Search results

 1. M

  Bei za mafuta katika nchi mbalimbali duniani

  Nimeanzisha thread hii tusaidiane kujua bei za mafuta katika nchi mbali mbali. Hii itatusaidia tujue iwapo Tanzania bei zake tunapigwa au lah hasa wakati huu ambapo bei ya crude oil inaporomoka. Maana kuna mdau humu anaandika kuwa Marekani wese sh 200 inawezekanaje? Wale mlioko nje ya Nchi...
 2. M

  Talk peace, SADC urges Rwanda, Uganda

  SADC has urged Rwanda and Uganda to consider engaging all the negative forces in a quest for a lasting political solution in the Great Lakes Region. The call was extended at the Extraodinary Summit of the Heads of State and Government of the SADC held in Maputo on Saturday, 15 June, 2013. "The...
 3. M

  Eskom applies for power tariff increase of 16% a year

  POWER utility Eskom has asked the National Energy Regulator of South Africa (Nersa) to increase electricity tariffs for the next five years by an average 16% a year. Over the next five years, electricity prices will, therefore, more than double from the current 61c per kilowatt-hour to 128c...
 4. M

  Tutawezaje kupunguza Inflation wakati nchi inaagiza hata 'toothpick'?- Kafulila

  Kafulila, baada ya kuchambua namna ambavyo serikali inashindwa kudhibiti inflation, akamaliza kwa swali hilo...jambo ambalo ni la kweli kabisa. Tanzania inaagiza kuanzia tooth pick hadi ndege, huku ikiacha nafasi za kujitengenezea yaenyewe nguo kwa pamba inayolimwa nchini. Waziri wa fedha...
 5. M

  Uhuni katika mafuta: Baadhi ya wabunge wanaihujumu serikali?

  Wafanya biashara wengi wakubwa wa mafuta ni wajumbe wa kamati ya madini na nishati, ambao inaonekana wana nguvu kubwa kisiasa ya kuweza kuyumbisha hata uchumi wa nchi. Kwa kuwa wamebanwa sana na wanashindwa kupata faida haramu kwenye uchakachuaji, kuiba mafuta yasiyolipiwa kodi, kupungua kwa...
 6. M

  Ajali ya Meli Zanzibar: Meli iliongezewa urefu kienyeji

  Meli iliongezewa urefu kienyeji ;inamilikiwa na kiongozi mmoja wa juu kisiasa visiwani; chanzo cha SUMATRA kupigwa vita visiwani ni ubovu wa meli nyingi huku; baadhi ya makapteni wa meli waliikataa siku nyingi kwa kuwa haikukidhi seaworthiness...
 7. M

  Tanzanian shilling weakest in 17 years

  For those who likes reading: pls read this: Tanzania’s shilling headed for the weakest close in 17 years against the dollar as oil companies sought to buy the U.S. currency to pay for imports. The currency of East Africa’s second-biggest economy currency depreciated as much as 0.8 percent to...
 8. M

  Kame isingekuwepo ewura, hali ya umeme na mafuta ingekuwaje sasa?

  Wana JF, naomba tushirikiane kujibu swali hili, hasa tukizingatia hali ilivyokuwa kabla ya taasisi hii na hali ilivyo baada ya uwepo wake, tukizingatia ukweli na hali halisi. Tutumie mifano hai bila ushabiki wa kisiasa au wa namna yoyote, na ni vema pia kama tutatumia takwimu. Badala ya...
 9. M

  Bomb scare at Kempinski?

  Reports indicate a bomb scare at Kilimanjaro Hotel Kempinski...high presence of security birds...and that the bomb has already been put out of action...scanty details like this is all that i could get, is there anyone with a credible info?
 10. M

  BAKWATA: Hatuutambui waraka wa Waislamu

  Bakwata imetangaza leo kuwa haiutambui waraka uliotolewa na Shura ya Maimamu jana. Imesema hakuna mantiki kwa waislamu kuupinga waraka uliotolewa na Wakristo, halafu waislamu hao hao nao waamue kutoa wao. Watakuwa wametenda jema lipi kama waliona wakristo wamekosea?
 11. M

  12 wafa, 22 majeruhi ajali ya moto shuleni Iringa

  Taarifa za kusitikisha ni kwamba wanafunzi 12 wamefariki kwenye ajali ya moto uliounguza bweni la wanafunzi katika shule ya sekondari Idodi, Iringa. Wengine 22 wamejeruhiwa, kati yao vibaya sana. Mazishi ya pamoja Serikali imeamua kuwazika wanafunzi hao kwenye kaburi moja kutokana na ugumu...
 12. M

  Warusi, Wajerumani, na Wakenya wamemhujumu Tibaijuka?

  Powerful vested interests within the United Nations are suspected to be behind the removal of Mrs Anna Tibaijuka from the helm of the United Nations establishment in Nairobi. “When it became evident that she was to be appointed to the post, they initiated an investigation against her...
 13. M

  Uganda to follow Tanzania footsteps in capital markets

  Nadhani Uganda sasa wanajifunza kwa vitendo...look here guys...Inaonekana Tanzania inaona mbali sana kuliko Uganda? Tanzania ilijihadhari mapema sana juu ya athari za kutokuwa na legal framework ktk haya masoko ya fedha... By CHARLES KAZOOBA, The East African Posted Sunday...
 14. M

  The Much touted Safaricom shares: Watanzania Ingekuwaje kwa hali hii?

  Wakuu, Kenya ililalamika sana kukataliwa Watanzania kununua hisa za Safaricom. Licha ya BoT kueleza kuwa sheria haziruhusu, lakini Kenya ikalalamika kuwa huo si uungwana wa Federation. Kama tusingekuwa wabishi, ingekuwaje sasa wakati ambapo bei zinazidi kuporomoka? Je, twafahamu...
 15. M

  A Counter to Kenyan criticism over Integration process

  Dar is still committed to EA integration with care 2008-09-06 09:36:17 By Theo Mushi In recent times, it has transpired in some economic and political circles that Tanzania was dragging its feet in joining the planned East African Common Market. In an authoritative article...
 16. M

  African Politics: Bacar anakula raha Benin

  Baada ya mzozo wote ule, sasa Bacar yuko Benin, huku wenzake wakiendelea kutoroka jela na pengine kumfuata. What is the political future of the islands if these guys attempt a political come back? Bacar's allies escape from prison afrol News, 21 July - Comoros rebel leader Mohamed Bacar's...
 17. M

  MBEKI: Zimbabwe Not in Crisis

  by Chris Otton 1 hour, 41 minutes ago LUSAKA (AFP) - A summit of southern African leaders called to discuss Zimbabwe's post-election crisis opened Saturday with a plea from its chairman not to ignore their neighbour's plight. With no result declared two weeks after Zimbabwe's...
 18. M

  Tanzania: British Duo Flee Moshi After Death Threats

  [Tanzania: British Duo Flee Moshi After Death Threats The East African (Nairobi) 3 March 2008 Two British investors have fled Moshi in northern Tanzania after receiving persistent death threats in the wake of an invasion of their multimillion shilling Silverdale Farm by a large herd of...
 19. M

  Kurudi kwa JF: Je, nini hatma ya umaarufu wake?

  Wana JF; hapana shaka kuwa kurejea tena kwa JF kutawasisimua sana hata wale ambao hawakuwa wakifuatilia ukumbi huu wa majadiliano. Je, mnadhani baada ya zogo lile kupita, JF itapata umaarufu zaidi au kukamatwa kwa vijana wawili wale kutaipunguzia heshima mbele ya jamii? Mimi nadhani...
 20. M

  Kuruhusiwa Maandamano kupinga ziara ya Joji Kichaka: Je, ni kupanuka kwa demokrasia?

  Wakuu JF, Hivi kuruhusu maandamano ya kupinga ujio wa Joji Kichaka bongo, na polisi kuwasindikiza waandamanaji hao, ni tukio lisilo la kawaida. Je, ni kweli inaashiria kupanuka kwa demokrasia?
Top Bottom