Search results

 1. K

  TANESCO na Kukata Umeme Bila Utaratibu

  Hivi wanajamvi, haka katabia ka TANESCO kuchezea switch kila ikifika saa mbili na kuendelea mpaka kwenye saa tatu hivi kila siku ni kwa baadhi ya maeneo tu hapa Dar au kila sehemu..? Mara ukatwe ghafla mara uwashwe mara ukatwe mara uwashwe utafikiri ni kamchezo... Au ndio hasira za ESCROW..!!!..?
 2. K

  Elections 2010 Utangazwaji wa Matokeo

  Wana JF, Kuna tetesi kuwa CCM wana mpango usiofaa wa kuchakachua idadi ya kura katika majimbo ya Kawe na Ubungo na wanachelewesha kutangaza matokeo ili wapate akili ya namna ya kufanya ubadhirifu kwa mara nyingine. Kama kuna mwana JF amesikia confirmed news kuhusu Ubungo na Kawe plzzzzzzzzzz...
 3. K

  Usalama Jijini Dar

  Wadau mimi binafsi na ninaamini wakazi wengi wa jiji la Dar wanakerwa na vitendo vya kihalifu ambavyo vimekuwa kwa kasi kubwa. Watu wanakabwa na kunyang'anywa magari kama vile wizi wa simu; watu wanaumizwa na kuuawa kila siku; watu wanaibiwa kibabe hasa kwenye mataa ya ubungo kwa kung'olewa site...
 4. K

  Umiliki wa Mali - Mume na Mke

  Ndugu wana JF, Kuna swali napenda sana lijadiliwe. Endapo mume au mke kastruggle akanunua mali kama magari, nyumba au viwanja, na thamani mbali mbali. Je, kati ya haya ni lipi sahihi katika umiliki: 1. Kuandikisha mali kwa jina lake mwenyewe 2. Kuandikisha mali kwa jina lake na la mkewe au...
 5. K

  Speech za Viongozi wa TZ

  Kumekuwa na tabia ya viongozi wetu kutoa speech za kiswahili panapokuwa na mgeni toka nchi au taasisi za kimataifa kama IMF, UN, World Bank bila ya hata kuwepo kwa vifaa vya kutafsiri au wakalimani. Natambua kuwa viongozi wetu wanajaribu kuonyesha umuhimu wa lugha ya taifa ila wanasahau kuwa...
Top Bottom