Search results

 1. Mwana Ukoo

  Nimepata kazi kwenye NGO, nianze na kipi?

  Mkuu nashukuru sana kwa ushauri huu
 2. Mwana Ukoo

  Nimepata kazi kwenye NGO, nianze na kipi?

  Wakuu nimepata kazi katika NGO fulani ambayo Roughly nitakunja kama 1m hivi take home niko around 20s age. Sitegemewi na familia maana bado wana kazi, nilisoma uzi fulani wa kijana mwenzangu ambaye alipata kazi katika umri mdogo tu na kujikuta anatumbukia kwenye starehe sitaki kufanya makosa...
 3. Mwana Ukoo

  Uchaguzi 2020 Video: Mwangalie Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Uchaguzi (NEC) kisha toa maoni yako

  Wakuu msaada tofauti ya Huyo na Jaji kaijage ki vyeo ukoje?
 4. Mwana Ukoo

  Taasisi karibia zote zi ajiri kupitia Utumishi

  Utafutwe utaratibu tu mkuu hata hao wanopita JKT ni wanabebana sana sana kiasi kwamba taasisi inakuwa underperformance kwa vile tu waajiliwa wamebebwa na mbeleko na hawako competent hata kama wanazo qualifications
 5. Mwana Ukoo

  Taasisi karibia zote zi ajiri kupitia Utumishi

  Hemu eleza huo utofauti haswa kwa wanoenda depo
 6. Mwana Ukoo

  Taasisi karibia zote zi ajiri kupitia Utumishi

  Mkuu kwani kwa sasa recruitment ya vyombo vya dola ikoje? Mimi ni mtoto wa Askari na utaratibu wa kuingia uaskari kipaumbele huwa ni watoto wa maskari nimeliona ilo kwa muda, kuna post ambazo zinaweza kuwa excluded utumishi ila hawa wanaoenda depo wapite utumishi tu
 7. Mwana Ukoo

  Taasisi karibia zote zi ajiri kupitia Utumishi

  Wakuu Moja ya mifumo imara ni huu wa Secretariat ya Ajira utumishi, Huu mfumo Utaleta Uimara mkubwa katika Taasisi za umma ambalo mwazo ilikuwa shamba la bibi yani ofisi unakuta imejaa ndugu tupu, Au watu wa ukanda fuĺani tu matokeo yake ufanisi hupungua sana na kufanya ofisi za umma kuwa kijiwe...
 8. Mwana Ukoo

  Msanii wa Filamu Kulwa Kikumba maarufu kama 'Dude' apata ajali

  Wewe unaishi dar kweli usiniambie hujui foleni za huu mji kama umeitiwa deal ya haraka hakuna option zaidi ya Toyo
 9. Mwana Ukoo

  Naomba kujulishwa kuhusu maisha ya Songea, Ruvuma

  Asante kwa taarifa uzi haujaribika taarifa zote ni muhimu si unajua kazi na dawa
 10. Mwana Ukoo

  Naomba kujulishwa kuhusu maisha ya Songea, Ruvuma

  Hatari sana mkuu, Na vipi ni cheaper au expensive?
 11. Mwana Ukoo

  Naomba kujulishwa kuhusu maisha ya Songea, Ruvuma

  Wakuu naomba kujua machache kuhusu huu mji naweza kuwa kule kwa takribani miezi mitatu. Kwanza naomba kujua nauli za Bus kutoka Dar es Salam mpaka Songea? Je, maisha mji ule yapoje? Mtandao gani wa simu unatumika zaidi? Fursa za uwekezaji zikoje haswa katika biashara?
 12. Mwana Ukoo

  Uchaguzi 2020 Kauli ya Membe leo imedhihirisha kuwa Tundu Lissu hatunaye tena kwenye uchaguzi ujao

  Chadema ni watu wa ovyo sana wamekuwa wakifanya matukio ambayo wanaona kabisa yanavunja sheria ili kutafuta tu attention ya authorities na baadae kuja kulalama hawa watu kwa kweli hawana Nia njema na Taifa letu tulivu kabisa nitashangaa sana kama Jaji Kaijage ata mpa Tundu lissu go ahead ya...
 13. Mwana Ukoo

  How Goverment is capable to shutdown internet access

  Hello technologist, I would like to hear technically from you, how is goverment could be able to shutdown imternet acces? tumesikia kuwa DRC congo has shutdown internet acces to their country to avoid leakage of election result s sasa ni kuwa wamewazaje kufanya ivo kuna switch yoyote inayoweza...
 14. Mwana Ukoo

  Jacqueline Wolper anatamani kumpa penzi Rais

  Mbona bongo Ma Rais wengi tu mpaka Marais wa wasafi, Watanashati wapo achague tu
 15. Mwana Ukoo

  "Sasa kwa Serikali hii naweza kuja kuwekeza Tanzania " Mtanzania aishie US

  Bongo msimu huu loopholes zote zinabanwa kwa wale wajuaji na wajanja wanjanja
 16. Mwana Ukoo

  Kusimama Kwa Msafara wa Rais na Kuhutubia imekaaje Kiusalama

  Wakuu naona naona hamjanisoma vizuri, iko Ivi Detail Protection ya mkuu Ni kweli ina spot maeneo na kuyafanyia uchunguzi kabla mkuu hajafika ata within a month before, Sasa kitendo cha mkuu kutazama popularity na kuamlisha kuwa Anataka kusalimiana na watu apo kwa vile ni wengi ni hatari mno...
 17. Mwana Ukoo

  Kusimama Kwa Msafara wa Rais na Kuhutubia imekaaje Kiusalama

  Wakuu Msafara wa Rais (motorcade) ni msafara Makini na Wenye dhamani kubwa Popote upitapo, Traffic sambamba na wana usalama Hukakikisha Msafara huu upitapo Basi Barabara Hufungwa na watumiji wote wa Barabara kuupisha msafara Huu ili Kuondoa msongamano na kumpa uharaka mshesimwa Rais kufika...
Top Bottom