Search results

 1. JAMBONIA LTD

  Kubadilisha hati ya kiwanja ya kijiji/ kitongoji kuwa legal doccument

  Habari wataalam, Kuna sehemu nimeomba mkopo ila katika kipengele cha dhamana (Collateral) nina hati ya kiwanja kupitia serikali ya kijiji, wahusika wamenambia ili waikubali niipeleke kwa mwanasheria ili iwe legal doccument. Sasa nnachotaka kujua hii hati yangu nikiipeleka kwa mwanasheria...
 2. JAMBONIA LTD

  Je ni sahihi kulipia kodi TRA kwa kushinda zawadi?

  Habari wakuu, kwa wenye uzoefu wa kushiriki mashindano mbali mbali ambayo wanatoa zawadi za vitu kama vile friji,tv,pikipiki,gari n.k Ningepeda kujua je kuna ukweli wowote kwamba kabla ya kupokea zawadi hizo huwa unalipia kodi TRA kwanza ndio ukabidhiwe zawadi yako?
 3. JAMBONIA LTD

  Naomba kujua Chuo kinachotoa Clinical medicine-Evening program

  Habari wakuu! Nimeona baadhi ya vyuo wakitoa evening program kwa Diploma za Nurse course, hivi kuna chuo kinachotoa Clinical Medicine kwa Evening program pia?
 4. JAMBONIA LTD

  Kwenye akaunti inaonesha selected ila ktk lists hayupo ..msaada

  Habari waungwana msaada wenu dogo orodha ya wanafunzi waliochaguliwa hayupo ila akifungua akaunti yake anapewa congratulations kwa kuchaguliwa vipi hapo afanyeje
 5. JAMBONIA LTD

  Mwenye kuifahamu Msc.Traditional medicine pale MUHAS

  Habari wakuu naomba msaada wa ufafanuzi anayeijua hii kozi. ukisoma soko linakua sekta gani ? unakuwa mtengenezaji dawa au tabibu? kuna market ya hii kozi? na mengineyo ambayo cjaulza napenda kujua
 6. JAMBONIA LTD

  msaada hatua ya mwisho kuapply mikopo

  habari wakuu, naomba msaada katika hatua yaa mwisho ya kukamilisha ujazaji a fomu za online za bodi ya mikopo katika kusubmit wamandika "PRINT AND SSUBMIT YOUR APPICATION FORM AND ATTAACHME'' ukiclick zinkuja documents katika pdf kwa jili ya kuprint sasa je hpo ndioo unakua ushasubmit tayarii...
 7. JAMBONIA LTD

  Naomba orodha ya vyuo vinavyotoa degree

  Habari wapendwa naomba msaada wa lists ya vyuo vinavyotoa degree ya pharmacy Tanzania ukiacha.
 8. JAMBONIA LTD

  EXAMINATION AUTHORITY KWA VYETI VYA SHAHADA (DEGREE) NI IPI?

  MFANO veti vya o level na A level Examination authority yake ni NECTA na Diploma ni NACTE je degree ni ipi?
 9. JAMBONIA LTD

  Ni nini maana ya scanned copies katika online appication?

  hivi hapo una scan original certificates ndio una attach au unatoa copy halaf unascan zile copies? limenichanganya hilo neno scanned copies ...shukran
 10. JAMBONIA LTD

  Kwa D NNE hizi a some nini

  Dogo amepata D NNE katika masomo ya Civics,kiswahl ,Geography na English ukimuuliza anataka kusoma anapenda nini? anasema chochote ambacho wajuzi watamshauri yupo tayari kwa ngazi ya certificate.. Hebu mshaurini
 11. JAMBONIA LTD

  Jipatie ubuyu fersh wa Zanzibar

  Habari wadau! kwa mahitaji ya ubuyu wa Zanzibar,mwekundu na mweupe tunapokea oda na hivo kujipatia ubuyu fresh direct kutoka jikoni, Zanzibar . Mzigo huingia Dar kutoka Zanzibar kila ijumaa na jumatatu kupitia meli ya mizigo,Azam Sea link. Ndoo ndogo 33,000 Ndoo kubwa 60,000 Mzigo unafikia...
 12. JAMBONIA LTD

  Jipatie ubuyu fresh wa Zanzibar

  Habari wadau! kwa mahitaji ya ubuyu wa Zanzibar,mwekundu na mweupe tunapokea oda na hivo kujipatia ubuyu fresh direct kutoka jikoni, Zanzibar . Mzigo huingia Dar kutoka Zanzibar kila ijumaa na jumatatu kupitia meli ya mizigo,Azam Sea link. Ndoo ndogo 33,000 Ndoo kubwa 60,000 Mzigo unafikia...
 13. JAMBONIA LTD

  Kama umesoma masters degree pitia hapa

  Habari! Ningependa kupata uzoefu kiujumla kwa wadau ambao mmeshasoma au mnasoma masters degree. je umeionaje shule ya masters degree ukilinganisha na ile ya bachelor ? ipi kwako imekua simple na ipi imekupa shida? ugumu wa masters upo wapi? wepesi wa masters upo wapi? utamshauri nini...
 14. JAMBONIA LTD

  Kujiunga NHIF ni kiasi gani?

  Habari ndugu! Nataka kujua gharama za kujiunga na bima ya afya NHIF kama mwanachama binafsi kiwango cha chini ni shilingi ngapi kwa mwaka?
 15. JAMBONIA LTD

  Kwa waliosoma Biomedical Equipment Engineering Habari

  Habari kama kuna member yoyote aliyesoma hii kozi kuna kijana anaomba ushauri anataka kuapply pale DIT, au hata kama unamjua aliyesoma ,je ni kozi yenye future nzuri?
 16. JAMBONIA LTD

  Kwa walio katika process ya kuapply diploma kozi afya tu

  Habari, Ikiwa ni mwanafunzi upo katika mchakato wa kuomba chuo kwa kozi za diploma ya clinical medicine na pharmacy tu basi nione PM nikupe utaratibu wa kujaribu bahati yako huenda ukajipatia udhamini wa masomo yako full au partial,utakapokidhi vigezo pia niachie Jina na whatsapp no PM
 17. JAMBONIA LTD

  Inawezekana kupata mkopo wa pili kwa ajili ya shahada nyingine?

  Habari wakuu naomba kuuliza hivi kwa mfano tayari una bachelor na hujamaliza mkopo unaodaiwa, unaweza kuomba tena degree ya MD ambayo ni kipaumbele cha serikali ukapewa tena mkopo ?
 18. JAMBONIA LTD

  Unafahamu nini kuhusu Masters of Medicinal Chemistry?

  habari wakuu, naomba mwenye kujua chochote kuhusu applicaton na market ya hiyo program kwa hapa Tanzania utakapoisoma kutoka nje ya nchi! inakupa uwanja gani wa kujiajiri au kuajiriwa. shukran
 19. JAMBONIA LTD

  Jiunge na mafunzo ya ujasiriamali

  Habarini wana jf, leo nimeona niwashirikishe mafunzo mazuri ya Ujasiriamali yatakayokupa maarifa yakuweza kumudu biashara na shuhuli nyengine za kukuingizia kipato. Kumbuka katika mafunzo haya huendi kujifunza jinsi ya kutengeneza subuni,shampoo, batiki, tomato sauce n.k hapana, hayo ni mambo...
 20. JAMBONIA LTD

  Jipatie ubuyu kutoka elfu 33 tu

  Habari za muda huu, kwa wapenzi wa ubuyu na wajasiriamali.. Nauza ubuyu kutoka Zanzibar kwa elfu 33 tu ndoo ndogo ya lita 10,ubuyu Mtamu.. Na napokea oda kwa idadi unayoitaka.. Ubuyu unapikwa baada ya kuweka oda hivo ni fresh karibuni sana na idi ndo hiyo inakuja tuchangamkie fursa... Kwa Dar es...
Top Bottom