Search results

 1. Emanueli misalaba

  Unafiki na ubinafsi wa Watunga sheria wetu Zanzibar, Wawakilishi kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar

  Wafanyakazi wa sekta binafsi upande wa Zanzibar, mioyo yetu inatuuma sana, kwa sababu ya Mfuko wa hifadhi ya zanzibar ZSSF, Mfuko huu namna ambavyo Wawakilishi wa wananchi na watunga sheria wetu walipitisha sheria kandamizi na za kiuonevu, mfuko hauna fao la kujitoa kwa mwanachama wa sekta...
 2. Emanueli misalaba

  Hospitali Kuu ya Rufaa Zanzibar Mnazi Mmoja shida iko wapi?

  Bila shaka hamjambo wana JF, bila kupoteza muda kama ambavyo kichwa cha habari kinacho jieleza niingie moja kwa moja kwenye kero hii. Hospitali hii imekuwa ikilalamikiwa na watu wengi sana kutokana na huduma ambazo zinatolewa na wahudumu wake baadhi yao, kuwa wana maneno/ kauli mbaya kwa...
 3. Emanueli misalaba

  Mfuko Wa Hifadhi ya Jamii -Zanzibar Zssf ni Mfuko wa Kinyonyaji na kandamizi dhidi ya raia wanyonge sekta binafsi

  Bila shaka mnaendelea vizuri wana familia ya JF pia mnaendelea kuchukua tahadhari za kujilinda na Covid-19. Bila kuwachosha niingie moja kwa moja kwenye kero na dukuduku nililonalo. Mfuko wa Zssf Zanzibar una kero nyingi sana kwa wanachama hasa wa sekta binafsi 1) Mfuko huu ukiwa mwajiliwa...
 4. Emanueli misalaba

  JE! NI HARAMU KUSAFIRI NA SUKARI KUTOKA ZANZIBAR?

  Wana jukwaa pendwa la Jf habarini za leo! Katika kuja kwangu mara moja Dar es salaam nikitokea zanzibar niliamua nichukue zawadi walau kiduchu kwa ajili ya shemeji yangu sukari kilo 5, cha ajabu nilipofika bandarini Dar kulingana na maelezo ya wakanguzi wa bandarini wamenifanya niwe na...
 5. Emanueli misalaba

  Hivi hawa TISS 2015 hawakumuona Profesa Mussa Juma Assad?

  Profesa Mussa Juma Assad nimepata kumjua kiasi kipindi hiki cha mvutano wa Spkear Job Ndugai na yeye, kabla ya hapo nilimjua kwa mbali. Nimeona msimamo wake thabiti dhidi ya haki, hekima na busara alizo nazo, stamina ya moyo nini ajibu na nini asijibu, uelewa mpana alio nao, ni mzalendo...
Top Bottom