Search results

 1. K

  Figisufigisu Ligi Kuu:Mtihani mgumu kwa Waziri Mwakyembe

  Ligi Kuu Soka Tanzania inafikia ukingoni. Inachezwa pote, baa, magazetini, tv,sokoni, viwanjani nk. Uamuzi wa kamati ya saa 72 umezua jambo na natabiri utamu wote wa ligi hii pamoja na makandokando yake umeishia hapo. Je, ni kweli Simba hawakustahili pointi tatu? Je, ni kweli mchezo wake na...
 2. K

  Uhakiki wa umri ufanywe, wafanyakazi wengi wamedanganya umri

  Upo ukweli kwamba kuna wafanyakazi wengi wa serikali wana kumbukumbu za uongo juu ya umri wao, wamedanganya wakionyesha umri wao ni mdogo ili wachelewe kustaafu. Lakini tunasahau kwamba kwa kufanya hivyo wazee hao huziba nafasi za wahitimu kutoka vyuo mbalimbali nchini na inawezekana tatizo la...
 3. K

  Huduma hospitali ya Bugando ni mbaya kuliko wakati mwingine wowote ule

  Ndugu zangu watanzania, msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza ilikuwa ndo kimbilio la mamilioni wa Kanda ya Ziwa na sehemu nyingine nchini. Kweli ilikuwa ikitoa huduma bora. Leo hii, huduma za hospitali hii zimefikia kiwango cha chini, chini kabisa. Utaratibu wa...
 4. K

  Hivi utumbuaji umesimama au mafisadi, wezi na wazembe wamekwisha serikalini?

  Kwa muda sasa sijasikia fulani na fulani wametumbuliwa, iwe kwa ufisadi, wizi ama uzembe. Inawezekana watu wa aina hiyo wamekwisha serikalini. Hongereni sana.
 5. K

  Msaada: Hivi "degree" ni nini?

  Watu husoma na kusoma hadi tunaambiwa wamepata "degree", napenda kufahamu kwa kutunukiwa hiyo "degree" huwa wamepata nini haswa. Maana tunasikia tu huyu ama yule ana "degree", ndo kuwa na nini?
 6. K

  Ukweli ni Upi? faru John aliugua au aliuawa na Tembo?

  Kuna habari, tena kutoka huko Serengeti kwamba Faru John aliuawa na Tembo, leo tunaambiwa aliugua. Ukweli wa Faru John utajulikana tu pale wananchi na wafanyakazi katika eneo hilo watahojiwa. Wana ukweli juu ya suala hili. Hebu tuwekeni sawa.
 7. K

  Kampuni ya POS yatapeli mamilioni Mwanza

  Wakazi wengi mkoani Mwanza na bila shaka sehemu nyingine nchini wametapeliwa na kampuni iitwayo POS ambayo imechukua mamilioni ya fedha kutoka kwa wananchi wakishirikiana na benki moja nchini. Wahanga wa utapeli huo ambao ulibarikiwa na Waziri mmoja na halmashauri ya Jiji la Mwanza wamefika hadi...
 8. K

  Anthony Diallo ashauri juu ya biashara ya ndege za Serikali

  Leo umetolewa ushauri kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM, mkoa wa Mwanza na mmliki wa Sahara Media Group Limited, Dr. Anthony Diallo. Huyu pia aliwahi kuingiza ndege nchini, Community Airlines ambayo ilitoweka bila taarifa na mpaka leo haipo. Nashauri ATCL wautumie utaalam wa mtaalam huyu mbombezi...
 9. K

  Magufuli kauli hizi (nikiwa Rais, haki ya MUNGU, wataona, nitawanyoosha) Sio za kiongozi

  Ingawa kutokana na baadhi ya watanzania kukata tamaa sasa ati CCM inadai wanataka kiongozi 'mkali' mpaka Magufuli mwenyewe kujisahau na kufikia kuona hiyo ni sifa ya uongozi, tuelewe Magufuli alitakiwa kuwa mtendaji chini ya mtu mwingine. Nawaambia, hapatakuwa na tofauti yoyote kati ya...
 10. K

  Mawe ya kivuko cha Kamanga Mwanza

  Hivi ni kwa nini yale mawe pale kivuko cha Kamanga, jijini Mwanza yanaitwa Bismack Rocks? Hayana jina la asili? Kwa nini yaliitwa hivi? Naomba mnijuze wana jamvi.
 11. K

  Waandishi wa Tanzania na "wasomi wasema", uvivu uliopindukia!

  Kumekuwa na kile kiitwacho "wasomi wasema," "wamshukia", "watoa maoni yao", "wachambua", wapinga nk katika vyombo vyetu vya habari karibu kila siku. Nia ni njema kabisa kuweza kuwasikia wasomi wetu hao. Lakini jambo la ajabu ambalo linasababishwa na uvivu wa waandishi wetu ni kule kuhoji...
 12. K

  Mhariri Mtendaji wa Uhuru aliyetimuliwa atinga semina ya TANAPA

  Tanzania zaidi ya uijuavyo. Yule Mhariri Mtendaji wa magazeti ya CCM, Bw Joseph Kulangwa ambaye alitimuliwa na CCM kupitia Bodi na Nape akafunga kazi, Bw Joseph Kulangwa naona tunaye hapa Mwanza kwenye semina iliyoandaliwa na TANAPA kwa Wahariri. Sijapitia orodha ya wanaohudhuria na utambulisho...
 13. K

  Mhariri wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo, Ukifukuzwa kubali, acha kampeni kuvuruga shirika na CCM

  Kuna habari kwamba Mhariri Mtendaji wa magazeti ya chama cha mapinduzi, Uhuru na mzalendo Bw Joseph Kulangwa ametimuliwa kazi kufuatia tuhuma kwamba ameshindwa kuongoza shirika hilo la magazeti ukiwemo ufujaji mkubwa wa fedha za shirika. Shirika limeshindwa hata kuwalipa wafanyakazi wake miezi...
 14. K

  Wenyeviti wa CCM, Mgeja, Diallo na Msukuma, Timu Lowassa, Membe na Mwigulu kuifuta CCM kanda ya Ziwa

  Hamisi Mgeja ni Mwenyekiti wa CCM (Shinyanga), Anthony Diallo Mwenyekiti wa CCM(Mwanza) na huyo Msukuma ni Mwenyekiti wa CCM, Geita. Ni wafuasi wa Edward Lowassa (Mgeja), Benard Membe (Diallo) na Mwigulu Nchemba (Msukuma). Vita hii itaisambaratisha CCM Kanda ya Ziwa. Nikiwa mwanaCCM, naiona...
 15. K

  SWALI: Ati DC wa Butiama anaishi wapi, nasikia Kiabakari tena kwenye nyumba ya KM wa Wizara yake

  Juzi nikiwa Dodoma jamaa alimwaga umbeya. Alidai DC wa wilaya ya Butiama anaishi Kiabakari na amepanga kwenye nyumba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya DC huyo. Hivi kweli huyo DC atajengewa nyumba huko Butiama huku amepanga kwenye nyumba ya huyo ambaye ndiye angeagiza ujenzi ufanyike. Kweli...
 16. K

  Kikwete, uteuzi huu wa Majaji una mushkheli, majaji hawateuliwi kama Wakuu wa Wilaya

  Wanajamvi, huu uteuzi wa majaji kwa kisingizio kwamba ni wachache una mushkheli. Kesi hazicheleweshwi mahakamani kutokana na uchache wa majaji bala mfumo mzima wa uendeshaji kesi, ujuzi na rushwa ndivyo vinachangia. Kufungua milango, bila kujali umri, sifa na uadilifu ni sawa na kuongeza upana...
 17. K

  Hivi yule Dr. Bishop Mpemba wa Redio Kwa Neema, aliishia wapi?

  Hivi yule Dr. Bishop Mpemba wa Redio Kwa Neema huko Mwanza aliishia wapi? Jamaa yule ambaye alikuwa akihamasisha watu juu ya kuchinja hadi mchungaji mmoja huko Geita akachinjwa yuko wapi? Jamaa yule mpenda misifa, mzungumza Kiingereza ambaye tuliambiwa anatafutwa na polisi wa Kimataifa...
 18. K

  Jukwaa la Wahariri na Rugemarila, Ushahidi kwamba wasafi ni wachache mno Tanzania

  Habari kwamba Jukwaa la Wahariri lilikutana Bagamoyo katika kikao ambacho kiligharimiwa na yule mtuhumiwa wa Escrow Bw James Rugemarila si za kushangaza. Si za kushangaza kwa vile madhumuni ya hilo Jukwaa yamebadilishwa na kuwa kigenge cha wajanja wachache kutafutia pesa. Kila kunapotokea...
 19. K

  Naomba picha ya Wassira alipokuwa shule ya msingi, ibandike humu, kuna zawadi!

  Si vibaya watu kujikumbusha. Naomba mwenye picha ya mtu makini na safi wa CCM Bw Stephen Masatu Wassira alipokuwa shule ya msingi, hasa hasa kati ya darasa la kwanza na la nne. Ukipata ya Mtoto wa Mkulima Bw.Pinda pia utafikiriwa zawadi. Eee, tujikumbushe na kucheka saaaaaana!
 20. K

  Kikwete mfukuze kazi DC wa Kwimba, kazembea kuhusu albino

  Ingawa wanaomtetea Mkuu wa Wilaya ya Kwimba watahoji kwa nini atimuliwe kazi, kimsingi DC huyu kazembea sana kuhusiana na suala la mlemavu wa ngozi Pendo kutekwa. Hapa nazungumzia kiongozi kuwa mwepesi na kuchukua hatua. Ilikuwaje, DC awe amelala tu ofisini, hadi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa...
Top Bottom