Search results

 1. K

  Funzo kutoka kwa Mbowe kwa kupigania uhai wa Mh.Tundu Lissu

  Ndugu zanguni wapenda amani,maendeleo,uzalendo na haki ni ukweli usiofichika kuwa Mungu ndio mtetezi wa maisha yetu na ndiye mwenye kupanga hatima ya maisha yetu. Mie ni mmojawapo wa Watanzania wengi tuliopokea kwa huzuni kubwa taarifa ya kupigwa risasi Mh.Tundu Lissu(Mb na rais wa TLS) mjini...
 2. K

  Tanzania ya Inayotegemewa ni baada ya Miaka 10

  Salaam Aleykum! Tumsifu Yesu Kristo! Ndugu zanguni,mie nikiwa mzalendo na mpenda amani wa Tanzania kwa tabia zetu zilivyo basi nachelea kusema Maendeleo ya kweli ya Tanzania ni baada ya miaka 20 ijayo kutokana na sababu zifuatazo: 1.Ujinga, Tatizo hili bado lipo miongoni mwa Watanzania na...
 3. K

  Uhusiano kati ya Simu ya Mkononi na Wapenzi

  Habari wanaJf. Nimekuwa nikisikia mengi malumbano na migongano mbalimbali baina ya wapenzi na wanandoa. Migongano ambayo 90% inasababishwa kupitia simu za mikononi. Kwa mfano,me/ke anapoziona text za kimapenzi kupitia cm ya mpz wake au cm ikapigwa ya mchepuko wakati wapenzi wakiwa pamoja...
 4. K

  Nimemzidi mpenzi wangu miaka 14, ni wazo zuri nikitaka kumuoa?

  Habari wanaJamiiForums. Mara nyingi nakuwa na maswali yanayonisumbua kuhusu tofauti yetu ya umri. Nahitaji kuoa, ila tofauti yetu ya umri inanitatiza kidogo kwani nahisi gap ni kubwa zaidi. Nahitaji ushauri wenu.
 5. K

  Kutojitambua Kwa Watanzania ndo chanzo cha Umasikini

  Ndugu zanguni wasomaji,tuna kila sababu ya kuzidi kumshukuru Mwenyezi Mungu Kwa kutupa uzima na uhai mpaka Leo hii tunapoelekea mwishoni mwa mwaka. Nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali wayafanyayo viongozi wetu tuliowapa dhamana ya kusimamia rasilimali za hii nchi na kutuletea maendeleo...
Top Bottom