Search results

 1. MUSIGAJI

  ITV leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu?

  Wanabodi habari ya majukumu? Nipo naangalia taarifa ya habari ya ITV naona leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu. Je, leo Mh Lissu hakufanya mikutano? ITV ni vizuri muwe mnatupa taarifa mapema siku ambazo hakuna taarifa za Lissu tusiwetunapoteza muda, angalau tuwe tunafanya mambo mengine.
 2. MUSIGAJI

  Naomba msaada wa namna ya kujisajili OTEAS

  Wakuu habari ya majukumu?Tafadhali naomba mwenye kujua namna ya kujisajili na mfumo wa maombi ya ualimu wa TAMISEMI anisaidie kunielekeza hatua kwa hatua tangu namna ya kujisajili mpaka kutuma maombi. Tafadhali naomba nisaidiwe.
 3. MUSIGAJI

  Baada ya Lissu Kusema Serikali haijaajiri Walimu kwa Miaka 5, Serikali imeamua kuajiri

  Wanabodi habari ya mapumziko?. Kama wote tunavyojua, Tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani haijatoa ajira kwa walimu wapya. Enzi za Jakaya kila mtu aliyefuzu mafunzo ya ualimu kuanzia wale was Grade A, Diploma na Shahada aliajiliwa si zaidi ya miezi nane tangu kuhitimu kwake...
 4. MUSIGAJI

  Wapinzani kuhamia CCM vs kumuunga mkono Rais wakiwa katika vyama vyao

  Wakuu poleni na ujenzi wa Taifa.Naomba niingie kwenye mada moja kwa moja. Takribani mwaka mmmoja sasa kumekuwepo na wimbi kubwa la wapinzani kuhamia Chama cha Mapinduzi ( CCM),Wengi wa wanaohama wanatoa sababu ya msingi ambayo ni kwenda kumuunga mkono Rais katika juhudi alizozionyesha za...
 5. MUSIGAJI

  Naushinda wivu wa kipinzani kwa mh. Rais

  Wanajukwaa amani iwe nanyi,Leo tarehe 22/8/2018,bila kushurutishwa na yeyote,wala kushawishiwa na yeyote nimeamua kuweka wazi kuwa nimeamua kuushinda wivu wa kipinzani dhidi ya utendaji wa Mh Rais John Pombe Magufuli (JPM). Ukifuatilia michango yangu yote,Tangu nimejiunga na jukwaa hili...
 6. MUSIGAJI

  Tafakuri, utumbuaji majipu na ufukuaji makaburi

  Wakuu amani iwe kwenu, Siku ya leo Mh Rais amezungumza na wahariri juu ya mambo mbalimbali yaliyofanyika katika mwaka mmoja huu wa utawala wake. Mtakumbuka kuwa katika kipindi hiki kuna habari ya utumbuaji majipu ambayo kimsingi imemjenga kisiasa Mh katika huu mwaka mmoja kwa watu wa kawaida...
 7. MUSIGAJI

  Msaada biashara duka la nafaka

  Wakuu habari za mihangaiko ya kujipatia mkate?Wakuu ninakuja kwenu kuomba ushauri juu ya ufunguaji na uendeshaji wa duka la nafaka Dar es salaam.Nina mpango wa kufungua duka la kuuza nafaka maeneo ya tandika,Mtaji wangu ni shilingi Milioni 5.Ninaomba mwenye ufahamu wa biashara hii ya duka la...
 8. MUSIGAJI

  Account statement TANESCO

  Wakuu heshima kwenu,naomba mnisaidie je kama mimi ni mpangaji naweza kufika TANESCO nikaomba kupewa taarifa ya matumizi ya mita ya LUKU ya mwezi husika?,Naomba kufahamishwa tafadhali.
 9. MUSIGAJI

  Bei ya DStv

  Wakuu poleni na mizunguko ya siku,Naomba mnisaidie kwa mwenyekujua,Decoder ya DSTV na ungo wake unauzwaje? Pia naomba msaada je kama mtu una decoder ya DSTV lakini hauna ungo kuna uwezekano wa kununua ungo bila decoder?kama inawezekana ungo unaweza kununua kwa bei gani?Asanteni wakuu.
 10. MUSIGAJI

  Msaada nyimbo za kale

  Wadau,habari za weekend?Naomba msaada wa ratiba za redio wanaopiga nyimbo za kale hasa nyakati za usiku,tafadhali nitajie redio husika,siku na muda wa kipindi.Asanteni sana
 11. MUSIGAJI

  Ting kina tatizo leo?

  Wakuu heshima mbele?leo siku nzima king`amuzi changu cha TING nlkimaonesha no signal,Niko dar vipi kuna tatizo la TING leo kwa mwenyekujua?
 12. MUSIGAJI

  Wapiga kura jimbo la waziri wa nishati,anawapa ahadi gani huko

  Wakuu,ni dhahiri kuwa tuko gizani,ilianza kwa kutupa matumaini hewa kuwa kuna uwashwaji wa mitambo ya umeme wa gesi,na ahadi kuwa wiki mbili tu mambo yanakuwa mazuri zaidi,lakini kinyume na ahadi leo hii mtu ukirejea nyumbani kukuta giza limekuwa jambo la kawaida. Enyi wapiga kura wa jimbo la mh...
 13. MUSIGAJI

  Twaweza kutangaza matokeo ya utafiti wao kesho

  Wakuu habari,Twaweza kesho watatangaza matokeo ya utafti wao wa hali ya kisiasa nchini saa nne asubihi Maria Sarungi atakuwa mmoja wa wazungumzaji wakuu,pamoja nae prof Mbago wa UDSM atakuwa mzungumzaji mkuu pia.ITV watakuwa live.Chanzo ITV Ebu mwenye CV za hawa wazungumzaji wakuu azimwage hapa...
 14. MUSIGAJI

  Picha na mabango ya Lowassa

  Wakuu, Nimekuwa nikipata shida na timu ya ushindi ya Ukawa,mpaka sasa hakuna picha na mabango makubwa ya Mh Lowasa,Picha hizi zina maana kubwa sana. Kuna mabango ya ukawa yale ya MABADILIKO ni sawa lakini mabango haya si kila mtu anayeweza kuyaelewa kwa haraka.Chondechonde Wakuu mnaohusika...
 15. MUSIGAJI

  UKAWA watoe Ratiba ya kumtambulisha Lowassa na Duni mikoani

  Wakuu Salaam, Hatimaye Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA chini ya mwanvuli wa UKAWA jana kilimpitisha rasmi kuwa mgombea wake wa kiti cha Urais. Napenda kutumia fursa hii kuwaomba viongozi wa CHADEMA na UKAWA watoe ratiba rasmi ya kumtambulisha Lowasa na babu Duni kwa wananchi. Hii ni...
 16. MUSIGAJI

  Ombi: Kipindi maalum ITV usiku leo

  Wakuu habari ,kutokana na Mh Lowasa mazungumza na watanzania leo saa kumi jioni,na kwakuwa tunasubiri kusikia mambo muhimu yanayolihusu Taifa kutoka kwake. Ninaomba ITV warudie kipindi Mara baada ya taarifa usiku wa Leo. Hii inatokana na sababu kuu mbili, mosi ni kuwa watu wengi muda huo...
 17. MUSIGAJI

  Lowasa vua viatu (ccm)mahali ulipo ni patakatifu

  Wakuu, kwa wale ambao ni wasomaji wa biblia tukufu kuna watu wawili nataka niwazungumzie. Mtu wa kwanza ni Saul (Paulo) mtu huyu aliifanya kazi ya kuwauwa watumishi wa Mungu tena alifanya kwa bidii na moyo Mkuu huku akifikiri watu hao walikuwa hawako katika mstari Mungu anaotaka kuabudiwa hivyo...
 18. MUSIGAJI

  Msaada: Nahitaji bei na aina za mashine za mazoezi

  Wakuu salam, Poleni na majukumu ya kutwa wakuu nimesoma nyuzi kadhaa humu juu ya kuimarisha uwezo wa sita kwa sita na jambo kubwa wadau wamezungumzia suala la mazoezi. Kutokana na muda wa kukaa kibaruani nalazimika kuamka asubuhi sana na kurudi usiku kutokana na foleni za Jiji letu. Naomba...
 19. MUSIGAJI

  Msaada wa kiwango cha umeme unaotumika kuchezesha game kwenye screen

  Wakuu, heshima mbele. Naomba ni kujua hili, Nimeanzisha kijimradi cha kuchezesha game hizi zinazopendwa na watoto mtaani.Ninatumia screen mbili,cha ajabu ni kwamba umeme sasa tangu nianzishe unatumika Mara tatu zaidi ya mwanzo kipindi sijaanza Mradi huu.Umeme haukai kabisa. Kwa kufahamu wangu...
 20. MUSIGAJI

  Msaada: Gharama za kuweka luku

  Habari wadau!poleni na michakato ya siku ya leo. Wakuu naishi nyumba ya kupanga umeme tunashea luku wapangaji kadhaa. Kutokana na mambo kadhaa nina wazo la kuweka luku ya peke yangu. Mwenye nyumba hana tatizo na hilo. Naomba kujuzwa, Je! Ni hatua zipi za kufuata TANESCO? Je! Gharama zake ni...
Top Bottom