Search results

 1. James Martin

  Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

  Mfano mziri ni Zimbabwe. Kama ingekuwa ni rahisi kiasi hicho Zimbabwe ingeamua kufanya biashara na China halafu maisha yakaendelea lakini bado inawahitaji wazungu.
 2. James Martin

  Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

  Huyu naye anaongea ujinga tu. Sasa yeye alitaka aingie kwenye bunge la Ulaya? Wao wanafanya maamuzi baada ya kujirizisha.
 3. James Martin

  CHADEMA wagomee ruzuku ili kudhihirisha hawautambui Uchaguzi Mkuu

  Ruzuku haiusiani na matokeo ya uchaguzi. Pia ruzuku inatokana na pesa ya walipa kodi na ni haki kwa kila chama
 4. James Martin

  Hizi taasisi EAC, SADC na AU huwa chaguzi zote kwao ziko OK

  Taasisi zote a Kiafrika sio za kuaminika.
 5. James Martin

  Uchaguzi 2020 Magufuli akishinda tena Urais mimi nahama Nchi

  Amesema Magufuli akishinda lakini hajashinda
 6. James Martin

  Uchaguzi 2020 Magufuli akishinda tena Urais mimi nahama Nchi

  Ahame nchi kwani Magufuli ameshinda?
 7. James Martin

  Mbunge Mteule wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenan (CHADEMA) atoa tamko kuhusu ushindi wake

  Huyu dada ni bora aachie tu huo ubunge dunia ione wazi kuwa hii nchi inaendeshwa kidikteta. Kuna mambo natabiri yatatokea baada ya huu uchaguzi na nina uhakika wa 100%. 1. Sasa waliokuwa wabunge na madiwani wa CHADEMA hawana kazi, Magufuli atataka kutumia hali yao duni ya kifedha ili awarubuni...
 8. James Martin

  Wapinzani, mkipewa uteuzi kataeni

  Magufuli atajaribu kuwa Magufuli atajaribu kuwarubuni wapinzani kwa kuwapa kazi ili wajiunge kwenye serikali yake. Kiukweli hii itakuwa ni propaganda kuwaonyesha watu kwamba mpaka wapinzani wanamuunga mkono. Mungu amsaidie Tundu Lissu na Watanzania waishio nje waweze kuwashawishi wazungu...
 9. James Martin

  Joe Biden akichaguliwa anaweza kusaidia kuleta mageuzi ya kisiasa Tanzania baada ya "uchaguzi"

  Tofauti na Donald Trump Joe Biden anaamini kuwa Marekani inatakiwa kuhamasisha dunia kwenye mambo mbalimbali ikiwepo mambo ya mazingira na demokrasia. Baada ya huu "uchaguzi" nategemea "rais" atajaribu kuwarubuni wapinzani kwa kuwapa ajira ili wahamie CCM. Hiyo itakuwa ni propaganda kuwa yeye...
 10. James Martin

  Maisha chini ya chama kimoja cha siasa yapoje?

  Tanzania imeingia kwenye mfumo wa kidikteta tangu 2015. Huyu mtawala wa sasa hata afanye nini hatopata heshima yangu.
 11. James Martin

  Ipo siku tutamkumbuka Rais Dkt. Magufuli tunayemdhihaki kila siku katika mitandao ya kijamii

  Tutakumbuka watu maovu mengi kwenye utawala wake kama: 1. Watu kutekwa 2. TRA na TAKUKURU kunyanyasa wafanyabiashara na raia 3. Uwanja wa Chato 4. Dotto James kuidhinisha pesa za walipa kodi bila kudhirikidha bunge 5. Makonda kujichukulia sheria mkononi na kuwapiga wafanyakazi wa kituo cha...
 12. James Martin

  Uchaguzi 2020 Kituo nilipopiga kura hakuna wakala wa CHADEMA wala ACT-Wazalendo

  Come on Mshana, yaani wewe hujajua tu huyu jamaa anachojaribu kukifanya? Kiingereza inaitwa voter suppression . Maana yake ni kutaka kuwakatisha wapiga kura tamaa kama chama chao au mtu wao anashinda ili wafuasi wakate tamaa na kuacha kupiga kura.
 13. James Martin

  Uchaguzi 2020 Kituo nilipopiga kura hakuna wakala wa CHADEMA wala ACT-Wazalendo

  Acha propaganda, wewe ni mtu wa CCM unataka kuwakatisha watu tamaa. Hanithi wewe
 14. James Martin

  Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

  Bila kumuondoa Magufuli mambo ya YouTube na Twitter yatabaki kuwa ni historia tu.
 15. James Martin

  Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

  Haya ni mambo ya kihanithi kabisa. Lakini hakuna kurudi nyuma! 💪🏽💪🏽💪🏽
Top Bottom