Search results

 1. V

  Kila nikitafuta wa kumuoa, naangukia kwa wadada wenye umri mdogo

  Wanajamvi habari zenu. Twiga Stars wananiganda, najibandua naangukia kwao tena. Nataka veteran mwenzangu (24+) Naombeni ushauri, Mimi ni kijana wa umri uliokomaa kuoa sasa hivyo nataka kuanzisha michakato ya kuoa ingawa kikwazo kikubwa sipati wale mabinti ninaowataka isipokuwa wanajilengesha...
 2. V

  Ushuhuda: Aliyewahi kuacha kupiga punyeto aje hapa atoe ushuhuda

  Wanajamvi hamjambo? Natumai mu wazima wa afya, leo nataka nijifunze kitu hapa. Miaka kadhaa ya nyuma tuliwahi kutoa semina hapa jamvini namna yakuindokana na tatizo lakupiga punyeto kwa wanaume. Leo natamani kupata ushuhuda kutoka kwenu kama yupo aliyewahi kufanikiwa kuacha. Sent using...
 3. V

  Baby zima taa naumia macho!!

  Wanajamii nisaidieni hii tabia ya baadhi ya mademu kuomba taa izimwe kabla ya Show wanahofia nini? W engine ukitext unakuta inakaba vizuri nyingine zinalegea na kuburuza hadi kwenye magoti zisipozuiliwa na kufuli. Msaada uzoefu wenu unasemaje??
 4. V

  Gwamaka Mbugi: Kikongwe anayemezea mate BAVICHA

  Ni kikongwe cha mbegu!! Ndivyo unavyoweza kusema kwa urahisi. Katiba ya CHADEMA toleo la mwaka 2006 kama lilivyofanuiwa marekebisho mwaka 2014 ikisomwa pamoja na Miongozo ya Mabaraza ya chama pamoja na Kanuni za Uchaguzi ndani ya chama zinamtambua Kijana mwenye umri usiozidi miaka 30 hata kwa...
 5. V

  Naomba kufahamu vyuo vya urubani na maswala ya Anga

  Wadau habarini za jumatatu, naombeni mnisaidie kufahamu vyo vya kati na vya juu vinavyotoa fani za urubani na maswala ya anga (Pilot studies and aviation management or any other related courses) vinapatikana wapi na mahitaji ya mchepuo gani wa masomo gani huzingatiwa? Nawasilisha ndugu zangu...
 6. V

  Studio za Tongwe Record ziko sehemu gani.

  Wadau habarini, Naombeni msaada wa zilipo Ofisi za Tongwe Record. Tafadhali sana kwa anayejua anisaidie hivi sasa Natanguliza shukrani
 7. V

  Msaada wenu juu ya simbanking Equity bank Tanzania

  Wana jamvi habarini za muda huu. Wadau naombeni mwenye kujua menu ya sim banking ya benki ya Equity tafadhali. Vella Tanzania
 8. V

  Mtandao wa Wanafunzi (TSNP)watoa Tamko zito waonya pilisi kutumia nguvu

  TAARIFA YA AWALI YA MTANDAO WA WANAFUNZI TANZANIA JUU YA MAANDAMANO YA WANAFUNZI HUKO BARIADI SEKONDARI. Na, *Joseph Brighton Malekela* Makamu mratibu Taifa TSNP _ Kitengo cha Sekondari Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) unapenda kuutarifu umma kuwa, palifanyika maandano ya amani ya...
 9. V

  Science teaching Opportunities

  There are you guys, good afternoon to you all comrades! Comrades i'm looking to fill the teaching vacancy there at Nairobi Kenya. I'm Degree bachelor holder in Science with Education (Biology and ICT). I'm competent in Computer programing, Web design, Computer Network and security, System...
 10. V

  Baba wa mchumba wangu alimuua baba yangu

  Wadau salaam, Ni kijana wa miaka 28 naishi Masaki D'salaam, nina shahada moja ya udaktari wa binadamu na stashahada ya sheria. Mchumba wangu ana shahada ya Biashara na Utawala. Sijao ila nina mchumba wangu tangu tukiwa Advance, hadi leo tunaishi vizuri kwa kuheshimiana, kujaliana na...
 11. V

  Msaada wadau kuhusu namna yakupatikana GPA

  Ndugu habarini za asubuhi, naomba kueleweshwa kwa wale waliokwisha kuhitimu chuo kikuu, eti G.P.A ya mwisho wanachukua ile ya semister ya mwisho ya mwaka wako wa mwisho au wanachukua jumla ya ufaulu (G.P.A) ulizopata tangu first year nakuzijumlisha kisha wakagawa kwa idadi ili wapate mean av. Ya...
Top Bottom