Search results

 1. M

  Kwa Serikali hii Lissu hawezekani

  Nimebaki mtazamaji wa suala hili kwa muda mrefu nikijaribu kupata mdhahania wa hoja za pande zote mbili, Lissu upande mmoja na serikali upande mwingine. Tutakubaliana kwamba Lissu ni kati ya watanzania wachache waliobaki wenye uwezo wa kujenga hoja na kueleweka. Lissu ana kipaji cha kutumia...
 2. M

  Sasa Imethibitika Profesa Kabudi Kafeli

  Mbwembwe nyingi za nguli wa sheria Profesa Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi mara tu baada ya kuteuliwa kuchukua nafasi ya uwaziri sasa zimefika tamati. Hii inaweza kuhusishwa na ugumu wa nafasi aliyopewa, kukosa uwezo au hata ufanisi wa viongozi wake wakuu kwa maana ya Rais, Makamu wa Rais na...
 3. M

  Baada ya utekelezaji wa sheria ya kodi jana, nasubiri ile sheria ya matibabu ya Lissu

  Siku hizi kadhaa kumezuka wimbi kubwa sana la wanachama watiifu wa chama cha Mapinduzi kutetea na kurejea katiba, sheria, kanuni na taratibu za nchi. Hili limedhibitishwa na mpiga zumari wa Ikulu ndugu Musiba kumkandia RC Makonda kwa kutaka kuvunja sheria za kodi. Mtegoni pia alinasa waziri wa...
 4. M

  Upinzani ni agano la Mungu, usaliti toka Kristo

  Kwa kuangalia kwa jicho tenge unaweza kuhitimisha kwamba mbio za upinzani Tanzania ziko ukingoni. Hitimisho hili linashereheshwa na maneno, matendo na matamanio ya Serikali ya Awamu ya Tano (Ongeza vibwagizo "iliyochini ya mzalendo namba moja Dr. John Pombe Magufuli" na/au "Hapa Kazi Tu")...
 5. M

  Ndio wale wale waliombeza hata Tundu Lissu?

  Leo The Economist limeandika makala ndefu kumhusu mwenendo wa utawala wa rais Magufuli kwa takribani miaka mitatu toka ainuse Magogoni. Mengi wa waliyoandika siyo mageni, ni yale yale, yaliyoungumzwa na Tundu Lissu mapema mwaka 2016, siku chache tu toka ukandamizaji wa utawala wa sheria...
 6. M

  Ni vigezo gani has???

  Makampuni ya DELLOITE, KPMG, E&Y na PWC hutumia vigezo vipi hasa kurecruit graduates??
 7. M

  The theory of "Just If" and Lissu

  The day just about to end with the news about the MOU btn the gvt of URT and BARRICK being signed to deal with some controversies over the contract on mineral extraction for the past decade and a half. It can not be underestimated that this has been praised as a commendable step towards...
 8. M

  Kumbukumbu ya miaka 40 kifo cha Steve Biko na hali ya kisiasa nchini

  Tarehe 12/9/1977, kijana Steve Biko aliyekuwa akipingana na sera za kibaguzi wa rangi aliuawa nchini Afrika Kusini. Biko aliuawa akiwa kijana mdogo tu wa miaka 30 na ushee ingawa alikuwa amefanya makubwa na yakukumbukwa sana nchini mwake na ulimwenguni kote hadi hii leo. Kifo cha Biko...
 9. M

  Wiki ijayo Jamhuri itasali kanisani tena au leo ni msikitini??

  Ingawa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema nchi yetu haina dini, hali sasa ni tofauti. Kila inapofika siku ya kuabudu iwe ijumaa, jumamosi au jumapili rasilimali fedha na rasilimali watu, mali ya Jamhuri ya Muungano, vinatumika katika ibada, suala, makongamano ya kidini, mihadhara...
 10. M

  Kumbukumbu ya Mwangosi imenikumbusha Kamanda Mawazo na Ben Saanane

  Tukiwa katika kumbukizi ya miaka mitano toka kifo katili cha Daudi Mwangosi aliyekuwa mwandishi wa chaneli ten huko Nyororo Iringa, nimewakumbuka makamanda wangu wawili. Kwanza, Kamanda Alphonce Mawazo aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Geita na mgombea ubunge jimbo la Busanda mwaka 2015...
 11. M

  Zitto bado unamkejeli Uhuru Kenyatta??

  Majuma au siku kadhaa zilizopita kuna andiko la Zitto Kabwe lilisambaa mitandaoni. Katika andiko lile Zitto alitukandia tunaomwita Uhuru Kenyatta mwanademokrasia. Katika andiko lile akiwa anamzungumzia Uhuru, Zitto alisema "ambaye siku hizi mnamuita mwanademokrasia" Je bado Omwami unamkejeli...
 12. M

  Zitto bado unamkejeli Uhuru Kenyatta??

  Majuma au siku kadhaa zilizopita kuna andiko la Zitto Kabwe lilisambaa mitandaoni. Katika andiko lile Zitto alitukandia tunaomwita Uhuru Kenyatta mwanademokrasia. Katika andiko lile akiwa anamzungumzia Uhuru, Zitto alisema "ambaye siku hizi mnamuita mwanademokrasia" Je bado Omwami unamkejeli...
 13. M

  Tuzo ya mwanasiasa bora wa mwezi wa nane.

  Ikiwa ni dakika kadhaa zimesalia kabla ya kuhitimisha mwezi huu wa nane, 2017 ni nani anastahili kupewa tuzo ya mwanasiasa bora wa mwezi huu wa nane kati ya hawa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt John Pombe Joseph Magufuli. Rais mstaafu wa awamu ya nne...
 14. M

  Tuseme kweli, kwa maswali yale usaili TRA hata Kamishina hachomoki

  Nimeyasoma maswali ya usaili kwa waombaji wa nafasi mbalimbali za TRA nachelea kusema hata angepewa Kamishina mkuu wa TRA angefeli. Kwa aina hii ya maswali ndo kujaribu kufelisha watu ili wapatikane hao mia nne au nini hasa. Bado nashangaa.
 15. M

  Wazalendo Lissu na Zitto tunaomba mtujulishe maendeleo ya ndege yetu iliyoshikiliwa

  Baada ya msemaji wa serikali kukiri kuwa ndege yetu (Bombadier) inashikiliwa kule nchini Canada, naoana kimya kinatawala. Naomba Wazalendo Lissu na Zitto mliyoibua hoja ya ndege yetu kushikiliwa mtujulishe tumefikia wapi kulipa deni??
Top Bottom