Search results

 1. V

  Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

  Ananikera na kuniudhi kishenzi Sent using Jamii Forums mobile app
 2. V

  Mwanga wa ajabu wa Jua leo Dar es Salaam saa 12:10 jioni, rangi ipo Kama nyekundu au Chungwa

  Ujio wa Mwana wa Adamu utaambatana na ishara na maajabu mengi. Wakati Yesu akaribia kupaa mbinguni aliwaagiza wale wanafunzi wao kuhubiri injili kutekote na kuwahubiria watu watu maana ufalme wa Mungu umekaribia Sent using Jamii Forums mobile app
 3. V

  Kila nikitafuta wa kumuoa, naangukia kwa wadada wenye umri mdogo

  Nataka nimgegede mke wangu kutwa mara tatu[emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
 4. V

  Kila nikitafuta wa kumuoa, naangukia kwa wadada wenye umri mdogo

  Wengi wao sijawahi kutoka nao kingono coz plan zangu nikuoa na sio kudate Sent using Jamii Forums mobile app
 5. V

  Kila nikitafuta wa kumuoa, naangukia kwa wadada wenye umri mdogo

  Au wewe veterani ni miaka mingapi??[emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
 6. V

  Kila nikitafuta wa kumuoa, naangukia kwa wadada wenye umri mdogo

  Sasa mkuu unashauri nioe ambaye umri wake ni chini ya 23? Maana mimi sasa niko na 26 na sitaki mwanamke unaoa mtoto akilia na yeye analia Sent using Jamii Forums mobile app
 7. V

  Kila nikitafuta wa kumuoa, naangukia kwa wadada wenye umri mdogo

  Nacheleq kusema kama natongozwa au nawatongoza, ila najikuta nao kwenye mahusiano. Yakishaqnza kukolea ndo nashtuka mweeee Sent using Jamii Forums mobile app
 8. V

  Kila nikitafuta wa kumuoa, naangukia kwa wadada wenye umri mdogo

  Wanajamvi habari zenu. Twiga Stars wananiganda, najibandua naangukia kwao tena. Nataka veteran mwenzangu (24+) Naombeni ushauri, Mimi ni kijana wa umri uliokomaa kuoa sasa hivyo nataka kuanzisha michakato ya kuoa ingawa kikwazo kikubwa sipati wale mabinti ninaowataka isipokuwa wanajilengesha...
 9. V

  Ushuhuda: Aliyewahi kuacha kupiga punyeto aje hapa atoe ushuhuda

  Wanajamvi hamjambo? Natumai mu wazima wa afya, leo nataka nijifunze kitu hapa. Miaka kadhaa ya nyuma tuliwahi kutoa semina hapa jamvini namna yakuindokana na tatizo lakupiga punyeto kwa wanaume. Leo natamani kupata ushuhuda kutoka kwenu kama yupo aliyewahi kufanikiwa kuacha. Sent using...
 10. V

  TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

  Masikini kabisa?? Labda alikuwa mjamaa Sent using Jamii Forums mobile app
 11. V

  Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

  Wanajamvi miaka kadhaa hapa niliwahi kutoa elimu kuhusu Madhara na namna yakuacha kupiga puchu kwa wanaume (punyeto). Aliyefanikiwa kuacha ajitokeze hapa atoe ushuhuda! Sent using Jamii Forums mobile app
 12. V

  Baby zima taa naumia macho!!

  Wanajamii nisaidieni hii tabia ya baadhi ya mademu kuomba taa izimwe kabla ya Show wanahofia nini? W engine ukitext unakuta inakaba vizuri nyingine zinalegea na kuburuza hadi kwenye magoti zisipozuiliwa na kufuli. Msaada uzoefu wenu unasemaje??
 13. V

  Gwamaka Mbugi: Kikongwe anayemezea mate BAVICHA

  Ni kikongwe cha mbegu!! Ndivyo unavyoweza kusema kwa urahisi. Katiba ya CHADEMA toleo la mwaka 2006 kama lilivyofanuiwa marekebisho mwaka 2014 ikisomwa pamoja na Miongozo ya Mabaraza ya chama pamoja na Kanuni za Uchaguzi ndani ya chama zinamtambua Kijana mwenye umri usiozidi miaka 30 hata kwa...
 14. V

  Baba wa mchumba wangu alimuua baba yangu

  Ahsante sana ndugu yangu, nimefanikiwa kumtengenezea mazingira yakukata tamaa na hatima ya uchumba wetu na akawa wa kwanza kuomba tuachane
 15. V

  Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

  Chief ulifanikiwa kuacha au ulikuja kurudia tena!
 16. V

  Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

  Ha ha ha nimecheka sana asee
 17. V

  Nimemkuta Kachora Tattoo sehem mbaya sana!!

  Hilo lilikuwa agano kati yake na huyo mpenzi wake wa zamani. Nadhani huyo dada ashauriwe kumtafuta huyo mpenzi wake wa zamani Tattoo haifutiki daaah, alafu ipo karibu na Nkana FC!!!!
 18. V

  Naombeni ushauri kwa hili

  Kitanda hakizai haramu, endelea kumpenda na kumsitiri, leeni huyo mtoto bila kujali watu watasemaje. Ukimwacha atabeba maumivu yakuachwa na kubakwa, so ataumia zaidi
 19. V

  Ole Sendeka: Marufuku vyama vya upinzani kufanya vikao mkoani kwangu

  Akikataa tusifanye shughuli zetu kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi, basi tutafanyia juu ya kichwa chake
Top Bottom