Search results

 1. T

  Ujenzi wa barabara stendi ya Korogwe

  Kuna ujenzi wa barabara/stendi Ko gowe unaendelea hivi sasa .Hivi sasa ni miezi kibao kama sita hivi imepita kazi inayofanyika hapo haijulikani ni kazi gani.Kuna magari na makatapila yapo hapo kila siku yanazunguka tu na kusababisha msongomano wa magari na kukaribisha ajali. Haijulikani huu ni...
 2. T

  Imekuaje Tundu Lissu ameumia zaidi mguu wa kulia hali ya kuwa alishambuliwa upande wa kushoto

  Sijawahi kuona swali la ajabu kama hili, ajali imetokea bus limepindika na kulalia kulia halafu abiria wa kushoto ndio walioumia, halafu mtu anaanza kuuliza kwa nini wameumia wa kushoto na si wa upande wa kulia lilikolia.Kwa kweli haya ni maswali ya mtu ambae IQ yake ni hafifu sana.
 3. T

  Kero ya usafiri wa kupitia Loliondo

  Ni jambo la ajabu tena kushangaza kulazimisha magari ya Mlandizi via Loliondo. Kama kuna viongozi wa mkoa wa Pwani walipanga magari hayo yapitie Loliondo kwa hakika walikurupuka sana. Nashangaa walisahauje yapitie Tumbi Hospital, Mwanalugali na kwingineko kama ambavyo walikumbuka yapitie...
 4. T

  Nyama ya nguruwe yachangia ugonjwa wa kifafa – Daktari

  Wanyama wote tufugao akiwemo nguruwe wanaweza kupata maambukizo mbali mbali ya magonjwa.Sio nguruwe tu ana tegu na maradhi mengine lakini hata ng'ombe na mbuzi au kondoo wanaweza kupata maambukizo ya magonjwa.Moja ya kazi za bwana afya ni kupima nyama zote za vitoweo kubaini magonjwa mbali...
 5. T

  Kwanini kabila la Watusi halipo miongoni ya makabila yanayopatikana nchini wakati limekuwepo kwa muda mrefu?

  Umesema ni kabila ambalo limetapaa miongoni mwa mikoa ya Tanzania lakini ni kabila ambalo sio miongoni mwa makabila ya Tanzania.Lakini kule kutapakaa na kuonekana hapa nchini ni tayari ni miongoni mwa makabila ya Tanzania kwa sababu wapo na wametapakaa.
 6. T

  Kituo cha mwendokasi Kimara, ni jehanamu ya abiria

  Maelefu ya abiria wanaorundikana kituo cha mabasi ya mwendokasi Kimara mateso yake yanafanana moto wa jehanamu. Hakuna sababu yeyote ya maana ya kuwarundika abiria wote hapo zaidi ya kupigania nauli ya sh. 400 tu. Abiria wote wanaochukuliwa Mbezi Luisi kwenda mjini hakuna hata mmoja ambae hua...
 7. T

  Halotel rekebisheni lugha yenu kwenye matangazo yenu

  Badala ya kutumia Kiswahili fasaha Halotel hupenda kutumia kiswahili cha mtaani au cha Kizaramo kama hivi: HAUNA salio la kutosha.... badala ya kiswahili fasaha cha;HUNA salio la kutosha...Hauna hutumika kama vile; Muungano huu HAUNA faida kwa upande mwingine na huwezi kusema;Muungano huu HUNA...
 8. T

  Hongera jeshi la polisi kufanikiwa kupata simu yangu S10+ ndani ya 24 toka imeibwa

  Niliibiwa TV na simu 2 vyote thamani yake yake zaidi ya milioni 2 na nusu.Nilipoenda polisi na kutaka kuifuatilia simu kitengo cha Cyber crime bahati nzuri alifika mkuu wa kituo cha polisi na kutaka kujua zaidi nini shida yangu.Nilipoeleza alinijibu kwa mshangao mkubwa kuwa hajawahi kuona...
 9. T

  Halotel mna tabia ya ajabu mno

  Likiwa ni shirika kubwa la mawasiliano hapa nchini lakini haliendani kabisa na mambo wanayowafanyia wateja wake. Katika huduma ya nipige tafu hapo ndipo Halotel wanapoonesha udhaifu wao. Ikumbukwe kwamba mteja anapoomba huduma ya nipige tafu hua ni swala la dhalura ambalo mteja anahitaji...
 10. T

  Msaada, napatwa na muwasho sehemu za siri

  Watu wanaleta utani sana humu, kuwashwa sehemu za siri na kutoka uchafu ni tatizo la fungus za ukeni zijulikanavyo kama Candidiasis vaginalis.Huu ni ugonjwa ambao uko kwenye kundi la magonjwa ya zinaa(Sexualy Transmitted Infection).Dawa ya Doxy aliyoandikiwa ni makosa kwa mama mjamzito na...
 11. T

  Mwaka wa sita huu UAMSHO wapo ndani hii nchi duuh

  Mahakama zina maana kwa watu wengine lakini sio kwa hao wana uamsho.Hao dawa yao bado inatokota ikiiva watainywi tu.
 12. T

  Mwaka wa sita huu UAMSHO wapo ndani hii nchi duuh

  Hao walishafanyiwa uchunguzi wakabainika kuwa sio watu wa uamsho bali ni MAJAMBAZI.
 13. T

  Heri ya UDA zetu wahenga kuliko mateso ya mwendokasi

  Shida iliopo Kimara na Mbezi Luis hakuna kiongozi yeyote wa ngazi juu ambae amegundua tatizo limejikita wapi. Ni ujinga uliopindukia kuwachukia abiria Mbezi Luis na kwenda kuwabwaga Kimara badala ya kuondoka nao moja kwa moja kwenda mjini.Wanabwagwa Kimara halafu tena mgari hayo hayo au mengine...
 14. T

  Channel mpya ya Safari Channel ilipoanza ilionekana kama chaneli tishio kwa sababu watu wengi sana wanapenda kuangalia wanyama

  Chaneli za nje karibu zote hua zinaonesha mara nyingi wanyama wa mbuga zetu mbona hatuwapigi faini wao.Na utumaduni wa makabila yetu yote tukionesha kwenye TV yetu pia tutapigwa faini? Tunayo makabila mengi Tanzania lakini hiyo chaneli imeng'ang'ani a makabila sijui matatu tu muda wote.Wahazadbe...
 15. T

  Channel mpya ya Safari Channel ilipoanza ilionekana kama chaneli tishio kwa sababu watu wengi sana wanapenda kuangalia wanyama

  Immortal.Alikufa akiwa anafanya kazi gani?Je na yule alieandaa mkanda wa Serengeti shall never die ni mwingine? Full information naweza kupakua wapi?
 16. T

  Jamii ya waarabu wanaongoza kwa kuwa na huruma duniani

  Hakuna watu wabaya na wakatili duniani kama Waarabu, huyu jamaa anaewaona Waarabu ni watu wema, wastaarabu mimi naona huyu atakuwa anaishi mbinguni ambako hawezi kabisa kushuhudia uovu wa Waarabu.Dunia nzima haina amani kwa sasa kwa sababu ya Waarabu.Libya moto unawaka kwa sababu ya vita ya...
 17. T

  Ilikuwa sahihi Serengeti boys kuahidiwa zawadi ya kitita cha pesa

  Inaleta maana sana kama fedha wanazoahidiwa zinakuwa kwa wachezaji wote na si mmoja mmoja.Hakuna mchezaji anaefunga mpira kwa juhudi zake ni lazima apewe pasi kutoka kwa wenzake.Mpira ni timu na zawadi lazima iwe ya timu yote.
 18. T

  National Health Insurance Fund(NHIF) na changamoto zinazowakabili wanachama wa mfuko huu

  Je, hivi tunawezaje kupata namba ya simu ya Mh.raisi Maghufuli ili tumpashe mengi ya ovyo kuhusu hili shirika la NHIF. Kwanza mkurugenzi wa shirika hili amepwaya mno na ndio maana kuna kasoro kibao. Kubwa kuliko yote ni kucheleweshewa malipo ya watoa huduma na pili bei elekezi hailingani...
 19. T

  National Health Insurance Fund(NHIF) na changamoto zinazowakabili wanachama wa mfuko huu

  Wewe ni kweli unatoa huduma NHIF mkoa wa Ilala na unalipwa kwa wakati. Elewa kuwa watumishi wa NHIF wanaweza kuwa na ndugu zao kote Tanzania, sasa haiwezekani mtu akamkwamishe ndugu yake kwenye malipo, au pengine umetoa hongo hatuwezi kujua. Malalamiko ya watu wengi huwezi kusema hayana...
 20. T

  Mabasi 70 ya mwendokasi yashikiliwa na TRA Bandarini kwa miezi 13

  Hii kampuni ya mabasi ya mwendo kasi inavyoonekana ni kampuni ya mtu binafsi ambae bado hajakaa sawa kibiashara.Hata mabasi ya mwanzo kabisa ya kuanzia mradi yalinunuliwa bila kulipia ushuru na kusababisha mradi kuchelewa kuanza kazi kwa miezi kadhaa.Serkali inashindwa nini kuuchukua na...
Top Bottom