Search results

 1. Senator jr

  Ni simu gani nzuri nayoweza kununua kwa bajeti ya 150,000/=

  Ivi mkuu ryzen gpu zake zinaweza patkana kweli bongo zenye uwezo mkubwa kuliko iyo mashine Afu pia mi nimenunua kwa 1.8m napenda kujua kwa nini cpu za ryzen hua zina heat sana kwenye mashine naona hata madukani hawarecomend otherwise user proposal
 2. Senator jr

  Ni simu gani nzuri nayoweza kununua kwa bajeti ya 150,000/=

  CHIEF mimi ni yule mdau wa ile thread ya wapi ntapata graphic card gani nzuri kwa pc mkuu nimetafuta sana gpu ila nimepata madyka mengi ni waswwhili tu nimeamua kuchukua gaming laptop hp pavilion gaming15 ina core !7 7700hq na ram 8gbddr4 na tb 1 sata,125ssd , Ila gpu ni nvidea gtx 1050ti...
 3. Senator jr

  Wapi nitapata best Video graphic adapter kwa ajili ya modern PC?

  Mkuu nini maana ya bottleneck nimeicheck google wanasema cpu lazima iendane na gpu otherwise kutakuwa na bottleneck
 4. Senator jr

  Wapi nitapata best Video graphic adapter kwa ajili ya modern PC?

  Kama una weza naomba uniinbox namba yako niko nakuja Dar by next week ntashkuru sana ukinisaidia juu ya hili
 5. Senator jr

  Wapi nitapata best Video graphic adapter kwa ajili ya modern PC?

  Okay m waking up now nashkuru sana kaka
 6. Senator jr

  Wapi nitapata best Video graphic adapter kwa ajili ya modern PC?

  Afu games hizi za unreal engine technology zilizotengenezwa na microsoft naona zina sumbua kwenye ile gpu ya nvidea gt 630
 7. Senator jr

  Wapi nitapata best Video graphic adapter kwa ajili ya modern PC?

  Poa mkuu yenyewe ile core i7 ya hp sema naweza nunua dizaini ingine kali zaidi kwa gpu nishauri tu maana naweza ieka ikawa soecific kwa games
 8. Senator jr

  Wapi nitapata best Video graphic adapter kwa ajili ya modern PC?

  Mkuu hiyo dell specs hizo apo Dell OptiPlex 3040 Desktop (Intel Core-i3 3.2 GHz, 4 GB RAM, 500 GB Storage, Intel HD ... Pia mkuu naomba nishauri vizuri mkuu mimi sinywi pombe sipendi mademu hobby yangu ni games sasa nahitaji gpu nzuri kama kina kali zaidi hapa bongo ambayo nitadumu nayo...
 9. Senator jr

  Wapi nitapata best Video graphic adapter kwa ajili ya modern PC?

  Hiyo 1650 ti kwa bongo maeneo gani Pia Powersupp yangu ina pini 2 sema nataka nitumie cable ya multi pin kutoka kwenye pini 1 pia Kingine nilidanganywa nikalipa 200k kwa mdau akaniizia nvidea gt 630 4gb gpu ila hii gpu pasua kichwa sana nikijaribi tu kuopen games inastuck sana naomba...
 10. Senator jr

  Wapi nitapata best Video graphic adapter kwa ajili ya modern PC?

  Sorry hapo natafuta gpu au vram kwa ajili ya modern games power supply yangu ya pc desktop ni 350 watt ivo inaweza kusukuma gpu sema sina usoefu na kujua ipi itanifaackwa game kama far cry 5,state of decay 2,gta 5 na recent games
 11. Senator jr

  Wapi nitapata best Video graphic adapter kwa ajili ya modern PC?

  Habari ya uzima wakuu, Naomba mnishauri wapi nitapata gpu nzuri na ikiwezekana mniambie ninunue toleo gani bajeti yangu 400k asante CHIEF MKWAWA
 12. Senator jr

  Viwango ya ufaulu kwa watu wa fani ya afya vitazamwe upya

  Sidhani kuwa hawako competent je umepimaje hicho kigezo sio unaongea tuu mbna tuko nao na wanapiga kazi vizuri unajua brother serikali sio wajinga everyone deserve a second chance
 13. Senator jr

  Je, unawashauri nini Huawei baada ya kupigwa ban?

  Okay ila kama itatokea akafanikiwa na akateka soko atakuwa wa kwanza kuvunja record hiyo👏
 14. Senator jr

  Je, unawashauri nini Huawei baada ya kupigwa ban?

  Brother os ni rahisi mno kuitengeneza tatizo ni performance yake on apps hapa najua android amempiga bao sana kwa kuwa playstore ana TONNS OF APPS na games.. KINGINE hawezi kutegemea soc za wenzake itamuhitaji kutengeneza soc mpya Let see it ila ni kama kuanzisha kampuni upya
 15. Senator jr

  Je, unawashauri nini Huawei baada ya kupigwa ban?

  Habari Wadau wa Tech! Kusema ukweli Kampuni ya simu na BAADHI ya vifaa vya kielectronics ya HUAWEI iko kwenye wakati MGUMU sana. Nanukuu moja ya Technician wa HUAWEI baada ya kuulizwa mna malengo gani baada ya kupigwa Ban alisema company told us: “Huawei has made substantial contributions to...
 16. Senator jr

  Huawei loses access to Android and Google Services

  Naapa ndio wamemuua kabisaa. Chief mkwawa itabidi hii ishu uitengenezee thread
 17. Senator jr

  TUCTA kujadili kima cha chini cha mshahara 2019

  Hivi folio by a posho,mshahara mdogo ni vingi sana chamsingi tutafte fursa tupige kazi maisha yanaendelea Sent from my SM-J810F using Tapatalk
Top Bottom