Search results

 1. sheiza

  Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaenda kuimaliza CHADEMA

  Ieleweke tu kuwa Lissu hagombei urais ili awe kiongozi, maana anajua wazi hatapenya na hata heka heka za kampeni kwa hali yake hatoweza. Anachotafuta Lissu ni platform ya kumshambulia Magufuli na serikali kwa kigezo cha kampeni. Alipotangaza nia alianza kwa mashambulizi binafsi na moja ya...
 2. sheiza

  Sera Mbadala za CHADEMA ziliishia wapi?

  Nakumbuka ilikuwa 25 septemba 2018 tuliposhuhudia hekaheka za uzinduzi wa zilizoitwa sera mbadala za Chadema. Zoezi hili liliendana na sherehe zilizofana katika hotel ya Bahari Beach jijini Dar es salaam ikiwemo matumizi makubwa ya fedha yaliyoambatana na uchapishaji wa vitabu pamoja na ununuzi...
 3. sheiza

  TRA yakusanya tril. 58.3/- miaka minne ya Rais Magufuli

  Wapo vipofu wengi tu.
 4. sheiza

  Hata Mungu hapendwi na wafuasi wa shetani

  Juzi kama kawaida ya kupokea maneno kwa baadhi ya watanzania na kuyachukua bila kuyafanyia tathmini, kuliibuka taarifa ya Rais Magufuli kuumwa na wakati huo huo kudai kafa. Taarifa hii ilianzishwa na kikundi cha watu ambao ni kawaida vikundi kama hivyo kuwepo katika jamii zetu hizi za kiafrika...
 5. sheiza

  Mdude CHADEMA kapotelea wapi?

  Ni kijana aliyepata umaarufu kwenye chama chake kutokana na kumtukana na kushambulia serikali ya Magufuli. Kuna wakati alitoweka na alipopatikana alionekana kajeruhiwa sana. Katika vijana wa chadema ambao waliamua kumtukana rais, huyu alijipambanua kwa uwazi kabisa na kuonyesha ujasiri wa juu...
 6. sheiza

  TANESCO Lindi kulikoni! umeme kukatika katika na kuwaka!

  Kwa sasa imejitokeza tabia mbaya sana na imeshazoeleka kwa mamlaka ya Tanesco mkoani Lindi. Kumekuwa na tabia ya umeme kukatika dk tano na kurudi na hii inakuwa mfululizo huo hata ndani ya masaa matatu au manne. Mwanzoni tabia hii ilianza kila ifikapo saa moja usiku. Inadumu hiyo zima washa...
 7. sheiza

  Udhaifu wa JK ulifanya wapinzani wajione ni sehemu ya utawala

  Tunatambua nguvu ya upinzani hasa chadema enzi za jk. Walikuwa na uwezo wa kwenda popote hata ikulu, lakini walikuwa na uwezo wa kusema chochote pasipokuhojiwa. Hii ilichangiwa na udhaifu mkubwa wa kitaasisi ya urais aliyoonyesha jk. Kiasi ambacho hata wanaccm walihisi nafasi ya urais inamfaa...
 8. sheiza

  Hawa ni baadhi ya watanzania wenzetu

  Wengi wao utawakuta ufipa.
 9. sheiza

  Kuna umuhimu wa wanasiasa kutopewa nyadhifa

  Wakati fulani nyuma nilishawahi kuwaza kuona umuhimu wa kuteua mawaziri nje ya wanasiasa au wabunge..bahati nzuri JPM alifanya nilichokuwa nawaza japo kwa uchache. Alimteua profesa Kabudi na mama Ndalichako..lakini alimteua pia dr Possi kabla ya kupelekwa ubalozini Germany. Athari ya...
 10. sheiza

  Tundu Lissu aachwe akichoka atatulia

  Huyu mtu anajiona kama Tanzania one na hakuna yoyote kama yeye. Anapita duniani akiwaaminisha watu Tanzania si nchi salama, lakini hadi sasa hatujaona hata balozi au nchi ikiwaambia raia wake waondoke Tanzania au wasije Tanzania..zaidi tunaona wanamiminika. Miaka kadhaa iliyopita Tanzania...
 11. sheiza

  Lissu aliumiza wenzie naye kaumizwa

  Inafahamika wazi wanasiasa wengi na hususani kutoka chama cha mapinduzi katika kipindi cha JK ni waathirika wa kauli za Tundu Lissu. Lowassa ni muathirika mkuu sana..ikumbukwe ni Tundu Lissu ndio aliandaa orodha ya mafisadi na kuongoza convoy Tanzania nzima kumshambulia lowasa..kina rostam aziz...
 12. sheiza

  Utamu wa ikulu na tabasamu la Tundu

  Kweli ikulu tamu sasa hapa kilichomfurahisha hasa jamaa ni nini? Ni dhahiri hapa hakuna tena kuongea mambo serious hili tabasamu halijawahi kuonekana kabisa katika maisha ya kawaida. Sidhani hata mama kashawahi pewa tabasamu kama hilo kweli ikulu tamu hadi kwa wageni. Sent using Jamii Forums...
 13. sheiza

  Ziara za upinzani Ikulu enzi za JK zilikuwa na tija gani?

  Tunakumbuka enzi za JK upinzani walipata sana nafasi ya kuingia Ikulu. Cha ajabu na kushangaza hatukuwahi kupewa mrejesho wowote wa ziara zile ndani ya ikulu na hao upinzani. Zaidi tulikuwa tukiona picha watu wanakula bata kwa kugonganisha glass za juice. Baada ya muda wanaibuka na malalamiko...
 14. sheiza

  Lissu anaporudia kosa la Mbowe, upinzani hamjifunzi tu?

  Mbowe akiwa na dhamana alishindwa kuhudhuria mahakamani kwa mujibu wa taarifa za muweka dhamana ilisemekana ameugua ghafla na kupelekwa SA kwa matibabu. Baada ya siku chache Mbowe alioneka huko Ureno na sio SA kama ilivyoripotiwa mahakamani akinywa mvinyo na Tundu Lissu na Lazaro Nyalandu...
 15. sheiza

  Tofauti ya viongozi wa CCM na CHADEMA

  Hapa ndio utaona tofauti kubwa ya kiuongozi kutoka kambi hizi mbili CCM na CHADEMA rekodi ya hazina ya viongozi CCM haiwezi kufikiwa na chama chochote kwa miongo mingi sana. Wote waliitwa polisi mmoja akashauti,mwingine akaenda kusikiliza japo hakufanya press conference wala kuonyesha anajua...
 16. sheiza

  CHADEMA ni bomu linalolipuka muda wowote

  Hivi mpaka sasa mmeshajiuliza walipo wabunge wa morogoro..yaani prof Jay, Lijua Likali na mama suzan kiwanga? Hawa watu hawajaonekana kwenye uzinduzi wa sera mpya, kikao cha kubenea na komu..na hata mwanza hawapo. Cha ajabu mtu kama esther bulaya anakuwepo kila mahali ili hali mbunge wa...
 17. sheiza

  Kosa kubwa analofanya IGP Sirro na litamgharimu...

  Katika vitu ambavyo Magufuli alicheza ni kuwaziba midomo wanasiasa hususani wa upinzani ambao ndio wana hiyo historia kudhurura maeneo mbalimbali nchini na kuingilia utendaji wake ama kusambaza maneno yasiyo na tija kwa wananchi. Ila hapa nataka nimzungumzie kamanda sirro na hii demokrasia...
 18. sheiza

  Kumradhi ndugu waislam, hivi albadir unaweza itengua?

  Samahani kama nitakuwa nimekosea ila nahoji kama kisomo cha albadir kinaweza tenguliwa..yaani yale manuizi kuyaondoa.. Nasema hivi sababu nahisi kinachoendelea chadema si kitu cha kawaida na maamuzi wanayofanya hawa jamaa yanatisha..yaani mtu mwenzie akiondoka anaongea maneno yote ya...
 19. sheiza

  Vipi ushirikiano wa ACT na CHADEMA Monduli?

  Wakati wa kuelekea uchaguzi katika jimbo la Buyungu tuliona unafiki wa Mbowe na Zitto..sie waona mbali tulijua ile ilikuwa janja ya mbowe kuitaji sapoti ya zitto sababu alijua akimtumia zitto kule chochote chaweza tokea..ila Zitto hakuwa na jinsi maana siasa za sasa zimemkaba na anajiona wazi...
 20. sheiza

  Tanzania mpya hiyo inakuja

  Katika harakati za ukombozi kamili wa nchi mambo mengi huwa yanajitokeza.. Vikwazo huwa vingi, kukatisha tamaa..japo wapo ambao huunga mkono ukombozi huo. Ni katika kipindi hiki watu wasio wazalendo hujivika mavazi ya kizalendo.. Lakini serikali zote makini zilizoweza kuleta ukombozi kamili kwa...
Top Bottom