Search results

 1. Namge

  Wazee wa uno, kati ya hawa nani mshindi?

  Kuna mauno yanavunjwa na mabinti kwenye video ya Jeje ya Diamond, On the Low ya Burna boy pamoja na Joro ya Wizkid. Hizi nyimbo zina mahadhi yanayofanana. Unafikiri ni yupi aliyepiga mauno mazuri na dance safi kama umebahatika kuziona hizo videos?
 2. Namge

  Wadada: Mnapenda tamthilia za Kikorea zinawandisha nini?

  *Nimeangalia tamthilia ya Kikorea inayohusu mapenzi kwa miezi 3 hakuna hata kipande kimoja demu alichoomba hela, cha kushangaza hizi tamthilia dada zetu wanazipenda sana, wanajifunza maudhui yake kweli?* Mkinuna poa tu ndo nishasema.
 3. Namge

  My love G, umenifanya kibogoyo, ndo unanitupia mfupa?

  Haya si mashindano ambapo lazima mmoja ashinde, ni mapenzi kati ya mume na mke Sio pambano la ndondi ambapo lazima mmoja aanguke ni mapenzi kati ya mke na mume. G...Umenifanya kibogoyo, ndo unanitupia mfupa na hata napotaka kuulamba unauchukua tena. Kwanini, Kwanini G.. ?[emoji24] [emoji24]...
 4. Namge

  Moyo sukuma damu.. RIP Bro

 5. Namge

  Ukweli machungu..

  Mzee mmoja alinunua Robot ambalo mtu akiongea uongo linampiga kibao dogo akaulizwa umepata ngapi kwenye mtihani dogo akajibu mia mara Roboti likamchapa kofii Baba akasema mi enzi zangu nlikuwa nakuwa wa kwanza mara nae kofii dogo akaanza kucheka mama akasema we unacheka nini unajua huyo ni baba...
 6. Namge

  Wadada kuweni wapole.. Vizuri ni vichache kuleni na wenzenu

  *New world population statistics* Population 7.8 billion people on planet earth. Women *5.6 billion* Men *2.3 billion* So baby gal think twice before saying *NO* to a man.! [emoji4] Tukifanya approximation hapo.. Ke ni 6bns na Me ni 2bns.. Sasa hapo hujatoa vichaa na wazee wa kupumuliwa...
 7. Namge

  Kenya na harakati za kufikishwa kileleni

  Watu wanadai haki ya kukojozwa kwa maslahi.. Na mengine bila haya.. Yanataka yatambulike ka yanapumuliwa kisogoni
 8. Namge

  Ashakum si matusi...

  Wana jukwaa natumai mu wazima na mabukheri wa afya.. Bila kumumunya maneno kilichonileta jukwaani ni video ambayo inazagaa ya vijana Wawili ambao wamenaswa wakifanya vitendo vya kishoga.. Binafsi nmesikitishwa sana na vijana hawa wa Kiafrika.. Malezi ya watot wa kiume Yamekuwa magumu jaman tuwe...
 9. Namge

  Bi Faiza huu urembo na ulimbwende ni haramu

  Mambo ya lipstick.. Mikoba,mikoba ..mascaras brushes ni product ya kitimoto.. Je uislam unasemaje juu ya hili.. Ni sawa kwa mbibie kupaka lip shine inyotokana na nguruwe..
 10. Namge

  Kwa wanagenzi wadurusu wa lugha adhimu..

  Wakati nasoma Shahada yangu ya kwanza, tulitumia diski tepetevu, kicharazio, kirudufu, kinukuzi na kiteuzi. Ilikuwa nadra sana kukuta mwanafunzi anatumia nywila kwenye kipakatalishi. Hata vitu kama mdaki, diski mweko, mtaliga, kadi sakima na kadiwia/mkamimo havikuwepo kabisa. Ila kwa sasa...
 11. Namge

  Kwa hili Wanaume tunahitaji kikao...

  Haiwezekani Watot wazur Kama hawa Afrika hamna watu wa kuwatafuna kisawasawa.. Tumefail mengi lakini hili Jamani Wanaume Waafrika tunaliweza jamani Hili halihitaji technolojia.. Ni kurudi kwenye mitaala chapu tuwaenzi babu zetu.. Waliona mbali Pengine..
 12. Namge

  Kipi ni ngumu Kukipata leo katka ulimwengu wetu wa leo

  Wakuu hebu fungukeni tujue ni kipi adimu...
 13. Namge

  Mrejesho :Mapenzi yameurarua moyo wangu..

  Wana janvi natumai mu wazima.. Na mnaendelea kugangamala na uchumi wa hapa kazi tu.. Ambao sio rafiki na mifuko yetu. Dhumuni kubwa la uzi huu ni kutoa shukrani zangu za dhati kwa ushaur na ushirikiano katka wakat wote wa mpito wa maumivu ya mapenzi na kuvunjika kwa mahusiano.. 1)Baada ya...
 14. Namge

  Mapenzi yameurarua moyo wangu

  Jamani wana jamnvi, Hivi karibuni nilianza kutia shaka nyendo za mpenzi wangu ambae ni mwanachuo wa chuo fulani maarufu tu hapa nchini. Katika kutaka kujiridhisha na doubts zangu nikaandaa mtego simple tu. Ishu ilikuwa hivi, kwa siku za karibuni amekuwa akidai ana msururu wa test kiasi kwamba...
 15. Namge

  Waume kwa wake tujiangalie upya kwenye hili...

  Wana JF natumai mu wazima.. Na mnaendelea vyema kulisongesha gurudumu la taifa.. Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja... Wadungu kutokana na maendeleo ya kijamii na ukuaji wa miji.. Kumeleteleza kuwapo kwa kwa hali ya familia nyingi kuishi maisha ya kupangisha.. Hali inapelekea familia...
 16. Namge

  Youthnize.com: Huu ni utapeli ama uhakika?

  Wanajanvi, Nimekuwa nikikutana na link ambazo zinadai ukijoin na kufanya watu wengine unakuwa unalipwa.Means Unatengeneza pesa through that. I need to know Kama kuna mtu katumia fursa hii na kunufaika nayo atujuze. Youthnize.com Earn 10$ per 10 seconds tasks, Earn 2000$ monthly - Online Job...
 17. Namge

  Ndugu zetu wachaga kwenye hili tujiangalie upya...

  Wasaalamu wana janvi.. Natumai mapumziko ya mwisho wa wiki yako poa .. Niingie moja kwa moja kwenye Mada.. Mwaka Jana nlibahatika kupata kazi na Kampuni moja hapa nchini na bahat nzur nilipangwa mkoa wa Kilimanjaro kama Afisa mauzo. Nlikuwa nazunguka karbu wilaya zote za mkoa wa...
 18. Namge

  Dada zetu kazi kwenu...

 19. Namge

  Wanazuoni wa Kiislam tusaidieni.. Hizo quotation za Ustadhi Hamza ni za kweli

  Na kama ni kweli.. Ndio tafsir ya vifungu hivyo ilivyo... Au anafurahisha umati tu...
 20. Namge

  Kwa waomba ushauri wote JF zingatieni haya..

  Wasalaam wana janvi.. Bila kupoteza mda naomba kutoa maoni yangu juu Ya watu tunaotaka ushauri JF hasa wale ambao hakika wanakuwa kwenye uhtaji wa Mawazo na ushaur toka humu.. Wanasaikolojia na watu wa guidance na councelling ntaomba Msaidie zaidi Kuna vitu muhimu vya kufahamu hasa pale...
Top Bottom