Search results

 1. M

  Godbless Lema na mwisho wa fungate (Honeymoon)!

  Awali ya mengi; nichukue fursa hii adhimu kukupongeza kwa dhati kwa kufanikiwa kutetea kiti chako cha Ubunge wa jimbo la Arusha mjini; tunafahamu umeruka na kuvuka vikwazo na changamoto nyingi sana na za kutisha (2010-2015); kuelekea ushindi wako huo uliotukuka; hongera sana. Wakazi wa Arusha...
 2. M

  The EU on the Tanzanian electral circus!!

  Dar es Salaam: European Union(EU) observers have expressed reservations on the transparency of the Tanzanianelections. At a pressconference, the observers said the National Electoral Commission (NEC) did notprovide adequate transparency in its operations during the election process,and that the...
 3. M

  KNUT wins 50 - 60% Salary hike for Kenyan teachers!!

  Kwa wale wanajamvi wenzangu na mie wa "Shule za chini ya muuti!!"; KNUT ni kifupi cha jina "Kenya National Union of Teachers"; chama cha Walimu wa Kenya, kwa taarifa yenu leo wameshinda kesi katika mahakama ya juu kabisa nchini Kenya; The Supreme court, ambako tume ya utumishi wa Walimu nchini...
 4. M

  Why do Popes and American Presidents skip Kenya??!!

  Guys sorry just thinking aloud! Only two of east african countries, Uganda and Tanzania have seen the most visits by two of the most powerful people the world; i.e The Pope and American Presidents; my question is: Why do Popes and American Presidents; both sitting and past; skip the republic of...
 5. M

  Samwel John Sitta: Nyota iliyozimika

  Wahenga walisema; "Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni"; Ni ukweli usiopingika; labda kwa wale wenye bifu zao binafsi!! kwamba Mh Samwel John Sitta; kupitia falsafa yake ya "Kasi na Viwango" alilisimamia Bunge la 9 la jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa weledi; umahiri na ufanisi mkubwa...
 6. M

  The essence of real peoples power in action

  Wana JF For some of us who have an eye, ear and craving for news both at home and yonder; have followed up quite closely on the tumultuous events for close to four months in the republic of Ukraine. Well; in my view we have witnessed the essence of real peoples power; just to re-boot your memory...
 7. M

  Sintofahamu baina ya JK na Kagame; Tanzania tuwe makini na suluhu tuitakayo!

  Tumeusikia mkakati wa serikali ya Tanzania wa kumaliza sintofahamu zilizojitokeza baina ya Rais wetu JK; na Paul Kagame; Rais wa Rwanda kupitia kwa Waziri Mkuu Peter Pinda jana bungeni alipokuwa akimjibu kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Mh. Freeman Mbowe kuhusu mgogoro unaozizima baina ya...
Top Bottom