air, hii ndio Customer Care mliyofunzwa?

  Nimebook flight ya wageni wangu kutoka Arusha kwenda Zanzibar na kurudi Arusha.....mmewapeleka vizuri........siku ya kurudi nimere-confirm na mkanihakikishia hiyo flight ipo.......wageni wangu wamecheck in saa 1215......kumbe mmecancel hiyo flight lakini hamkuwaambia........kwa nini wakati wana...
 17. Preta

  Kuahirishwa kwa Safari ya Mwanza......

  Kwa heshima na taadhima.........naomba nisogee mbele yenu.....(kwa niaba ya Arusha Wing).......kwa masikitiko......kuwaeleza wale wote waliokuwa wanatutarajia wageni wao kutoka Arusha kuelekea Mwanza.......kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu........(majukumu kuzidi)......tutashindwa...
 18. Preta

  Engine ya D-4 na VVT-i....nini tofauti...?

  Wale wapenzi wa toys kubwa kubwa.......naomba mnieleweshe tofauti kati ya hizo engine tajwa.....na kwa nini watu wengi wapo makini sana kujiepusha na D-4.........na kuifagilia VVT-i.........?
 19. Preta

  Ka simu haka kananisumbua.....

  Nimevunja kibubu changu nikajipatia ka Galaxy S4 mini.......mwenyewe roho kwatu......... Sasa mahali ambapo sikaelewi......ni pale simu inapoingia basi kanaanza kutaja ile namba......yaani kanaongea.......au kama nimesave jina utasikia.......call from mtu chake.......call from mtu...
 20. Preta

  JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

  Haiyaaa haiyaaaaa........wale wazee wa kula bata......mabilionea wa Chugga.........kama ilivyo kawaida yetu.......December ndio hiyo...... Sasa basi.........mwaka huu upepo unaelekea kanda ya ziwa......MWANZA......yes..........Sato na Nembe hamna bahati......... Ni tarehe 27th December...
Top Bottom