Search results

 1. Allan Clement

  Tumeshateka mamilioni ya kura, sasa ni wakati wa kuteka mioyo ya wapiga kura

  Nawasalimu ndugu zangu, huku kipekee kabisa nikipongeza ushindi wa JF kwenye baadhi ya kesi zinazoendelea huko! naamini tutashinda zote, Ni wazi kuwa JamiiForums ni mahali salama kabisa kwasasa, na tuendelee kuomba Mungu sehemu hii iendelee kuwa salama tena! Nikirudi kwenye uzi wangu, mtu...
 2. Allan Clement

  Sioni kosa la OCD wa Hai kumwambia Mbowe kuwa hatomshinda Mgombea wa CCM

  'Hutashinda!, nani kakuambia utashinda? Unawadanganya wananchi wako kuwa utamshinda huyo?.. HUTASHINDA HATA UFANYAJE" Hayo ni maneno niliyojaribu kuyanukuu kutoka kwenye ile video inayoendelea kutrend kwasasa, Kama tujuavyo wapinzani wamelalamika mara nyingi kuhusu mwenendo wa jeshi la polisi...
 3. Allan Clement

  TFF, Bodi ya Ligi na Azam TV wanahujumu soka la Bongo

  Kwa akili ya kawaida sana katika hali tuliyo nayo ya kiangazi na joto kali. Unalazimisha vipi timu zicheze saa 8 kamili mchana wakati wa jua kali, na wakati huo huo kuna timu zinakaa siku 6-8 bila kucheza. Ulazima huu wa saa 8 unatokea wapi? Kama ni suala la mechi zote kuonyeshwa kwanini...
 4. Allan Clement

  azam kutoa la-liga, na kuleta bundasilga ,nini maoni yako?

  kwangu mimi naona huku ni kuchemka kabisa kama EPL imeshindikana ni bora tungebaki Spain, na la liga yetu, ambapo walau kuna mabingwa wawili, Barcelona na Real Madrid, kuliko huku ambapo unaona kabisa Bayern anatawala peke yake, wewe unaonaje
 5. Allan Clement

  Wanafunzi wakifaulu wanasifia miundombinu, wakifeli wanalaumu walimu

  Tumeona baada ya matokeo ya form six kutangazwa na shule nyingi za Serikali kuingia kwenye 10 bora, sasa wameibuka wanasiasa, wakijinasibu namna matokeo hayo yalivyopatikana, wengi wanasifia majengo waliyojenga, madawati waliyonunua, na baadhi husifia jitihada za wazazi kusimamia watoto wao...
 6. Allan Clement

  Hima wabunge mtakaorudi 2020 himizeni FAO la kujitoa

  Mtakubaliana na Mimi kwasasa Kuna wimbi kubwa la wafanyakazi wanaoacha kazi kutokana na maisha magumu, Miaka 6 hii itabaki kwenye kumbu umbu ya vizazi na vizazi kwa watumishi wa Umma. Hakuna asiyejua "kichapo" kwa watumishi wa Umma na kupelekea kupoteza points zote tatu kwa miaka mitano...
 7. Allan Clement

  Hivi ile bodi ya mishahara iliishia wapi?

  Mara ya mwisho tuliona waziri Mkuu akiongea na wajumbe wa bodi hiyo akiwataka wafanye bidii kuweka sawa mapendekezo Yao . Ikumbukwe mheshimiwa Raise alishatoa maelekezo na kuleta natumaini makubwa kuwa mfanyakazi angelipwa kutokana na kazi yake Sasa wajumbe wa hii bodi wameenda wapi Tena? Au...
 8. Allan Clement

  Hili la wafanyakazi tu likitumika vizuri yeyote anaweza kuvuna points tatu

  Pamoja na kwamba wafanyakazi wote nchi hii walioajiriwa serikalini hawafiki millioni moja, Lakini ni ukweli usiopingika kuwa Kila ukoo, au pengine Kila familia kuna mfanyakazi, Ama tuseme Kila mtu Ana ndugu yake aliyeajiriwa serikalini! Awamu hii pengine ndio ambayo maisha ya wafanyakazi...
 9. Allan Clement

  Kwa wagombea Urais 2020 : kura zaidi ya laki mbili hizi hapa...

  Kuna hili jimbo lenye kura laki 2 za bure kabisa bila kutumia jasho jingi. Jimbo hili limetelekezwa toka 2015, Wananchi wake wanasononeka na kunung'unika. Naona hata Tundu Lisu kwenye hotuba yake amesahau hili Jimbo. Ikumbukwe hizi kura zaidi ya laki mbili zinaweza kuongezeka kutokana na...
 10. Allan Clement

  NMB mnakwama wapi? Mnangoja nini?

  Tayari CRDB wamepunguza riba yao ya mikopo Mpaka 14% ila naona NMB mpo kimya tu as if nothing happened. Acheni Roho mbaya kama baba yenu...
 11. Allan Clement

  Poleni wafanyakazi wenzangu, labda kuna kicheko huko mbele

  Miaka mitano au sita. Kwa wale walioajiriwa 2014 hawajapanda daraja kwa miaka yote sita (6). Kwa wale wengine ni miaka 5 bila ile nyongeza, wamepitia changamoto nyingi. Kulikuwa na dalili nzuri sana lakini ndio hivyo tena tukapata janga hili la "Kovidi19/20" Wenyewe wanasema bado haijulikani...
 12. Allan Clement

  Aliyefanikiwa kupata namba yake ya utambulisho NIDA kupitia tovuti atoe ushuhuda

  Sijajua kama ni mimi tu lakini kiukweli kila ninavyojaribu kuingiza taarifa zangu kwenye website ya NIDA ili nipate NIN kama wenyewe wanvyoita nimeshindwa kabisa. Kama yupo/wapo ambaye amefanikiwa kupata kupitia tovuti aweke hapa namna alivyofanikisha ili tupunguze foleni kule.
 13. Allan Clement

  Ni kuwa Hawa Letshego (Faidika) wako juu ya sheria ama?

  Hii taasisi ya kukopesha watumishi wa Uma Faidika au Letshego inakiuka kanuni na taratibu za utoaji mikopo mathalani kupandisha riba bila taarifa mpaka kupitiliza na hii wameanza mwezi wa 9... Lakini kama haitoshi pindi unapotaka kufuta mkopo inakulazimu mpaka kuanza kutishiana maisha maana sio...
 14. Allan Clement

  Ni kweli TFF wanashindwa kupanga ratiba ya ligi, kuepuka viporo au wanafanya makusudi?

  Nashindwa kuelewa Ni dharau, makusudi au Ni kweli TFF wanashindwa kupanga hii ratiba? Angalia timu zipo mechi za 11 nyingine, 9, 8, 7, 5, 10!
 15. Allan Clement

  TFF mdhamini ligi kuu 2019/2020 vipi?

  Naona mpaka Sasa kimya ,jumamosi ni ngao ya hisani kuashiria ufunguzi wa ligi kuu... Lakini naona TFF Wala hamna habari na kutangaza mdhamini, achilia mbali zawadi kwa mshindi wa mwaka Jana, Hivi mnaona ugumu gani kujiuzulu kwenye hizo nafasi??
 16. Allan Clement

  Kwa Hili la wimbo wa Simba (official audio) viongozi Simba mmeleta utani!!

  Kwa bahati mbaya Sana Mimi ninayeandika ninapenda Sana nyimbo! (Muziki) na mbaya zaidi naipenda Sana Simba! Mimi Ni miongoni mwa tuliosubiria kwa hamu ujio rasmi wa wimbo huu! Mara nyingi nimesikiliza Sana wimbo wa Real Madrid, Dortmund na baadhi ... #Huu wimbo kwakweli una mapungufu mengi...
 17. Allan Clement

  Naam Julai nayo hii imepita ...hakuna nyongeza!

  Naam! Kama mlivyoona salary imetoka bila kuwa hata na nyongeza! Kwa maana hiyo ni mwaka Wa 4 sasa huu,... Nashauri yafuatayo kwa wafanyakazi wenzangu... 1. Kama tumeweza kuishi bila hiyo nyongeza kwa miaka 4 na hatujafa! Bado tunaweza kuendelea kusurvival ....naamini ni kipindi tu cha mpito...
 18. Allan Clement

  Nahitaji mwanasheria

  Wapendwa, Naomba kwa mwanasheria yoyote ambaye atakua tayari kunisaidia naomba tuwasiliane pm ... Kuna Jambo ambalo nahitaji msaada na muongozo , Na hatimaye kufungua kesi ... Na anisimamie hiyo kesi .. Maelezo yote tutapeana, Natanguliza shukran
 19. Allan Clement

  Nani atamfunga paka kengele?

  hapo zamani za kale kulikua na kijiji kimoja cha panya, kijiji kile kilikua na panya wengi na waliendelea kuongezeka siku hadi siku! ilitukia siku moja panya wakaanza kupotea, na wengine wakakutwa porini na sehemu nyingine wakiwa tayari wamekufa, wengine walikutwa wakiwa hawana vichwa, au viungo...
 20. Allan Clement

  Nini kilichotokea kwenye hii mechi ya man u vs Spur 4/2/2017

  Kwa bahati sikuweza kuangalia hii mechi Kipindi hicho lakini juzi kupitia Man u tv niliona hii game kwenye dakika ya 70 na kuendelea kipa wa man akaumia na ikabdi John oshea akae golini! Je sub ziliisha ama?
Top Bottom