Search results

 1. P

  We Won't Leave Power,says General

  We won’t leave power, says General Otafiire David Mafabi Manafwa Local Government Minister Kahinda Otafiire has said the NRM party will not hand over power even if it loses in democratic elections. His comments continue the hardening of rhetoric between the ruling party and its opponents...
 2. P

  Wanaume Wa Pwani

  Mhh!!. Mmomonyoko wa maadili! .Nakuunga mkono, madhara ni makubwa kuliko faida.
 3. P

  Wanaume Wa Pwani

  Nipo tayari kukueleza vizuri isipokuwa nakuomba uwe wazi ni wapi unataka kuelewa kati ya haya mawili yaliyokuwa kwenye hoja ya msingi. 1.Wanaume wa Pwani kupenda kuruka ukuta 2.Akina mama wanaorukwa ukuta hupatwa na matatizo ya kujifungua. Haya wapi unapotaka maelezo.
 4. P

  Wanaume Wa Pwani

  Kunta na wengine wenye hoja kama zako, Hoja si lazima itoke kwangu moja kwa moja,hoja haiwezi kukosa mashiko eti kwa sababu tu kuna neno 'nasikia'. Mimi sikuelewi una msimamo gani unapinga au unakanusha kwamba hiyo tabia haina mizizi pwani.Watu wengi waliochangia hoja wameunga mkono na...
 5. P

  Wanaume Wa Pwani

  Nasikia wanaume wa pwani wengi wanapenda kuwafanyia kitu mbaya wake zao, wenyewe huita 'kuruka ukuta' na hii imekuwa ikigundulika hasa wake zao wanapokwenda hospitali kujifungua na kupata taabu kwa vile fyuzi zote huwa zimeshalegea za kuwawezesha kukusanya nguvu za kusukuma mtoto.Mbali na tabu...
 6. P

  Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

  Kama una hamu ya kuwatumikia watu kupitia siasa nenda kagombee CHADEMA,CUF,TLP Kama unatafuta nafasi ya kazi ya Ufisadi CCM basi nenda kajaribu bahati yako kijijini kwenu kama na wewe huko baba yako anajulikana kuwa ana mashamba makubwa, ana ng'ombe nyingi au alikuwa chifu.Huko utawapa...
 7. P

  Mhariri wa Mwanahalisi akatwa mapanga

  Hapa piga ua lazima pana mkono wa akina MVI na MAFISADI wengine walioanikwa na mwana halisi. Lakini Kubenea ni Mpiganaji,amepoteza gari,ametishwa sana lakini ameendelea kuwaanika,na hata jana baada ya kushambuliwa ameapa kuendelea kuwaumbua hadi siku ya mwisho wa uhai wake Na leo alfajiri...
Top Bottom