Search results

 1. Entim

  ARUSHA kwa Mrombo; Biashara ya nyama choma yaanza kudorora, kisa COVID 19

  Wakuu Wasalaam, Leo nimetokea Babati to Arusha, nimepita kwa Mrombo kupata nyama choma, nimekuta gumzo kubwa. Vijana wachoma nyama wakaniambia Hotuba ya leo inadai Vipimo vya maabara ya Kitaifa imeonyesha kuwa nyama ya mbuzi ina homa kali ya mapafu, aina ya korona ( COVID 19). Nipo hapa...
 2. Entim

  Mhe. Paul Makonda; ziko wapi salamu za pole kwa wafiwa wa TBC? Ulihudhuria mazishi?

  Mhe. Paul C. Makonda, Mkuu wa Mkoa, Heri ya Pasaka! Tunasikitika kukujulisha kuwa Taasisi kubwa ya TBC na Taifa kwa ujumla limepata pigo kubwa la kuondokewa na wapendwa wetu ambao ni watumishi wa TBC. Hata hivyo, tofauti na utamaduni wako wa kujitokeza hadharani mara kwa mara, umeamua kutulia...
 3. Entim

  Baba Askofu Gwajima; tunaomba msaada wa kuwaombea wagonjwa waliothibitika kuwa na COVID-19

  SHALOM Baba Askofu Josephat Gwajima, Mimi ni muumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, nipo Mkoani (Mtwara). [emoji975]Huu ni muafaka wa kuwatembelea wagonjwa waliopo tawi la Hospitali ya Muhimbili (Mloganzila), hususani wale wenye maambuzi ya virusi aina ya COVID-19. [emoji975]Hawa wanahitaji...
 4. Entim

  Msaada; Basi Luxury toka Mbeya kwenda Mwanza

  Wakuu Umofia kwenu. Ninaomba kuulizia aina ya basi LUXURY linalofanya safari zake kutoka Mwanza kwenda Jiji la Mbeya. Na mara nyingi hufika saa ngapi Mwanza? Nataka kuunganisha safari kwenda hadi Magu. Sent using Jamii Forums mobile app
 5. Entim

  Mhe. William Lukuvi: Misungwi DC wanadhulumu ardhi za wanyonge

  Mhe. William Lukuvi, Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi. Sisi wananchi wa Halmashauri ya Misungwi tunaonewa sana. Miaka ya nyuma, watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi wakiongozwa na ndugu Magesa na Nyasebwa walingia kwenye maeneo yetu (Idetemya, Ngudama, Bukumbi, Fela, Ng'ombe...
 6. Entim

  Wilaya ya Misungwi inadhulumu ardhi za wananchi

  Mhe. William Lukuvi, Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, "ARDHI YA WANYONGE IMEPORWA NA TUNALAZIMIKA KULIPIA UPIMAJI SHIRIKISHI" Mhe. Kwanza tunakupongeza kwa kwa juhudi zako za kuhakikisha zoezi la upimaji shirikishi linaendeshwa kwa gharama nafuu na sisi wananchi wa Misungwi DC...
 7. Entim

  Hotel nzuri ya kufikia Singida mjini

  Wakuu, Mwenyeji au mwenye uzoefu na hoteli nzuri za Singida anisaidie. Bajet yangu ni minimum TZS 25,000 na maximum TZS 40,000 per night. Sipendi bendi za usiku, stand, nyumba za ibada, nk. Nahitaji utulivu na usalama wa hali ya juu.. Nimekuwa nikitumia hili jukwaa kupata huduma za malazi...
 8. Entim

  BASI SUPER LUXURY TABORA KWENDA ARUSHA

  Wadau naombeni msaada; basi gani zuri super luxury linatoka maeneo haya. 1. Tabora to Arusha 2. Tabora to Mbeya
 9. Entim

  Mhe. Kangi Lugola tunaomba uwamulike matrafiki wa Vituo vya Tengeru na Usa River Mkoani Arusha

  Mhe. Waziri wa Mambo ya Ndani, tunaomba sana uunde timu maalum ya kuwachunguza matrafiki wa vituo vya Tengeru na Usa River, mkoani Arusha. Wamezidi kuonea madereva na kuwabambikiza makosa yasiokuwa ya maana, ukikataa kutoa rushwa wanakuzungusha hovyo, na kukutisha kuwa wana uwezo wa kukagua gari...
 10. Entim

  Mhe. Kangi Lugola ( Mb.) tunaomba uwamulike matrafiki wa Usalama barabarani kituo cha Usa River, Mkoani Arusha.

  Mhe. Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani, tunasikitika kukujulisha kuwa matrafiki wa Mkoa wa Arusha, haswa vituo vya Tengeru na Usa River wamezidi kuonea madereva. Ninaomba utume timu maalim iwachunguze, ikiwezekana uwawekee mitego maalam. Rushwa ni adui wa haki, kuonea watu barabarani kwa...
 11. Entim

  Trafiki kanitoza fine tzs 30,000 kisa kizimamoto haijakaguliwa

  Trafiki wanatoza fine kama fire extinguisher haijakaguluwa?
 12. Entim

  NATAFUTA MAKONTENA

  Wadau nina shida ya containers za futi 20 ( jumla 4) na futi 40 ( jumla 1). Naombeni msaada wapi pa kupata. Nipo Mtwara ila naweza kuyafuata Mikoani kama Dar, Lindi, Pwani..
 13. Entim

  TARURA Mwanza; majaribio ya mfumo wa parking imetawaliwa na dhuluma na rushwa

  Wadau, Mfumo wa kulipia parking jijini Mwanza unaoratibiwa na TARURA imejaa dhuluma tupu. Issue iko hivi; ukingia jijini Mwanza ukapaki gari lako sehemu wanapita watu/agents wa TARURA fasta na kupiga picha gari lako kimya kimya bila kumtafuta mwenye gari wanatuma TARURA. Wewe unakuja hujui...
 14. Entim

  Msaada: Hotel nzuri Dar, maeneo Sinza au Mwenge

  Wadau kwema, Naomba msaada, mwenye kufahamu hotel nzuri maeneo ya Mwenge au Sinza. Isiwe na kelele za Bar, Night Club au Kumbi za Harusi. Budghet yangu TZS 20,000 hadi TZS 35,000. Yaani iwe na madhari nzuri na usalama 100%.
 15. Entim

  Msaada nahitaji radiator ya gari hapa Dar

  Wadau wa magari, Salaam, radiator ya gari yangu V8 natafura radiator
 16. Entim

  Wapi bibi yangu Faiza foxy

  Faiza foxy uko wapi mama? Mara ya mwisho kumsifia asiyejal(r)ibiwa ni Nivomba 2015
 17. Entim

  Natafuta spare za hillux double cabin 3Y

  Wadau nipo Dar natokea Mtwara; shida yangu ni spare za hillux d. Cabin petrol engine (3Y ) 1995 cc 2000. Nipo maeneo ya Gerezani/k.koo. Note: Nahitaji kuelekezwa duka au maduka yenye genuine spare parts (mpya sitaki used): 1. Shock ups za mbele na nyuma 2. Boll joints ( mfumo wa mbele) 3...
 18. Entim

  Msaada: Hotel nzuri ya kufikia Mbeya city. Tzs 20 to 30 per night

  Wakuu, Za jumapili. Next week nataraji kutembelea mkoa wa Mbeya sijawahi kufika. Naombeni msaada hotel nzuri mbeya mjini; hali uchumi siyo nzuri hivyo kuanzia Tzs 15,000 hadi 25,000 per night nitamudu bila shaka.
 19. Entim

  Msaada: Gari yangu inatumia mafuta sana

  Wakuu, Nini sababu ya gari yangu inatumia mafuta. Nimeangalia mfumo wa engine yake haitimii curburator, ni direct injection. Aina: Hillux double cabin Fuel: petrol engine Cc: 1998 (approx 2000cc) Milleage: 150,000km Note: Pressure tyre huwa nakagua iko safi, napita lami hivyo mara kwa mara...
 20. Entim

  Weka hapa orodha ya watu mbalimbali waliowatabiria vifo watu wengine

  Wanajamvi, Umuofia kwenu. Awali ya yote nawasalimu akina mama wenzangu na akina baba pia. Mimi ni mmoja wa watu walioshuhudia vifo, pengine kuliko watu wote humu. Haswaaaa...Rwanda genocide ya 1993/4 nikiwa na wazazi wangu Ngara tulishuhudia miili ikielea mtoni Rusumo. Any way, mada yangu ni...
Top Bottom