Search results

 1. M

  Mchungaji Faustine aliyefukuzwa Tanzania na kukimbilia Kenya

  nyimbo zake ni SIMU SI MENO KILA MTU AWE NAYO, WAANDISHI WA HABARI, C.C.M IMECHOKA TUSIICHAGUE TENA, MC.C.M INAUA MAALBINO, hizo ni baadhi ya nyimbo zake, WIMBO ULIOMPELEKEA AKAMATWE NA UPIGWE MARUFUKU NI ULE UNAOSEMA CCM IMEKUFA ISIREJESHWE TENA MADARAKANI,HO NDIYO ULIOMPELEKEA APATE MISUKOSUKO...
 2. M

  Huyu abiria lazima katumwa kuvuruga biashara ya kampuni hii

  Si bure unalaana wewe, hv hujui mwendo kasi unaua? et mabasi ya mwanza mengine yalifika saa 2 hujui hayo mabasi yaliendeshwa kwa spidi kubwa sana? kwa taarifa yako kutoka Ukitoka Saa 12 ASBH DAR TO MOR UNAFIKA SAA 4, MORO TO DOM Utafika Saa Nane, DOM TO SING Utafika Saa Kumi SING TO IGUNG Saa...
 3. M

  Huyu abiria lazima katumwa kuvuruga biashara ya kampuni hii

  et nilichelewa kuingia mwanza! halafu ukipata ajari ndo unaanza kulalamika gari lilikuwa mwendo kasi
 4. M

  Hii ndege(5H-ZAI) ni ya nani na hufanya nini kwenye mbuga ya Selous?

  siku c.c.m iking'oka madarakani asilimia tisini matajiri watakufa vifo vya ghafla tu.
 5. M

  Padre Baptist Mapunda atoa somo gumu Songea leo

  Soma sala ya kitubio hapo juu,kwenye hoja yangu
 6. M

  Wabunge wetu, tusaidieni utaratibu mpya wa Mfuko wa bima ya afya NHIF

  kanjibai haajiri makahaba, huyo kajiari mwenyewe kwa macheni
 7. M

  Wabunge wetu, tusaidieni utaratibu mpya wa Mfuko wa bima ya afya NHIF

  MBAYA ZAIDI TANGU UUNGANISHWE NA BIMA HUJAWAHI KUUGUA HATA MARELIA MWAKA WA 4 SASA,WATEGEMEZI HUNA,WAZAZI HUNA, MKE HUNA, WAKWE HUNA,WATOTO HUNA,makato Ya Bima Hayapungui Ni Yaleyale, HAWA NI WEZI WAKUBWA
 8. M

  Wabunge wetu, tusaidieni utaratibu mpya wa Mfuko wa bima ya afya NHIF

  Tupeleke kilio chetu kwa baba yetu rais jakaya kikwete 0754777775
 9. M

  Wabunge wetu, tusaidieni utaratibu mpya wa Mfuko wa bima ya afya NHIF

  UTATUSAIDIA SANA, Kwanini Wawatoe Watoto Wakifikisha Umri Wa Miaka 18? Kwanini Wanichagulie Watu Wa Kuwaweka? Kwanini Iwe Lazima Kujiunga Na Mfuko Huo? Kwanini Wasiruhusu Ushindani? Kwanini Nafasi Ziwe 6 Ambapo Ukiweka Wakwe Zako Na Wazazi Wako Nafasi Za Watoto Japo 2 Zinakosekana? WATUME...
 10. M

  Sakata la mahakama ya kadhi, CCM ilaumiwe

  Bakwata NI HARAMU Kwasababu Ilianzishwa Na Serikali, IWEJE MAHAKAMA YA KADHI IWE HARALI AMBAYO PIA ITAANZISHWA NA SERIKALI?
 11. M

  Wabunge wetu, tusaidieni utaratibu mpya wa Mfuko wa bima ya afya NHIF

  Tumlilie Rais Wetu Jk 0754777775,ni Msikivu, Kama Aliwasikiliza Wapinzani Wake Atashindwaje Kutusikiliza Sisi?
 12. M

  Wabunge wetu, tusaidieni utaratibu mpya wa Mfuko wa bima ya afya NHIF

  TUMA MESEJI KWA MBUNGE WAKO MUDA HUU ILI KESHO WAIZUNGUMZIE BUNGENI, KIMSINGI BIMA Iwe Hiari.
 13. M

  Wabunge wetu, tusaidieni utaratibu mpya wa Mfuko wa bima ya afya NHIF

  Shule Arudi Wapi Huyo, ANANYEGE ZA PUNDA.MTU ALIJAZWA MIMBA AKIWA DARASA LA SITA LEO UMPE USHAURI WA KWENDA SHULE! USHAURI PEKEE AMBAO UNGEMPA NI KUWA KWENYE POCHI YAKE ASIKOSE KUWEKA KONDOMU ZA DUME. Pia Hao Watoto 5 Alionao Wa Baba Tofauti Wametosha, JENIFER ANAAKILI YA KUVUKIA BARABARA TU NA...
 14. M

  Padre Baptist Mapunda atoa somo gumu Songea leo

  Ee MUNGU Wangu,naja Mbele Yako,natubu Dhambi Zangu Zote,nilipokea RUSHWA Ya PESA,PILAU,KITENGE,TISHETI Na MAKOFIA Nikachagua Chama Hiki,ambacho Sasa Kimenigeuka,kimefisadi Kila Mahali,nikiuza Bidhaa Kariakoo,makoroboi Navamiwa Na Mgambo Wanachukua Bidhaa Zng,nikawa Mama Ntilie Mgambo...
 15. M

  BAKWATA wafanya ufisadi mwengine

  BAKWATA HARAMU, KISA ILIANZISHWA NA SERIKALI, MAHAKAMA YA KADHI HALALI AMBAYO NAYO MNAOMBA IANZISHWE NA SERIKALI YENYE MFUMO KRISTO!! Ama Kweli Ni Heri Kuwa Fukara Wa Mali Kuliko Kuwa Fukara Wa Akili Na Fikra.
 16. M

  Wabunge wetu, tusaidieni utaratibu mpya wa Mfuko wa bima ya afya NHIF

  Jennifa Hy Bima Wewe Uipatie Wapi Kusoma Hukusoma Ulitandikwa Mimba Darasa La Sita Kwa Kiherehere Chako Sasa Upo Nyumbani Kama Golikipa. TUACHE SISI WASOMI TUNAOJITAMBUA NA TULIO KWENYE AJIRA TUJADILI MAMBO YETU.WEWE NENDA KAUZE SAMBUSA YAKO KWA MACHENI NA OHIO STREET.
 17. M

  Wabunge wetu, tusaidieni utaratibu mpya wa Mfuko wa bima ya afya NHIF

  Rais Jakaya Kikwete Tunaomba Uingilie Kati Hapa, Mimi Ninakaka Yangu Ni Mgonjwa Nalazimika Nilipie Matibabu Yake Na Huku Bima Wananikata Na Bado Sina Mke Wala Watoto Nafasi Nazilipia Bure Hawa Bima Ni Sawa Na MAJAMBAZI WAKUBWA HAWA
 18. M

  Wabunge wetu, tusaidieni utaratibu mpya wa Mfuko wa bima ya afya NHIF

  Mimi Nilishaanza, Kwa Kuanza Nilianza Na Mheshimiwa Rais Mwenyewe, Nikaja Kwa Mh Zito,nikamtumia Mh Kigwangala. Nanyi Endelezeeni Kwa Wahemiwa Waliobakia Hadi Wasikie Hiki Kilio Chetu. MADAI YETU YAWE,1.NAFASI ZIONGEZWE TOKA SITA HADI 8,wakwe 2,wazazi 2,wewe Na Mkeo Mpo 2,angalau Watoto 2...
Top Bottom