Search results

 1. V

  Vipi kuhusu hili suala Mahakama kuwa na biashara ya choo cha kulipia?

  Habari wapendwa JF. Kwa huzuni na mshangao mkubwa leo nimeshuhudia kwa macho, akili, masikio yangu nikidaiwa hela baada ya kuingia choo cha mahakamani kuu Mwanza. Ipo hivi: Leo Jji la Miamba, Rock City (Mwanza) lilipata neema ya mvua kuanzia mapema saa 12 asubuhi mpaka mida ya mapema saa tisa...
 2. V

  Meneja wa Salaaman Health Service iliyopo Mwanza mjini ana upuuzi sana kichwani

  Ndugu wana jf sikuwahi fikia muita mzee kama yule mpuuzi lakini inabidi tu. Basi leo tukaamua na jamaa angu tuingie mjini kupiga misele kidogo baada ya kazi ngumu ambazo sio ajira. Kona ya kwanza ya pili tunaona bango linasomeka "SALAAMAN HEALTH SERVICE" mwana akanambia embu tuingie tumuone...
 3. V

  Elimu bure na michango ya lazima wilayani Misungwi

  Habari wapendwa, Ndugu zangu hapo siku chache nyuma nilikuja na uzi wa maji machafu yanayotoka kwenye mabomba ya maji wilayani Misungwi. Hakika JF ni suluhisho la kero zetu tusio hata namba ya mtendaji kijiji.hali hio limerekebishwa na sasa maji yanatoka masafi japo kiasi si salama. Leo tena...
 4. V

  Idara ya maji Wilayani Missungwi na maji yao machafu

  Habari zenu wapendwa! Itifaki imezingatiwa. Hivi karibuni nilitembelea moja ya wilaya za jiji la Mwanza iitwayo missungwi. Tofauti na idara za maji mikoa mingi niliyofika kuwa na usambazaji wa maji safi kabisa ambayo mtu aweza kunywa bila wasi ,hali ni tofauti wilayani hapa kwani maji...
 5. V

  Natafuta kazi yoyote, nipo tayari kufanya Mkoa wowote

  Habari zenu ndugu wapendwa . Poleni na majukumu ya kujitafutia mkate wa kila siku. Ndugu zanguni naandika uzi huu kwenu nikiwa muhitaji wa kazi kutoka kwa mtu yeyote ambaye atakua na fursa hiyo kwangu. Kwa professional, mimi nimesoma MEDICAL LABORATORY SCIENCES ngazi ya diploma. Hivo kama...
 6. V

  ushauri naomba

  HI.......................................... NDUGU ZANGU MIMI NIMEPATA NAFASI YA KUSOMEA UTAALAMU WA MAABARA ZA BINADAMU NGAZI YA DIPLOMA.ILA KWA SASA NASOMA UALIMU NGAZI YA DEGREE KATIKA CHUO FULANI HIVI . NAOMBENI USHAURI NIFANYEJE HAPO
 7. V

  Naombeni ushauri

  Hi kwa wana JF wote: Nachukua nafasi hii kwa dhati kuwaandikia vijana wenzangu na walionizidi umri nikitaka ushauri kutoka kwenu. Mimi nimesoma mpaka form six na kubahatika kujiunga na chuo kikuu kimoja hapa tanzania katika kozi ya UALIMU na kwa sasa nipo mwaka wa 2. Kwa sasa Nimepata nafasi...
Top Bottom