Search results

 1. J

  Bunge la Ulaya lapiga kura kukataa ubaguzi na ukandamizwaji wa watu weusi duniani

  Haya ni matokeo ya kura za Azimio la Umoja wa Mataifa la Kupinga Ubaguzi wa Rangi ambao umeendelea kuwatesa hasa watu weusi duniani. Nchi zote za Ulaya na mataifa makubwa yamepinga Azimio hilo kwa kupiga kura ya Hapana (No-N) na nyingine kutopiga kura (Abstain -A). Zoezi hilo limefanyika...
 2. J

  Hoja dhaifu juu ya Gwajima lini alikuwa mwana CCM-usiachie mwiba unawachoma

  Wananchaama na wafuasi wengi wa vyama vya upinzani ukiwa msema ukweli na mpinga ufisadi basi wanakuona wewe ni mpinzani na kwa upande mwingine si MWANA CCM kisa tu unasimamia ukweli. Kama utakuwa mfuatiliaji wa hotuba mbali mbali na makemeo ya Mgombea wa CCM Jimbo la kawe utagundua ujasili...
 3. J

  Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

  HALIMA MDEE, FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO UMEPELEKA WAPI? Bunge la JMT limetunga Sheria iliyoanzisha na kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo kwa lengo la kurahisisha na kumsaidia Mbunge wa kuchaguliwa Jimboni kupata fedha hizo kwa lengo la kurahisisha kutatua changamoto mbali mbali za Maendeleo...
 4. J

  Uchaguzi 2020 Nakuonya Tundu Lissu kuelekea uchaguzi mkuu 2020

  Katika kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imekuwa kama desturi kwa maadhi ya vyama vya siasa kikiwemo CHADEMA kuendeleza siasa zenye mrengo wa vurungu na uvunjifu wa amani. Ni muhimu sana kama taifa kukumbushana baadhi ya vitu tunapoelekea katika uchaguzi huu maana mchakato upo mwanzoni lakini...
 5. J

  Kizungumkuti hifadhi ya Burigi

  Tuwekane sawa kidogo kuhusu mambo ya uongo ambayo ameongea ndugu TUNDU LISU mgombea uraisi kwa nafasi kupitia chama Cha demokrasia na maendeleo. HIFADHI YA TAIFA YA BURIGI Mwanzo kabisa hi hifadhi ya taifa ya burigi kabla kupandisha hadhi kuwa hifadhi ya taifa ya wanyama pori, Lili kuwa ni...
 6. J

  Rushwa yampa Uenyekiti Kheri James UVCCM

  Rushwa ni hatari katika ustawi wa demokrasia ya nchi yetu katika kipindi ambacho tunaona mabadiliko makubwa ya kupambana na rushwa katika taifa letu. Inasikitisha sana ukiona vijana ambao tunategemea kuwa mfano katika kupambana na rushwa katika kipindi lakini imekuwa tofauti katika chaguzi za...
 7. J

  Uchaguzi UVCCM: Mjue kijana Thobias Mwesiga Richard!

  Kwa ilipofikia Uvccm inaitaji Kijana aina ya Thobias Mwesiga Richard. Kiujumla anafiti kuanzia kwenye umri kama kigezo kikuu cha Ugombea naye amekidhi takwa hilo. Uwezo Wa kusimama na kujitoa kwa ajili ya Chama inanikumbusha 2015 pale ofisi ya Naibu katibu Mkuu ilipo mteua kuwa sehemu ya Timu...
 8. J

  Rais Magufuli nusuru njozi yako ya kufufua ATCL

  JPM NUSURU NJOZI YAKO YA KUFUFUA ATCL. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa amemsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi mkuu wa shirika la ndege Tanzania ATCL Captain Jonson Mfinanga na Mkurugenzi wa uendeshaji Captain Sadick Muze kwa kosa la kuchagua rubani mmoja asiye na sifa...
 9. J

  Kijue chama cha siasa chenye muundo wa kipepekee Tanzania

  Ni chama cha siasa hapa Tanzania chenye sifa za kipekee 1. kina M/kiti Taifa lakini Hakina Makamu wake 2. Kina Katibu wake Taifa lakini Hakina Katibu msaidizi 3. Kina M/kiti wa Vijana lakini hakina Makamu wake 4. Kina Makamu M/kiti wanawake taifa hakina M/kiti wake 5. Kina...
 10. J

  Mapinduzi ya saa tisa Mzee Karume alikuwa wapi....?

  MAPINDUZI YA SAA TISA MZEE KARUME ALIKUWA WAPI....? Usiku wa tarehe 12 Januari 1964 kundi la watu 300 walikitwaa kisiwa cha Unguja wakiongozwa na mtu asiyekuwa maarufu kipindi hicho, aliyekuwa akiitwa John Okello, John Okello alikuwa akiishi Pemba ambako alitokea Uganda miaka michache tu...
 11. J

  Kombe la Amani cup lililofadhiliwa na Dr. Fenella Mkangara lawaunganisha vijana wa jimbo la ubungo

  Mashindano haya yaliyofadhiliwa na Mh. Fenella ambaye ni waziri mwenye dhamana na michezo pamoja na vijana yalikuwa na madhumuni ya kuwa weka vijana pamoja bila kujali itikadi zetu za kisiasa wala kidini na ndio maana yakapewa Jina la Amani cup....! timu zilizofika fainali katika kombe la...
 12. J

  Maadhimisho ya wiki ya vijana na kilele cha mbio za mwenge mkoani iringa

  Maadhimisho ya wiki ya vijana na kilele cha mbio za mwenge mkoani iringa
 13. J

  Taifa la wadokozi, wezi, wasaliti, wazushi, waongo kamwe haliwezi kusonga mbele kwa kauli za big res

  TAIFA LA WADOKOZI, WEZI, WASALITI, WAZUSHI, WAONGO KAMWE HALIWEZI KUSONGA MBELE KWA KAULI ZA BIG RESULT NOW! Taifa letu sasa linatimiza miaka 52, ni miaka mingi na michache kulingana na mitazamo na maoni ya watu. Wapo watu wanaofikiri nchi kuendelea inahitajii miaka zaidi ya hamsini nayo kwao...
 14. J

  Kutoa taarifa za siri katika Mawasiliano ya Elektroniki ni kosa la jinai

  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YAH: KUTOA TAARIFA ZA SIRI KATIKA MAWASILIANO YA ELEKTRONIKI NI KOSA LA JINAI Jana na leo...
 15. J

  Tenga wa TFF ni tenga linalovuja kwa demokrasia ya michezo Tanzania

  Ukitazama kwa ujumla mchakato wa uchaguzi wa Tff utagundua umejawa na kichefuchefu cha ukiukwaji wa kikatiba kwa muda mrefu. Ifahamike hiki ndicho walichopanda muda mrefu kwa kigezo cha kudumisha utawala bora Kama wanavyo jitaidi kunadi katika vichwa vya watanzania na si kwa kiwango gani...
 16. J

  Tenga aula

  Ukitazama kwa ujumla mchakato wa uchaguzi wa Tff utagundua umejawa na kichefuchefu cha ukiukwaji wa kikatiba kwa muda mrefu. Ifahamike hiki ndicho walichopanda muda mrefu kwa kigezo cha kudumisha utawala bora Kama wanavyo jitaidi kunadi katika vichwa vya watanzania na si kwa kiwango gani...
Top Bottom