Search results

 1. samora10

  Daraja la Kigamboni limefikia wapi?

  Natumaini mnaendelea na weekend yenu kwa utulivu huku tukidigest majipu yaliyotumbuliwa week nzima. Nataka tu kujua maendeleo ya lile daraja la kigamboni, limefikia wapi? Nakumbuka Mh Rais wakati huo akiwa waziri wa ujenzi aliagiza kandarasi ahakikishe linaanza kupitika september 2015 ila...
 2. samora10

  Maboresho ya Posho ya Kuchunguza Maiti kwa Madaktari..

  Wakuu ni muda mrefu nimejaribu kufuatilia sakata la mgomo wa madaktari na serikali yetu.. Kiukweli sijafurahishwa na jinsi serikali inavyolishughulikia suala hili, Ni kama vile viongozi wetu wanaendesha nchi kidikteta na hapa sitataka kuanza kuongelea mkasa uliompata ndugu yetu Ulimboka na...
 3. samora10

  Mazishi ya waliouwawa na polisi tarime- serikali yakataa marehemu wasiagwe uwanjani na uma

  wana JF habari toka tarime zinasema serikali imekataa kuruhusu wale marehemu waliouwawa na polisi kuagwa uwanjani kabla ya kwenda kuzikwa... source; tundu lissu Tundu Lissu (7 minutes ago) Niko Tarime tangu jana jioni. Na jana mchana Jeshi la Polisi likiongozwa na Kamishna wa Polisi Chagonja...
 4. samora10

  Vita ya ufisadi yageukia vyama vya siasa: Vyama Sita Vya Siasa havijawasilisha matumizi ya ruzuku!

  Ramadhan Semtawa VYAMA sita vya siasa vyenye wawakilishi bungeni, vinadaiwa kuwa vimeshindwa kuwasilisha taarifa za hesabu kuhusu matumizi ya ruzuku ya jumla ya Sh17.14bilioni kwa mujibu wa sheria.Vyama hivyo ambavyo vinapata ruzuku inayotolewa na Serikali ni pamoja na Chama Cha Mapinduzi...
 5. samora10

  Naona nchi hii tunahitaji snipers ili tuheshimiane..

  Wakuu kila siku nikiingia jamvini nakutana na heading za kuchefua sana.. hasa za kisiasa yani kama huna roho ngumu unaweza hata kupasua keyboard ya laptop yako au compyuta kwa hasira.. ndio maana nauliza je hatuna masnipers watuondolee hichi kichefu chefu? kero ni zile zile kila kukicha...
Top Bottom