Search results

 1. M

  Waziri Simbachawene saidia kadhia hii

  Kuwa na gari ya pickup Tanzania ni uhalifu why this? Nimeshuhudia mwenyewe jinsi polisi wanavyosimamisha gari yoyote ya kubeba mzigo barabarani kutoka dar mpaka mwanza inavyosimamishwa na kila askari aliyopo karibu na barabara kana kwamba gari hiyo imeibiwa ama imebeba vitu vya wizi...
 2. M

  Rais Magufuli tuionyeshe kuwa Corona imedhibitiwa Tanzania

  Mkuu Mheshimiwa Raisi wetu John Pombe Magifuli Nakuomba tuionyeshe dunia tumedhibiti korona kwa njia zifuatazo:- 1. Uongozi wako umetoa dira kwa kuondoa hofu kwa Wananchi wako na korona imekuwa kitu cha kawaida. Zaidi ya yote ni kumtegemea mungu katika kila jambo. 2. Ugunduzi wa dawa lishe...
 3. M

  Dodoma ipandwe miti sasa

  Sio kila kitu mpaka aseme Rais wetu Magufuli jamani. Hebu pandeni miti sasa hapo jijini Dodoma kwa kila kaya iwe na miti isiyopungua 2 na iwe ni jukumu la wahusika kwenye kaya.
 4. M

  Daraja la Zanzibar - Dar linakuja

  KWA MAGUFULI KILA JIWE LITAPINDULIWA. Daraja hili muhimu kwa uchumi wa Tanzania Bara na Visiwani ni kati ya malengo na ndoto kubwa alizonazo mkuu wetu wa nchi mheshimiwa rais Magufuli kabla ya kukabidhi madaraka mwaka 2025. Namuombea rais wetu afikie malengo haya ambayo watanzania wengi...
 5. M

  Magufuli my president ever

  Mkuu mheshimiwa rais magufuli Mungu akubariki kwani kazi yako haina wakulinganisha naye labda hayati Nyerere. Najidai kuwa mtanzania kwasababu yako mheshiwa rais wangu. Mungu akubariki sana ndoto zako ziko sawa na zinatisha kwani zinakamilika ndani ya muda mfupi katika nchi yetu. Kila la...
 6. M

  Rais Magufuli kwa hakika alindwe sana tayari wabaya wake wako hadharani

  Naona tayari ana maadaui wengi ndani ya CCM na baadhi yao wameshajitokeza hadharani kusema watampinga mwaka 2020. Hawa wanaosema hivi si watu wema na wanambinu mbalimbali kuhakikisha Rais Magufuli hagombei mwakani. Hawa ni watu hatari hata kama katiba inawaruhusu ila Chama chao hakiruhusu kwa...
 7. M

  Rais Magufuli: Baba wa Miundombinu ya usafirishaji Tanzania.

  Nimekubali kimsingi kabisaa na kuanzia leo nitamwita hivyo mheshimiwa rais wetu John Pombe Magufuli kuwa:- BABA WA MIUNDOMBINU USAFIRISHAJI TANZANIA. 1. Ujenzi wa reli mpya ya kisasaa. 2. Ukarabati wa reli ya kati na Ile ya tanga. 3. Ufufuaji wa shirika la ndege Tanzania. 4. Ujenzi mpya na...
 8. M

  Mhe Rais msamehe Tundu Lisu

  Nimemfuatilia Tundu Lisu ziara zake bara Ulaya na America kiukweli amedhihirisha jinsi alivyo na chuki na rais wetu na serikali yetu ya JMT na watanzania wenye maarifa tunaojitambua. Sasa nakushauri mheshimiwa rais msamehe sana kwani hajui atendalo mtu huyu si akili yake ni ya kuwehuka...
 9. M

  Tundu Lissu Mungu anakupenda hebu mtumikie...

  Mheheshimiwa Tundu Lisu, Tambua kuwa, kuokolewa kutoka katika shambulizi kubwa lenye harufu nzito ya umauti na hatimaye kupata afya, unapaswa kumtumikia mungu wakati wote uliuobaki kuishi duniani badala ya kuzunguka na kulalamika na kuonyesha bado unashindana na wanadamu. Nakusihi ndugu...
 10. M

  Najiuliza tu hivi kweli Lissu umeamua kupambana na Serikali za wanadamu?

  Nimeanza kujiuliza naamini hapa JF kuna wajuvi wa mambo mtanisaidia swali hili:- Hivi kweli Tundu Lisu(MB) ameamua kupambana na serikali za wanadamu kweli? Je atashinda vita hii au atashindwa? Kwa mtazamo wangu na hasa kwa kauli yake ya mwaka huu mpya 2019 aliyoitoa akiwa ubeligiji kuhusu...
 11. M

  Tanzania kuondokana na siasa za kitapeli za vyama vingi

  HATIMAYE SASA NI DHAHIRI KUWA TANZANIA INAENDA KUWA NCHI YA SIASA ZA UKWELI NA SIO ZA UTAPELI ZILIZOKUWA ZIKIONGOZWA NA BAADHI YA MATAPELI WACHACHE WALIOWAFANYA WENGINE MAKONDOO NA WAO KUWA SIMBA. KILA LA HERI MHESHIMIWA JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUIBADILISHA NCHI YETU KUWA YA WATU WANAOJITAMBUA.
 12. M

  Taratibu aibu itawafikia tu

  Kuna usemi usemao "MWISHO WA UBAYA NI AIBU" Naiona AIBU ikitamalaki ndani ya baadhi ya vyama vya siasa ambavyo vimekuwepo kwa muda sasa vikijenga chuki, fitina, majungu na kila aina ya ubaya ndani ya taifa hili kwa kuwachonganisha viongozi wa serikali na wananchi. Kila kukicha utasikia ooooh...
 13. M

  Wanasiasa: Tupunguze kuchamba kwingi ni hatari!!!

  Ni ushauri kwa wanasiasa wetu hasa wale wanaojiita wa upinzani hebu jitahidini mpunguze kuchamba kwingi mnajishushia hadhi. Nimekuwa nikishuhudia mkitoa matamko yasiyo na tija wala weledi kwa ujenzi wa taifa letu. Kila kukicha ni kukosoa tuuuu hakuna kizuri cha serikali yetu. kiukweli sisi...
 14. M

  Lini mtastaafu siasa? Mnachosha sana

  Nawauliza wakongwe hawa wanaomiliki vyama vya siasa Tanzania na maarufu kwa kugombea uongozi wa juu wa nchi na ndani ya vyama kila uchaguzi unapokuja. Ni lini mtastaafu siasa maana mmechosha sana maskioni mwetu? 1. Seif Sharif Hamad. 2. Mbowe Freeman. 3. Lowasa Edward. 4. Lipumba Ibrahim. 5...
 15. M

  ATCL mpya yaipiku Precision air na Fast Jet kwa huduma za kuridhisha

  Nafurahi kuwajulisha wanajukwaa kuwa jana nilipanda ndege ya shirika letu la taifa (Tanzania) la usafiri wa anga ATCL kutoka Dar kwenda Mwanza na kwakweli wamejipanga sana kuhudumia wateja wao vyema uwapo ndani ya ndege hizo. Huduma za vinywaji na vitafunio uwamo ndani ya ndege hii inapendeza...
 16. M

  Magufuli: Pandisha hadhi mapori yafutayo

  Mkuu kwanza naongeza juhudi zako za kuinua uchumi wa nchi yetu n.a vita dhidi ya uhujumu uchumi. Pili KWA kupitia jukwaa hili naomba uyapandishe mapori ya akiba yote yenye raslimali za wanyama pori yanayostahiki kuhifadhiwa na kuongeza tija na thamani katika uhifadhi na kuyafanya kuwa hifadhi...
 17. M

  Sifa njema ya rais wetu itadumu milele

  Kumekuwa na jitihada za wazi na. za vificho kumchafua raisi wetu ndani na nje ya nchi yetu kuonyesha kuwa uchumi unaanguka na kuwa nchi haina tena haki za binadamu na kwamba raisi ni dikteta. Mimi nasema mtahangaika sana lakini hamtofanikiwa kamwe. Magufuli atadumu na ataendelea kuwa moja ya...
 18. M

  Maaskofu mwacheni Rais atimize wajibu wake.

  Nawasihi maaskofu wamwache raisi wetu atimize wajibu wake kama mkuu wa nchi. Njama zozote za kupinga juhudi zake lazima zishindwe katika jina la yesu. Kumekuwa na. juhudi za makusudi kumkwamisha mheshimiwa rais kwa sababu ambazo ni za kibinafsi kutoka KWA viongozi wa makanisa na so vinginevyo...
 19. M

  Rais Magufuli & Makonda hongereni sana. Sasa tuing'arishe Dar es Salaam

  Nafarijika sana utendaji kazi wa ndugu yangu RAIS Magufuli kwa kushirikiana na RC Makonda katika jiji letu la Dar. Nichukue fursa hii kuwapongeza na kuwatia moyo nikiwa kama mwananchi wa kawaida kabisa ninaye furahishwa kwa uchapa kazi wao safi. Natambua ni binadamu wasio kasoro katika utendaji...
 20. M

  CHADEMA: Hekima ni tunu mjitafakari sana

  HEKIMA ni kitu cha kipekee sana. Kati ya manabii waliowahi kuomba hekima ni pamoja na Suleiman na akapewa na mwenyezi mungu subhannahau wa taalah. Hekima hukutoa kwenye dhiki na kukuweka kwenye ridhiki. Hekima hukutoa kwenye masononeko na kukupa faraja. Hekima hukutoa kwenye hudhuni na kukupa...
Top Bottom