Search results

 1. advocate kiza

  Msaada mzumbe university- Morogoro

  Guys p poleni na majukumu Nina mpango wa kujiunga na sheria ngazi ya cheti katika chuo hichi cha mzumbe Nilikuwa nauliza kwa mwenye uzoefu na mazingia ya pale. Upatikanaji wa materials, upatikanaji wa hosteli, gharama za maisha n,k Ahsanten sana
 2. advocate kiza

  Msaada wanajukwaa

  Guys, lets me make it simpleee!!! Nilikuwa nahitaji mtu yoyote mwenye experience, na chuo cha usimamizi wa mahakama-lushoto, anisaidie, nataka kujoin pale mwaka huu, certificate I tried to search online, but unfortunately i didnt saw more info, Thanks
 3. advocate kiza

  Msaada( Instute of Judical Administration

  Habirini wakuu, Nimepanga nijiunge pale IJA, kwa ngazi ya cheti(sheria) sasa nilikuwa nahitaji maelezo kidogo kukihusu, mgafano, upatikanaji wa hostels, gharama za maisha, msuli wa pale, nimejaribu kutafuta mtandaoni sijapata Thamk in advance
 4. advocate kiza

  Tuliopanga ku-apply for non-degree courses ( certificate&diploma) karibuni

  Habari, Kwa mujibu wa ratiba ya necta, Maombi yanataanza kutumwa kuanzia 15/5 kwa mwaka wa masomo 2019/2020, Hivyo kwa wenzangu tuliopanga kutuma maombi kwa kada tofaouti tofauti kama vile PHARMACY LAW COMMUNITY DEVELOPMENT COMMUNITY HEALTH N,K Tujuane tupeane TIPS, na more informations ,
 5. advocate kiza

  Msaada wa kimawazo WANAJUKWAA

  Mimi ni kijana niliemaliza kidatobcha nne mwaka 2017 kwa matokeo haya DIV IV 26 Civics C English C Kiswahili C Goegraph D History D Biology D Math F Sasa nilikuwa nauliza ipi imekaa njema kati ya kwenda advance private kwa HKL au niende chuo, na vipi course gani naweza fit pia, out of my own...
 6. advocate kiza

  Kufunguliwa kwa udahili wa cheti na diploma

  Habari, Kwa yeyote mwenye kufahamu ni Kwa lini dirisha la maombi kwa ngazi ya cheti na diploma kwa mwaka wa masomo 2019/2020 anisaidie Thanks in advance
 7. advocate kiza

  Kufunguliwa tarehe ya UDAHILI KWA NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA kwa SEPTEMBER INTAKE

  Habirini, Ndugu wanajukwaa nilikuwa nataka kufahamu tarehe rasmi ya kutuma maombi kwa vyuo kwa sept intake, au kama yeyote mwenye ALMANAC atuwekee hapa Mbali na hilo mwanafunzi mwenye credits 3, four points 26 anaweza chaguliwa cert in law CLW UDSM???? Sent using Jamii Forums mobile app
 8. advocate kiza

  Msaada/ufafanuzi TAFADHALI

  Ndugu wanajukwaa habari zenu Nimekuwa nikipitia NECTA GUIDE BOOK Mara kadhaa Ila nimeshindwa kujua tofauti kati vigezo vya kusoma certificate na diploma kwa course za art mfano Business administration, Community development n.k VIGEZO wanaonyesha ni FOUR PASSES EXCLUDING RELIGIOUS SUBJECT pia...
 9. advocate kiza

  Jf sports what's app group

  Hellow, ndugu wanajukwaa naombeni mwenye group lolote la michezo anajoin au kama hakuna tunaweza tukaanzisha group letu wenyewe mwenye Link Atuwekee Sote Wapenda Soka Nawasilisha Sent using Jamii Forums mobile app
 10. advocate kiza

  Msaada Tafadhali!!!

  Habari, Mdogo Wangu Amepata English C Civics C Kiswahili C Bios D Geo D Hist D Math F Anataka Aanze Certificate Ya Sheria Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam Je Kwa Matokeo Hayo Anaweza Pata Admission Mwezi September??
 11. advocate kiza

  Certificate In Law- University Of Dar Es Salaam Entry Requirments

  Kwa Yoyote Anayejua Vigezo Vya Kusoma Sheria Ngazi Ya Cheti Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam Anisaidie,
 12. advocate kiza

  Kipi Nyuma Ya Pazia Juu Ya Mziki Wa HIP/HOP kufanywa na BLACK AMERICANS,

  Kiukweli Sijui Kipi Hasa Kinachofanya Hip/hop Nchini Marekani Kufanywa Sana Na Watu Weusi, Kuanzia Kwa The Legend Himself 2pac Shakur, Mpaka Sasa Kwa Rappa Kama Lil Wayne, Quavo, Offset, Kanye West, Jay Z, Future,
 13. advocate kiza

  Je, Magufuli anapewa sifa nyingi zaidi anavyostahili au hapewi sifa za anazostahili?

  Habarini wakuu, Two major school of houghts, zinakinzana, baadhi ya watu wamekuwa mstari wa mbele kwa kusema Rais Magufuli ni moja kati ya viongozi wachache waliowahi kutokea duniani, wengine wanaenda mbali zaidi kwa kusema Magufuli ni Malaika, Ukiwasikiliza wakina Humphery Polepole, akina...
 14. advocate kiza

  Tetesi: Kwanini wasanii hutoa nyimbo kali wakati wanaanza kazi zao, then wanapotea wakipata jina?

  Habari Wanajukwaa!! Awali Ya Wote Naomba Nijitambulishe Kama Mpenda Mziki Mzuri, Nimefanya Utafiti Usio Rasmi, Nimegundua Kwamba Nyimbo Za Kwanza Za Wasanii Wa Kizazi Kipya Huwa Nzuri Kuliko Nyimbo Wanazozitoa Baada Ya Kupata Jina Mfano, Young Killer- Dear Gambe, Mrs Superstar, Jana Na Leo Vs...
 15. advocate kiza

  Kuelekea Mechi Ya Yanga Na Simba, Jumamosi Tar 16/2/2018

  Wakuu Habari Zenu! Jumamosi Hii Tanzania Itasimama Kushuhudia Mechi Kubwa Kuliko Mechi Yoyote Hapa Afrika Mashariki Na Kati, Kariakoo Darby Yanga Watakuwa Mwenyeji Wa Mchezo Huu, Utakaofanyika Uwanja Wa Taifa, Mchezo Wa Mwisho, Uliowakutanisha Timu Hizi Uliisha Kwa Sare Ya Bila Kufungana...
 16. advocate kiza

  Tetesi: MSAADA: Shule Za Umoja Wa Wazazi (jumuiya Wa Wazazi Tanzania)

  Habari Wana Jukwaa, Jumuiya Ya Wazazi Tanzania Inamiliki Shule Kadha Wa Kadha Ndani Ya Tanzania Zaidi Ya 70, Ikiwemo Itende- Mbeya Ujiji High Schoo- Kigoma Sangu - Mbeya Ivumwe- Mbeya Meta- Mbeya Mbalizi- Mbeya Kwa Mwenye Kujua Shule Zingine Zinazomilikiwa Na Jumuiya Ya Wazazi, Katika Mikoa...
 17. advocate kiza

  Boarding Schools Vs Day School!

  Je Ipi Bora Kusoma Day Schools Au Boarding School Kwa Advance Mchepuo Wa Sanaa,
 18. advocate kiza

  Ndugu Wanajukwaa Kwa Yeyote Mwenye Uelewa wa Shule Ya Sangu Sec Jijini Mbeya,

  Habari, Ndugu Wanajukwaa Kwa Yeyote Mwenye Uelewa\ufahamu Na Mawasiliano Ya Shule Ya Sangu Sec Jijini Mbeya, Performance Ya A-level, Maisha Kiujumla Kwa Mwanafunzi Pamoja Na Ada Ahsanten
 19. advocate kiza

  Private Advanced Schools In Dar Es Salaam

  Guys, Mimi Nina Mdogo Wangu, Amemaliza Kidato Cha Matokeo Yake Siyo Mazuri Sana, Hatapata Nafasi Ya Kuchaguliwa Shule Ya Serikaki, Kutokana Na Hali Ya Kifamalia, Namtafutia Shule Binafsi Ya Kidato Cha Tano, Kwa Mkoa Wa Dsm Yenye Ada Nafuu- Mwisho 1ml Hostel Iwe Mjini Ntafurahi Sana...
Top Bottom