Search results

 1. Jiwe kuu01

  Tatizo la Samsung Galaxy s7 edge

  Wakuu habari zenu, Naiman mu wazima wa Afya. Wakuu Nina simu yangu Samsung Galaxy S7 edge ina tatizo kubwa linalo ninyima raha Wakuu simu yangu haikai na charge yan nikicharge nikifungua data hayapiti masaa manne charge yote inaisha nimejaribu kubadili betry lakin tatzo liko vile vile Wakuu...
 2. Jiwe kuu01

  Nimechaguliwa kozi ya Wildlife Management. Naomba ushauri

  Habari wana JF hongerini na ujenzi wa Taifa letu pendwa TANZANIA Wakuu Naomba msaada wa mambo kadhaa juu ya kozi ya usimamizi wa wanyama Pori. Nimechaguliwa kujiunga na Chuo Cha usimamizi wanyama Pori Mweka katika Kozi ya WILDLIFE MANAGEMENT... Wakuu kwa unyenyekevu mkubwa Naomba mwenye ujuzi...
 3. Jiwe kuu01

  MSAADA WA MAWAZO

  Habari wana JF polen na pia hongeren kwa mihangaiko ya dunia, Wakuu Nina Rafiki yangu Anahitaji msaada wa mawazo yenu Huyu jamaa amemaliza six mwaka huu Alivyorudi2 kutoka shule (Baada ya kumaliza mtihani wa Taifa) akatuma maombi ya diploma kwenye moja ya vyuo hapa nchini. Baada ya matokeo...
 4. Jiwe kuu01

  CHUO CHA MWEKA

  Habari wana JF Msaada wa kimawazo unahitajika Wakuu ndugu yenu hapa nilituma maombi ya kujiunga na chuo cha mweka kwa awam ya Kwanza kwa bahati mbaya Sana sikufanikiwa kupata Cjakata tamaa awamu ya pili Tena nimetuma je Kuna uwezekano wa kupata Nafasi kwa awam hii msaada wenu wakuu [emoji120]
 5. Jiwe kuu01

  Namna ya ku re-apply chuo cha SUA

  Habari wana JF, Naomba msaada kwa yeyote anaye faham namna ya ku reapply katika chuo cha SUA maana nimehangaita toka Asubuhi had muda huu Sijafanikiwa. Msaada wenu wakuu
 6. Jiwe kuu01

  Niombe kozi gani kati ya hizi ambazo hazina ushindani mkubwa?

  Habari wana JF Nataka niombe Kozi kwenye second round itakayo anza kesho. Je kati ya Kozi hizi ipi niweke Kama first priority ili niweze pata chuo awamu hii ya pili
 7. Jiwe kuu01

  Naombeni ushauri wa kuhakiki chuo

  Habari zenu wana JF nina Rafiki yangu amechaguliwa Bsc in Wildlife Conservation pale UDSM na Humani Nutrition pale SUA ameshindwa ku-confirm anaomba USHAURI aende kozi gani kati ya hizo mbili. USHAURI WENU WAKUU
 8. Jiwe kuu01

  Ushauri: Niombe kozi gani second round?

  Wakuu kwa heshima na taadhima HESHIMA yenu, Mdogo wenu hapa naomba msaada. Nimemaliza form six mwaka huu kwenye dirisha la udahili awamu ya Kwanza nimekosa vyuo vyote nilivyoomba ambavyo ni; 1: College of African wildlife management Mweka. Kozi; Bsc in wildlife management 2: Sua Bsc in...
 9. Jiwe kuu01

  Msaada

  Habari wakuu naomba kufaham soko la Wildlife management limekaaje Natanguliza shukran za dhati wakuu[emoji120][/COLOR]
 10. Jiwe kuu01

  Msaada: Naona ufafanuzi napoweza kusoma kozi ya Wildlife Menagement

  Pole na majukum wakuu, Nimemaliza kidato cha sita Mwaka huu nataman sana kusoma Kozi ya wildlife management. Je ni chuo gan kitanifaa kwa Kozi hiyo. Natanguliza shukran zangu za dhati Ma GT
Top Bottom