Search results

 1. mjepo

  Nazidi kupoteza imani na Lowassa kuwa Rais wa taifa hili

  Tangu akiwa chama cha mapinduzi bwana huyu edward Lowasa amekuwa si mwadilifu kwenye utendaji wake hali ambayo imefanya nisiwe mfuasi wake katika siasa zake, Baada ya kuwa amehamia chadema na kuanza kampeni Lowasa ameonesha kuwa mtu dhaifu kiafya na asiyekuwa na hoja kabisa ya kushawishi watu...
 2. mjepo

  Mafisadi mwaka huu watafute pakujificha Lazima wafungwe.

  Wale mafisadi wajiapnge mahakama ya mafisadi inakuja Lowasa na kundi lake wajipnge.
 3. mjepo

  Baada ya CCM kukatana na wengine kuhama vyama sasa zamu ya CUF na CHADEMA kukatana na wengine wahame

  Chama cha mapinduzi kimemaliza mchakato wake wa kuteua wagombea wa nafasi zote za uwakili na ubunge walikatana sana japo wengine waligoma kukatwa wakahama vyaka na wengine wakashindwa kura za maoni na kuhama chama. Hali kama hiyo imehamia kwa vyama vya chadema na cuf nao sasa wanakatana kama...
 4. mjepo

  Unafiki wa Mgeja na Guninita, kisa cha kuhama CCM

  Sote tunakumbuka kuwa CCM juzi tu imetoka kwenye mchakato wa kupata wagombea ubunge katika majimbo kadhaa ya nchi yetu hii ilienda sambamba na wabunge wa viti maalumu. Miongoni mwa wabunge wa viti maalum waliokuwa wakigombea ni pamoja binti yake na aliyekuwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa shinyanga...
 5. mjepo

  Siamini kama Lowassa anaweza kuwa kiongozi mzuri wa Taifa hili

  Tangu nianze kufuatilia siasa za Lowasa sijawahi kuona sehemu hata moja ambayo inathibitisha kuwa Lowasa anaweza kuwa kiongozi mzuri wa kuwaongoza watanzania. kwa kipindi kifupi alichokuwa waziri mkuu tulishuhudia mambo mengi ya hovyo yakiwepo maamuzi ya kukurupuka ambayo yeye alishaita maamuzi...
 6. mjepo

  Utekelezaji wa MCC unaendelea vema, Muhongo aendeleza ubora wake usio na shaka

  Marekani kuendelea kutekeleza miradi ya MCC Makamu wa Rais wa Mfuko wa Changamoto za Millenia (MCC) Kamran Khan ( wa kwanza kushoto ) akimweleza jambo Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (wa kwanza kulia) anayesikiliza katikati ni Balozi wa Marekani Mark Childress WAZIRI wa...
 7. mjepo

  Wananchi wakataa agizo la mbunge Kafulila kuhusu maabara

  TBC habari, wakazi wa jimbo la kigoma kusini ambalo linaongozwa na kafulila wamekataa kufuata agizo la mbunge wao kwamba wasishiriki katika ujenzi wa maabara badala yake wamejitokeza kwa wingi katika ujenzi wa maabara hizo. Akizungumza kwa niaba ya watu wake mwenyekiti wa halmashauri wa eneo...
 8. mjepo

  Pesa za maendeleo mashuleni sasa kupelekwa moja kwa moja kwenye mfuko wa shule.

  Wakuu amani kwenu, kwangu mimi hii naiona imekaa vema,serikali imetangaza kwamba kuanzia sasa pesa za maendeleo katika shule hazitapitia tena kwenye acounti za halmashauri kama ilivyokuwa zamani badala yake serikali imeamua pesa hizo zitawekwa moja kwa moja kwenye acount za shule husika. Hali...
 9. mjepo

  Mwigulu Nchemba live on ITV - Dk 45

  Tufuatilie tujue naibu waziri wa fedha mwigulu nchemba anachozungumza kwa watanzania.
 10. mjepo

  Mbowe ni muongo na mpotoshaji hafai kuaminiwa

  Kwa mda mrefu nimekuwa nafuatilia siasa za mwenyekiti wa chadema taifa ndugu mbowe,amekuwa akifanya siasa za harakati na mapambano ambayo kwa kiasi kikubwa amefanikiwa kukipa sifa chama chake kwa namna moja au nyingine. Baada ya mda mwingi kupita akifanya siasa zake kwa siku hivi kribuni...
 11. mjepo

  Mkutano wa hadhara wa CCM Viwanja vya Mwembeyanga wafana

  Wakuu niko kwenye runinga naona tbc wako live wanarusha mkutano wa ccm ambao unaendelea kwa sasa katika uwanja wa mwembeyanga unaendelea huku watu wengi sana wamejitokeza kusikiliza kile ambacho kinajili kwenye uwanja huu. kwa harakaharaka viongozi wa kitaifa ambao wameonekana kuwepo kwenye...
 12. mjepo

  Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi - Mbeya!

  Wakuu chama cha watanzania leo kinaadhimisha miaka 37 tangu kuanzishwa kwake mjini mbeya kwa sasa burudani zinaendelea. mgeni rasmi anatarajiwa kuwa rais na mwenyekiti wa ccm taifa mh jakaya mrisho kikwete. viongozi wengene wa kitaifa wa ccm pia wamefika akiwemo ndg nape,kinana ambaye pia...
Top Bottom