Search results

 1. E

  Hivi pesa ya kishika uchumba huwa ni shilingi ngapi?

  Habari za Leo wakuu, Nahitaji kujua hivi pesa ya kishika uchumba huwa ni shilingi ngapi? Na anayepanga huwa ni nani? Na anapewa nani?
 2. E

  Namtafuta anayesoma masters ya uchumi UDSM

  Habarini za Leo wakuu, Namtafuta mtu anayesoma masters ya Uchumi UDSM. Kama yupo hapa ajitokeze
 3. E

  Hotuba ya Joe Biden mara baada ya kuchaguliwa kuwa Rais wa 46 wa Marekani

  Habari za leo wana JamiiForums, Natumai muwazima wa afya njema. Leo nilikua naangalia hotuba ya Rais wa U. S aliyechaguliwa bwana Joe Biden. Kwakweli ukimsikiliza kwa umakini Joe Baden unaweza mfananisha na Obama kwa jinsi anavyo hutubia. Mimi nadhani tutarajie yale aliyoyafanya Obama ndio...
 4. E

  Maneno ya busara ya Obama yamtoa machozi Joe Biden

  Habari wana JamiiForums. Natumai muwazima wa afya tele. Ndugu zangu bila kumumunya maneno kuna watu jamani wamejaliwa kuzungumza maneno ya busara hapa duniani. Ukimsikiliza huyu bwana Obama unatamani uendelee kumsikiliza. Amezungumza maneno fulani yaliyo mtoa Joe Baden machozi. Kwakweli...
 5. E

  Kamala Harris akicheza ngoma mara baada ya kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais U.S

  Kamala Harris akicheza ngoma mara baada ya kuchaguliwa kuwa makamu wa Rais U.S. Na ifahamike kwamba Kamala Harris ndiye mwanamke wa kwanza mweusi kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais nchini humo.
 6. E

  Matokeo ya uchaguzi Marekani 2020: Uchaguzi ‘umechafuliwa’ na madai ya wizi wa kura

  Matokeo ya uchaguzi Marekani 2020:Uchaguzi ‘umechafuliwa’ na madai ya wizi wa kura Uchaguzi ‘umechafuliwa’ na madai ya wizi wa kura EPACopyright: EPA Ujumbe wa kimataifa umesema uchaguzi wa Marekani ‘umechafuliwa’ na madai ya wizi wa kura na majaribio ya kwanza kabisa ya kushusha imani ya...
 7. E

  Kijana mtanzania kaimba moja ya wimbo mgumu wa Rihanna

  Kijana mtanzania kaimba moja ya wimbo mgumu wa Rihanna
 8. E

  Eti kisa nazingua kumwoa ameniambia sina future

  Wakuu hivi hawa dada zetu ninyi mnawaelewa kweli. Eti kisa nazingua kumwoa ameniambia sina future. Wakati kila siku ananiambia beibe nakupenda na kunipiga mabusu motomoto. Wakuu ninyi mnaelewaje hizi ishara.
 9. E

  Njoo uchukue ramani ya bure kabisa ukajenge

  Habarini ndugu na marafiki, Sote ni ndugu kwa sababu sote ni watanzania kwa hivyo sio vibaya wakati mwingine kusaidiana. Sasa leo hii nimeamua kutoa ramani ya bure kabisa ili ukajenge. Ukihitaji PDF file yake klick hapo chini kabisa nimesha kuwekea. Kumbuka vipimo vyote kwenye hii ramani...
 10. E

  Maswali na Majibu, Questions and Answers (Science, Engineering, Accounting and Management)

  Habarini za leo ndugu na marafiki. Kwa majina naitwa Ellyskywilly na mawasiliano yangu ni ellywilly728@gmail.com Uzi huu utakua maalumu kwa maswali na majibu, ya science, engineering, accounting na management. Nimeandaa maswali na majibu mengi tu ambayo yanafaa kwa uma wa Watanzania...
 11. E

  World's 10 largest oil and gas industry contractors

  Habarini ndugu zangu, Kwa majina naitwa Ellyskywilly, nimeandika uzi huu maalum kuelezea 10 biggest Oil and Gas industry contractors. Nitaomba kutumia lugha ya kiingereza kwasababu itakua ni nyepesi zaidi kutolea maelezo. The biggest contractors working in the oil and gas industry today...
 12. E

  Uchaguzi 2020 Ni Rais Dkt John Magufuli pekee mwenye uwezo wa kudhibiti haya

  Ni Rais Dkt John Magufuli pekee mwenye uwezo wa kudhibiti haya. 1.Kuondoa wavivu na wasiopenda kufanya kazi 2. Kuondoa mafisadi 3.Kuondoa wala rushwa 4. Kuondoa watakatishaji wa fedha za miradi 5. Kuondoa wafanya biashara za magendo 6. Kuondoa wenye vyeti feki 7. Kuondoa wala mishahara...
 13. E

  Hili ndio litakua hiphop kali na lenye beat funiko mwaka 2020

  Haina ubishi wakuu hakika hili ndio litakua hiphop kali na lenye beat funiko mwaka 2020. Beat lake tu ni hatari. Kama una sabufa lako jirani hapo jaribu kuconnect utasikia bonge la dundo.
 14. E

  Hili ndio song kali kuliko masong yote Tanzania kwasasa

  Wakuu kiukweli tukubali tukatae hili ndio song Kali kuliko yote Tanzania kwasasa. Ukilitizama hili song unatamani uendelee kutazama tu.
 15. E

  Hatua za kufuata wakati wa kufanya maombi ya full funded scholarship ya kusoma nje ya nchi

  Habari za Leo ndugu na marafiki. Leo nitaelezea hatua za kufuata wakati wa kufanya maombi ya full funded scholarship ya kusoma nje ya nchi. Basi ili walau kupata mwanga wapi pa kuanzia fuatana na mimi katika hii video fupi.
 16. E

  Aisha vs Zuchu nani juu?

  Habari za leo wakuu, Leo nimekuja na song la my best friend anaitwa Aisha, song linaitwa stay. Kila nikiingia youtube naona viewers wanaongezeka kwa kasi mnoo. Hii inatangaza hali hatari kwa ZUCHU. Nataka tumlinganishe na Zuchu kupitia hili song. Nani yupo juu ya mwenzake. Pengine Aisha...
 17. E

  Hivi GPA ya Diploma inaishia ngapi?

  Habari za leo wakuu, Nahitaji kujua GPA ya diploma inaishia ngapi? Maana najua ya Bachelor inaishia 5. Napia mtu anaye pata GPA ya 2. 6 kwa Diploma uwezo wake ukoje?
 18. E

  Jiji la Dar ndio Jiji muhimu zaidi kwa uchumi wa Tanzania

  Jiji la Dar ndio jiji muhimu zaidi kwa uchumi wa Tanzania. Kwasababu asilimia 99 ya vitu vyote vinavyo tumiwa na watanzania hadi wale wa vijijini vinatokea Dar es Salaam 1. Mafuta ya magari na bodaboda zote 2. Viatu na nguo toka nje ya nchi 3. Mafuta ya kula na taa 4. Vifaa vya ujenzi...
 19. E

  Jinsi ya kujua idadi ya mbao zinazohitajika kwaajili ya kuezeka nyumba

  Hi guys, Hello everyone, I'm Ellyskywilly. As I told you previously that I'll be designing different kinds of houses and I'll be posting each thing which'na be doing. So for that case, I'm still continuing with my project of house design. And today I've come with the project which I've...
Top Bottom