Search results

 1. M

  Huu sio utapeli kweli?

  Hapa mjini kumezuka kwa sasa sijui niite bahati nasibu au la katika sijui niita makampuni kama FOREVER la marekani NA POWER CLUB kutoka Italy. Kwa kifupi mtu unaweka kiasi flani cha pesa mfano kwa forever ni 450,000/= baabdae unapanda vyeo na kila ukipanda vyeo kw akuingiza watu chini yako...
 2. M

  Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

  Katika vitu ambavyo huwa navipa kipaumbele basi ni kuzamia chumvini wanawane. Ila umkute demu anajua kupakwosha kule. ...unaweza kuzama ukaibuka na magugumaji. Sasa napenda kujua madhara yake.
 3. M

  Vigogo wa Kenya marufuku Uingereza

  Waziri mmoja katika serikali ya Kenya na mshirika wa karibu wa rais Mwai Kibaki amepigwa marufuku kuingia Uingereza kwa madai ya rushwa, ikiwa ni siku chache kabla ya uchaguzi mkuu. Ubalozi wa Uingereza mjini Nairobi umeyafahamisha mashirika yote makubwa ya ndege kutomchukua waziri wa mazingira...
 4. M

  The Best antvirus

  Wakuu mimi naomba kujua which one is the best antvirus maaana zinakuja nyingi kila kukicha na viruses wanazaliwa upya kila dakika. help me please
 5. M

  Kada wa CCM lupango kwa kubaka

  Kada wa CCM afungwa kwa kubaka na Charles Ndagulla, Moshi KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mfanyabiashara maarufu mjini Moshi, Fred Minja (60), amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa darasa la nne. Hukumu hiyo ilitolewa juzi na...
Top Bottom