Search results

 1. Mshume Kiyate

  TRA watendee haki wafanyabiashara wa Kariakoo makadilio yenu

  Wana JF. Serikali kupitia TRA pitieni upya makadilio yenu mliyopanga kariakoo ya milioni tatu (3) kwa mwaka haya ndiyo makadilio ya chini kwa wafanyabiashara. Serikali hizo pesa ni mzigo mkubwa kwa wafanyabiasha bado hawajalipa kodi ya maduka, bado hawajalipa leseni, bado hawajalipa ushuru wa...
 2. Mshume Kiyate

  Hongera Silent Ocean kurudisha huduma ya loose cargo na kupanua huduma zenu Africa

  Wana JF. Tunapenda kutoa pongezi kwa kampuni ya Silent Ocean ya China kwa kurudisha hudumu ya kusafirisha vifurushi (loose cargo) baada ya kusitisha kwa muda kutoka China mpaka Tanzania, sasa hivi wanapokea makontena na loose cargo. Wafanyabiashara wakubwa na wadogo wamefurahishwa na hali...
 3. Mshume Kiyate

  Kampuni ya Silent Ocean China hawapokei tena lose cargo, wanapokea makontena tu

  Watanzania, Baada ya sakata la makontena kupamba moto leo hii nipo China nimepeleka mzigo wangu kwenye kampuni ya usafirishaji mizigo ya Silent Ocean iliyopo Guangzhou China. Wamesema hawapokei lose cargo kwa sasa wanapokea makontena wameniambia kama unaweza kujaza kontena tuletee...
 4. Mshume Kiyate

  Jimbo la Ilala, UKAWA wamelipoteza kwa uzembe wao

  Wana JF. Katika hali ambayo siyo ya kawaida tumeshuudia Jimbo la Ilala Ukawa ukivunjika rasmi baada ya vyama vya Chadema na CUF wote kuweka wagombea. Upande wa Chadema wamemsimamisha Muslim Hassali. Upande wa CUF wamemsimamisha Kamaldeen Muccadam. Kila kona ya Jimbo la Ilala...
 5. Mshume Kiyate

  Viongozi wa Tanzania tuige mfano wa Nigeria kutangaza utajiri wenu

  Wana JF. Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ametangaza kuwa ana $150,000 (£100,000) kwenye akaunti zake za benki, katika hatua inayolenga kuendeleza uwazi na kupiga vita ufisadi serikalini.Kiasi hicho kinaonyesha kuwa amekuwa akiishi “maisha ya kujinyima”, msemaji wake Garba Shehu amesema.Bw...
 6. Mshume Kiyate

  Ni kweli Mustafa Sabodo kakata misaada CHADEMA

  Wana JF. Muda mrefu tumekuwa tukiona kwenye kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu, Mzee Sabodo alikuwa akiwapa misaada sana CHADEMA pesa na vifaa sasa hivi kulikoni yupo kimya.
 7. Mshume Kiyate

  Mapinduzi ya Zanzibar - Januari 12, 1964

  Wana JF. Usiku wa tarehe 12 Januari 1964 kundi la watu 300 walikitwaa kisiwa cha Unguja wakiongozwa na mtu asiyekuwa maarufu kipindi hicho, aliyekuwa akiitwa John Okello, John Okello alikuwa akiishi Pemba ambako alitokea Uganda miaka michache tu. Ndani ya Zanzibar Okello alipata umaarufu kwa...
 8. Mshume Kiyate

  Maoni, ushauri kwa Wahusika wa 'sintofahamu' ndani ya CHADEMA

  Wana JF. Nikiwa kama Mtanzania ambaye kwa sehemu moja au nyingine nawajibika katika utumishi wa jamii, nimeona vema nitoe mawazo yangu kidogo kuhusu kinachoendelea ndani ya CHADEMA kama taasisi. Mimi sio mwanasiasa kwa maana ya kimajukumu wala kiutendaji lakini ni sehemu ya siasa za nchi...
 9. Mshume Kiyate

  CHADEMA wametumia zaidi ya Milioni 950 Arusha

  Wana JF, Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema) kimetumia zaidi ya milioni 950 katika uchaguzi wa kata nne Arusha. Chadema wanasema Arusha ndiyo ngome yao kulikuwa na haja gani kutumia kiasi kikubwa cha pesa/Chopa/Magari ya M4C/Pikipiki za M4C. Habari za ndani kutoka Chadema zinasema...
 10. Mshume Kiyate

  Chadema mbona hawaeleweki kwenye suala la Katiba, mwanzo walitaka serikali tatu sasa hivi hawataki

  Wana JF, Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wanawachanganya watanzania kutokana na msimamo wao kwenye suala la Katiba ya nchi, mwanzo walitaka serikali tatu, Tume ya Katiba kwenye rasimu yao wamependekeza serikali tatu, ukiwasikiliza viongozi wa Chadema sasa hivi tena hawataki serikali...
 11. Mshume Kiyate

  Wanawake ni wengi kuliko wanaume sasa itakuwaje kuwa na mpenzi mmoja

  Wana JF. Utafiti nchini Tanzania unaonyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume inafikia mwanaume mmoja wanawake watano hapo ndio kunakuwa na uiano. Ikiwa mwanaume mmoja anatakiwa kuwa na mwanamke mmoja hawa wanawake wengine ambao ni wengi watapata wapi wapenzi sababu wanaume wote wana...
 12. Mshume Kiyate

  Dr Ulimboka kuwataja wote waliyomteka na kumfanyia ukatili

  Wana JF. Kuanzia sasa ndani ya masaa 24 Dr Ulimboka kuwataja wale wote waliyomfanyia vitendo vya unyama na utekaji tusibiri Dr Ulimboka atasema nini. SOURCE; MLIMANI TV.
 13. Mshume Kiyate

  Hata nikifa leo nimeishafika Nairobi

  Kwa mara ya kwanza jana nimerudi kutoka Nairobi Kenya, nilikuwa sijawahi kusafiri nilikuwa napasikia tu kuzuri sana kuna maghorofa mengi sijui Shinyanga yetu itaifikia lini Nairobi, hata nikifa leo nimeishafika Nairobi.
 14. Mshume Kiyate

  Viongozi wa dini kemeeni kauli za vitisho za wanasiasa simamieni haki msiwe "biased"

  Wadau wa JF, Inavyoelekea baadhi ya viongozi wa dini wameanza kuonyesha dalili au kutekwa na siasa, viongozi wa dini ndiyo muhimili mkubwa kutokana na hadhi yao mbele ya jamii yetu ya kitanzania. Viongozi wa dini wameamua kukemea maovu yanayofanywa na watu fulani kwa wakati fulani na kuacha...
 15. Mshume Kiyate

  Mauaji ya Morogoro, Iringa, Chadema hawawezi kukwepa lawama

  Wana JF, Hivi karibuni katika miji ya Morogoro na Iringa iligeuka uwanja wa mapambano baina ya wafuasi wa Chadema na askari wa jeshi la polisi na kusababisha mauwaji ya raia wawili Ally Nzona alifariki Morogoro na Mwandishi wa habari Daudi Mwangosi alifariki Iringa. Jeshi la polisi lilizuia...
 16. Mshume Kiyate

  Watanzania hapa sijawaelewa Chadema wana maana gani?

  Kauli mbiu ya kwanza ya chama Kauli mbiu ya kwanza zilizopitishwa na chama zilionyesha nia ya msingi ya kutumikia wananchi. Nazo ni: 1. CHADEMA ………………….................... VEMA! 2. MWANANCHI……………….................. NAMBARI WANI...
 17. Mshume Kiyate

  Chadema kufungua matawi China

  Wadau, wa JF, Chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaendelea kujitanua kimataifa baada ya kufunguwa matawi Marekani, Uingereza, Ujerumani sasa hivi wanaelekea kufungua matawi nchini China katika miji ya Guilin, Guangzhou, Hangzhou, Shanghai, operesheni hizo za kufunguwa matawi...
 18. Mshume Kiyate

  NCCR Mageuzi wanaitaji pongezi kwa kuonyesha uzalendo wao bungeni kupinga ufisadi

  Wana JF. Mwenyekiti wa chama hicho James Mbatia katoa taarifa za uhakika zimeonyesha kuwa mgao wa umeme unaoonekana ukiendelea nchini una mkono wa baadhi ya wabunge na watendaji wa Tanesco, ambao wasingependa wananyang'anywe ulaji wao. Katika hatua nyingine Mbatia alionyesha kushangazwa na...
 19. Mshume Kiyate

  Mwanahalisi linakufa kifo cha kawaida Makamanda mpo wapi kulisaidia

  Wana JF. Kila siku zinavyokwenda hali ni mbaya kwa gazeti letu pendwa la Mwanahalisi. Kutokana na udhaifu wa kiutendaji wa gazeti hilo sasa hivi limekuwa gazeti pekee linalobakia kwenye vibanda vya kuuzia magazeti. Imefikia wakati gazeti la Mwanahalisi linauzwa kwa kilo maeneo ya kariakoo...
 20. Mshume Kiyate

  Wanawake wengi wana mahusiano na wanaume wengi

  Wadau MMU. Asilimia 70 ya wanawake wana mahusiano ya kimapenzi zaidi wanaume watatu mpaka watano. Hii tabia ya wanawake kuwapanga wanaume kila mmoja na majukumu yake inazidi kukuwa kwa kasi ya ajabu. Mwanamke wako akikuheshimu sana basi atakuwa na mwanaume mmoja. Unakuta mwanamke yupo...
Top Bottom