Search results

 1. Designer_3434

  INAUMA SANA

  inauma sana pale unapompenda mtu alafu yeye anakuchukulia poa.
 2. Designer_3434

  WAKUU NAOMBA MSAADA KWA HILI.

  Nimedownload App ya POPCORN TIME, Ila inagoma kuangalia Movie inasema niakitivet VPN, nami sina hela ya kulipia, Kwa hiyo naomba kama kuna mtu anajua jinsi ya kuangalia bure anisaidie tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Designer_3434

  Natafuta game la drafti

  Natafuta Game la Drafti lile amblo unacheza na mwanamke anavua kila ukimshida. Sent using Jamii Forums mobile app
 4. Designer_3434

  NAOMBA KUFAHAMISHWA TAFADHALI.

  Maana ya Jina la Gladness kwenye Bibilia Limo, Pia Naomba kujua Hili Jina kwa kiswahili Linaitwaje? Tusaidiane wakuu. Sent using Jamii Forums mobile app
 5. Designer_3434

  Karibu wote.

  Christmas ndo imeanza Karibu Wapendwa.
 6. Designer_3434

  Msaada unahitaji hapa

  Natafuta movie ya Vantage point YouTube, kwa yule alie na link ya kuipata hii movie msaada naomba anipatie.
 7. Designer_3434

  Nina shida, nahitaji mkopo wa haraka haraka

  Husika na kichwa cha Habari hapo juu, Natafuta mkopo wa haraka haraka, natafuta kiasi cha laki na nusu tu nitarejesha baada ya wiki mbili. Tafadhali naomba kusaidiwa. Yesu Anaponya.
 8. Designer_3434

  Ushauri Wapendwa

  Nataka kununua Gari ya Matumizi ya Nyumbani, kwa hiyo Naomba ushauri wenu, Ipi Gari nzuri kwa Matumizi ya Nyumbani, Bajeti yangu Mlioni Ishilini tu?
 9. Designer_3434

  Shukuru kwa kila jambo

  Kama kichwa cha habari kinavyo jieleze, Mwaka 2017 ukawe na Baraka, Amani, na Upendo, kwako Rafiki yangu. Nikutakie Mwaka 2017 wa Amani Rafiki yangu.
 10. Designer_3434

  Nataka kuoa.

  Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza Wadau, nipo kwenye Mchakato karibu sana.
 11. Designer_3434

  Sikukuu njema member wote

  Usiache kwenda Kanisani kesho. Asante sana
 12. Designer_3434

  Naomba tusaidizane hapa Wadau.

  Natumia simu aina ya Sony Xperia Z1 sasa wadungu imejifunga na sijui itaifunguaje, so kwa yule anae fahamu kufungua ,Naomba Anisaidie kufungua, imejilock na Lock za Pattern?
Top Bottom