Search results

 1. Z

  Franco Mtui apooza mwili mzima

  Franco amefia Nairobi, ambako alipelekwa kwa matibabu zaidi. Atazikwa kwao Marangu Moshi, ijumaa tarehe 11. Mungu aiweke roho ya marehemu pahala pema peponi.
 2. Z

  Movie iliyowahi kukutoa machozi....

  "The Champ"
 3. Z

  Messi aweka rekodi ligi kuu hispania

  Ronaldo aliweka rekodi ya kuzifunga timu zote, season iliyopita, lakini sio consecutively. Well done Messi.
 4. Z

  Mwalimu Nyerere vs Thabita Siwale

  Makongoro Nyerere alisoma Tabora Boys mpaka anaenda jeshini.
 5. Z

  Picha: Mwingine familia ya Nyerere ajiunga CHADEMA

  Joseph Nyerere alishashika nyadhifa tofauti katika nchi hii. Alishakua Waziri Mdogo wa Utalii, Mkuu wa Mkoa Mwanza n.k. pia alikua mbunge wa muda mrefu, na alishakua mbunge wa East Africa Legislative Council. Mengineyo, wazo la kuanzisha JKT ni la kwake, alitoa Israel, na pia alianzisha TANU...
 6. Z

  Picha: Mwingine familia ya Nyerere ajiunga CHADEMA

  Wako nane, kuna Pauleta Nyerere
 7. Z

  J. K Nyerere: 'Malecela na Lowassa hawafai urais Tanzania'

  Nyerere hakumkubali JK, in fact alimtumia ujumbe Mkapa kuwa mtu yeyote aliyeshindana nae kupata urais amtupe mbali, kwani nia ya kuutaka urais bado itakuwepo. Mkapa akamtupa JK Wizara ya Nje, akijua atakua harmless, kumbe kasahau mtandao ulikuwa umeshaanza kazi, na pia kuingia kwa wakina Rostam...
 8. Z

  Mdahalo wa Ugomvi: Ati Nyerere alikuwa Dikteta; aliua wengi...

  Kweli kabisa. Madaktari wanne, injinia mmoja, barabara ya lami mpaka Morogoro tu. Bora ukoloni mara mia.
 9. Z

  Generali Ojukwu Ni Kwanini?

  Tanzania ilivotuma jeshi kwenda kuikomboa Seychelles, na mpaka Seychelles iko jinsi ilivyo kwa sababu yale mapinduzi yalizimwa na jeshi letu, pia ni wrong policy? Hapa ndio CCM wanapopotezana na wananchi. Wanatafuta point kwa lolote baya linalotokea sasa hivi kuwa ni kosa la history, kama vile...
 10. Z

  Mkapa ana matatizo gani? Angalia na hili....

  Kumbe tunalia wenyewe tu, yeye sio mwenzetu tena? Doh!
 11. Z

  Tunamuonea Rais Kikwete?

  sidhani kama kwake yeye mwenyewe ime sink in kwamba kweli yeye ni rais. He is still dumbfounded. Atakumbuka shuka asubuhi tu
 12. Z

  Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

  Mkuu, watoto wa Mwalimu wote wako hai
 13. Z

  Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

  Maswali yamepangwa. He is doing a good job though
 14. Z

  Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

  Seems he isn't too proud of being a baharia leo. Anasema he worked in the shipping industry
 15. Z

  Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

  Maskini, ana hema sana I say!
 16. Z

  Wazanzibari wataka ajira kwa Watanganyika huko Visiwani ikomeshwe; wagonga mwamba!

  Wakipitisha hilo watasema baadae ni wazanzibari wenye ngozi nyeusi tu. Huyo Jusa hajui anajichimbia kaburi mwenyewe kidogo, kidogo.
 17. Z

  Wassira: Nasisitiza Vincent Nyerere sio Ukoo Wa Nyerere

  CCM bana! Si na wao wangemwomba Makongoro awe mwenyekiti wa kampeni zao basi? Cha kushangaza ni kuwa, Vincent alimpigia kampeni sana Kikwete Musoma kwenye uchaguzi wa 2005. Na ni Vincent na timu yake ndio waliomwezesha JK kukubalika sana Musoma. Na Vincent mwenyewe alitaka kugombea ubunge wa...
 18. Z

  Mkapa, Vincent na Madaraka: What Else?

  Enlighten me sir, what was the issue?
Top Bottom