Search results

 1. NIMPENDENANI

  Msaada: Mume wa wifi yangu amempa mimba dada wa kazi nyumbani kwangu; familia imevurugika

  Habari za Asubuhi Waungwana. Naomba niende moja kwa moja kwenye Mada. Nilisafiri na familia Julai nikamuacha mfanya kazi na wifi yangu nyumbani kwetu akiwa amejifungua sasa mumewe akawa pia anakaa hapo; sio kama kwake mbali ameamua tuu kuhamia kilinishangaza ila baadae nikasema sio neno. Wiki...
 2. NIMPENDENANI

  Mwanaume unatoa nyusi?

  Habari zenu Waungwana, Kuna jambo nimeliona jana saloon hata sijapenda, nimekwenda kufanya body wax na kutoa nyusi kufika namkuta mkaka ameshikilia nyusi lina guna tuu mmh,mmh, hakuishia hapo anafanya waxing mikononi na miguuni, haja elekea kama shoga ila kwa tamaduni zetu za kibongo nimeona...
 3. NIMPENDENANI

  Mwanamme Heshimu mkeo/GF wako

  Habari Waungwana, Kuna jambo limenikera sana, rafiki yangu bahati mbaya amechelewa kufika airport due to traffic. ikabidi amepigie mumewe cm amuelezee kua amechelewa na ndege imemuacha,bwana yule bila kutaka kujua amemtukana mkewe na kumwambia asuridi nyumbani yeye anamtegemea nyumbani baada ya...
 4. NIMPENDENANI

  Umefunzwa wapi niongeze?

  Heri ya mwaka mpya waungwana.. Wakuu naomba kuuliza hivi unapomwambia mumeo/mpenzi wako unataka mrudie tena kufanya mapenzi baada ya round labda ya pili au ya tatu ni Uhuni au ni kosa? Kwa mtazamo wangu wangu sio tatizo kama mwenzio haja tosheka, au unatakiwa mwanamme tuu ndio aseme lets do it...
 5. NIMPENDENANI

  Sio kila rafiki ni mkweli

  Habari zenu waungwana, Tuwe makini sana na mashoga hasa sisi baadhi wanawake tunaowapa siri zetu shoga zetu, siri zako mpe mzazi wako na kama mzazi hayupo hai kama wangu basi bora jifunze kunyamaza. Nina rafiki yangu anapenda sana mashoga zake yani mara sijui Zahra mara Fahima, mara Mirfatt...
 6. NIMPENDENANI

  Mwanaume Kuvaa Kanga...

  Habari ya Leo Waungwana naomba kuuliza wanaume ni hivi napenda sana kumuona mume wangu amevaa Kanga yangu baada ya kikoi,mfano on weekend yuko nyumbani anavaa kanga yake ya kiuno chumbani ila. huyu wangu mimi ni 17yrs sasa tangu amenioa hajawahi kuvaa kanga,kama atavaa basi ni kikoi na pia...
 7. NIMPENDENANI

  Nimekosea Wapi?

  Hali zenu Waungwana, Naomba niende moja kwa moja kwenye kile kinachoniumiza nafsi yangu.. Nna mdogo wangu she is 27, anasoma South Africa na nna shemeji amemaliza kusoma anafanya kazi U.S.A, ndoto ya shemeji yangu huyo ilikuanikuoa mdogo wangu au ndugu yoyote sababu anasema amevutiwa na tunavyo...
 8. NIMPENDENANI

  Mwanamke Jiamini..

  Habari za leo waungwana, Kuna baadhi ya wanawake hua tabia zao za ajabu sana,mfano unakuta yuko na mumewe au mwanamme wake,sio kawaida yake kumshika mwanamme wake mikono wala kiss wala hug mbele za watu,ila aone mwanamke mwenzie anavyo jihashua mara kamdokoa sikio,mara kampapasa paja yanini yote...
 9. NIMPENDENANI

  Narudi Kwetu...

  Hali zenu Wana JF. Naomba kuuliza hasa wanawake wenzangu,ivi pindi mume wako anaposema Skukuu hii sina hela ya kukununulia nguo mpya ila Eid ilopita umepata nguo baada ya hapo ukaenda Holiday japo japo ya uwezo mdogo, hii ndio sababu yakukufanya ukafungasha mizigo yako unakaenda kwa kakako...
 10. NIMPENDENANI

  Kero: Anapiga kelele wakati wakiwa wanafanya mapenzi

  Habari zenu waungwana, Amekuja shoga wa dada yangu amefikia kwangu na mumewe watakuwepo 2 weeks lakini anakera pale anapofanya mapenzi jamani kelele mpaka mlokua ukumbini mnasikia, na si kama ni mdogo she is 43yrs na akitoka kulala na mumewe yeye ndio wa kwanza kutoka nje uso mkavu hata haoni...
 11. NIMPENDENANI

  Ushauri: Nataka mtoto wa mdogo wangu nimsomeshe, shangazi yangu anakataa

  Eid Mubarak Waungwana, Nina jambo linanitatiza kichwa na sijui hata niamue vipi, mtoto wa shangazi yangu amefariki amewacha watoto wa5, lakini kabla ya kufariki mtoto wa shangazi niliongea na Dad kua nimejisikia vibaya kuona hali nilomkuta sasa nikamwambia Dad acha nimchukue huyu mtoto wa kike...
 12. NIMPENDENANI

  Kazi nyingine wanaume sio zenu

  Habari za Asubuhi waungwana, Tulikua na harusi last two weeks, sasa hua tuna chukua wachoraji Henna wanakuja kutuchora nyumbani mara hii tulipata wachoraji kama wawili na hua tuna chukua kama wa 4 -5 sababau tunakua wengi, tumeshangaa kumuona mkaka ana chora watu Henna tena fundi na...
 13. NIMPENDENANI

  Kwanini uende na shoga kwa mpenzi wako?

  Habari za Weekend waungwana, Kuna jambo hua nashindwa kulielewa hasa kwa baadhi ya wadada, unaenda kukutana na mpenzi wako why lazima uende na shoga? Unaenda nae ili iweje? Au why asikilize mazungumzo yenu? Hiki ni kisa cha kweli kimemtokea mtoto wa mama mdogo alikua na mpenzi wake sasa most of...
 14. NIMPENDENANI

  Je, ni kawaida kwa mume/mpenzi kufua nguo za ndani za mwenza wake?

  Habari za asubuhi waungwana, Kuna kitu naomba kuuliza, hivi ni kawaida au ni sawa kwa mume/mpenzi kumfulia nguo za ndani mkewe au mpenzi wake? Yani sio kama mara moja kwa week au akiwa na mood tuu, bali ndio anavyofanya na mke au mpenzi akifua mwenyewe inakua tafrani kwanini umefua...
 15. NIMPENDENANI

  Mwanamke jifunze uvumilivu

  Habari wana MMU, Kuna jambo linanitatiza,Jana amekuja wifi yangu mke wa kaka na kilio nikajua amefiwa kumuliza haya kumezidi nini? Anasema anataka kuachwa amesha choka na kuona SMS kwenye simu ya mumewe za mapenzi na hivi karibuni aliona msg na picha za mtoto kwenye simu ya mumewe akafatilia...
 16. NIMPENDENANI

  Wangu hafanani na wako

  Habari wana MMU, Wanawake naomba tuelewe kua wanaume wote sio sawa, usilazimishe mumeo tabia zake au kipato chake kifanane na mwengine chakufanya nikum support mumeo na alichojaliwa nacho, sio kum stress, au akikwambia nina hela ya saloon elfu 50 lakini ya wigi jipya sina subiri siku nyengine...
 17. NIMPENDENANI

  Kwanini Mke wa pili huwa mkorofi?

  Hi MMU, Nina Shogangu mumewe ameoa mke wa pili lakini yule mdada ni mkorofi utadhani yeye ndio mke wa kwanza, wakati mke wa kwanza ndio alokula dhiki na yule mume sasaivi mambo safi kiasi mume ndio kaongeza mke wa pili. Wake jamani mnapoingia kwenye ndoa kama mke wa pili au wa 3 hebu muheshimu...
 18. NIMPENDENANI

  Baba mdogo wa mume wangu amekasirika mimi kumkiss mume wangu

  Habari za Leo Waungwana! Nyumbani kwetu tumejiwa na mgeni ambae ni Baba mdogo wa mume wangu. Atakuwa kwetu kama 15 days. Amekuja medical na mkewe na watoto wa3. Tangu wamekuja leo ni siku ya 4. Cha kushangaza leo asubuhi wakati watoto wanakwenda school wamekuja kutuaga which is normal. Huwa...
 19. NIMPENDENANI

  Kusuka kwa Wamasai Basi ....

  Habari Wana Chit-Chat, Naomba kuuliza Wanawake wenzangu, Nilimuona Shogangu kasuka zile nywele za kimasai nikazipenda sanaa sasa nikasema niende na kwakweli sijasuka nna miaka kama 10 sababu mr Hataki This time nikamuomba akakubali baada ya miaka 10 ilikua kama bahati. Kwakua nyewele zangu...
 20. NIMPENDENANI

  Kwanini umueleze shoga mambo yako ya ndani?

  Habari za leo waungwana, Kuna vitu nashindwa kuelewa naomba muongozo hasa kutoka kwa wanawake wenzangu,naomba nitoe sababu yakutaka muongozo, kuna mdada hapa kazini ana report kwangu ni mdada wa mjini kiasi hua anapenda sana kueleza mambo yake ya nyumbani ,kila anachofanya akija lazima awambie...
Top Bottom