Search results

 1. M

  Akina baba kushiriki afya ya uzazi ni ndoto

  Ni muda mrefu jamii hasa akina baba wamekuwa wakiimizwa kushiriki Afya ya uzazi kwa maelezo kuwa akina baba wanaposhiriki kikamilifu husaidia kupunguza vifo vinavyotokana na matatizo ya uzazi. Mimi ni mmojawapo wa watu waliokuwa wamehamasika nakuwa mstari wa mbele kutimiza kampeni hiyo ya...
 2. M

  Shop display freezer

  Wadau poleni na kazi. Natafuta freezer ndogo ya kuuza ice cream. Naomba msaada wapi nawezapata na being yake. Natanguliza shukrani.
 3. M

  Magufuli aonesha vipaumbele vyake

  Baada ya kutangazwa kuwa mgombea uraisi kupitia CCM, Magufuli alishindwa kuonesha vipaumbele vyake na baadae kukazania kuwa anasubiri ilani ya chama na hata alipolazimika kutoa neno alijikita katika nyota iliyofifia ya JK kuwa "nitaendeleza ya JK" REJEA HII MAKALA Jiulize, embe lililokua...
 4. M

  Gharama za uingizaji magari

  Heshima kwenu wakuu, naomba kujua kama kuna gharama za ziada mbali na zinazoonekana kwenye calculator ya TRA na ile uliyolipa kwa muuzaji hadi gari kuingia barabarani. Ahsante!
 5. M

  CHADEMA isipotoa tamko hili litatugharimu uchaguzi ujao

  Vijana wengi na wananchi wote wapenda mabadiliko waliochoshwa na ‘bakora' za CCM tuliamua kuingia CHADEMA baada ya kuona sera za chama hiki zikisimamiwa na kutekelezwa kwa vitendo huku viongozi wake wakiwa imara katika kuwatetea wanyonge na inapobidi kuhatarisha maisha yao. CHADEMA sasa...
 6. M

  Mkopo toka benki ya Stanbic

  Wadau, Naomba ufafanuzi wa sheria juu ya mikopo ya taasisi za fedha. Nilichukua mkopo Stambic Bank kwa dhamana ya mshahara kutoka kwa mwajiri wangu lakini kabla sijamaliza mkopo huo kumetokea kuyumba kwa uchumi hapa kazini hali iliyopelekea kukosa mishahara kwa zaidi ya miezi sita sasa kutokana...
 7. M

  Kwa wenye uzoefu na mikopo ya benk/sheria za mikataba

  Habari zenu wadau, Kwanza niwapongeze waliobuni na kuanzisha jukwaa hili ambalo siyo tu ni chanzo cha habari mpya, burudani bali pia kisima cha maarifa. Hapana shaka kuwa kila anayetembelea jukwaa hili huondoka na fikra na mtazamo tofauti juu ya maisha yake binafsi, taifa na mahusiano yetu...
 8. M

  Kwa wenye uzoefu na mikopo ya benki/sheria za mikataba

  Habari zenu wadau, Kwanza niwapongeze waliobuni na kuanzisha jukwaahili ambalo siyo tu ni chanzo cha habari mpya, burudani bali pia kisima chamaarifa. Hapana shaka kuwa kila anayetembelea jukwaa hili huondoka na fikra namtazamo tofauti juu ya maisha yake binafsi, taifa na mahusiano yetu...
 9. M

  Kwa wenye uzoefu na mikopo ya benk/sheria za mikataba

  Habari zenu wadau, Kwanza niwapongeze waliobuni na kuanzisha jukwaahili ambalo siyo tu ni chanzo cha habari mpya, burudani bali pia kisima chamaarifa. Hapana shaka kuwa kila anayetembelea jukwaa hili huondoka na fikra namtazamo tofauti juu ya maisha yake binafsi, taifa na mahusiano yetu...
 10. M

  Ikengya & Beyalula

  Ndugu wanajamvi, kwa yeyote anayejua taarifa za kijitabu hiki cha katuni za Kihaya "Ikengya na Beyalula" naomba anisaidie wapi kinapatikana (duka/sehemu na bei yake) mimi niko Mwanza.
 11. M

  Mwenye kufahamu plz

  Naomba mdau yeyote mwenye ufahamu juu ya kiwango cha kodi inayokatwa kwenye mshahara wa mfanyakazi ni asilimia ngapi? anijuze tafadhari.
Top Bottom