Search results

 1. Kenyan-Tanzanian

  Bunge La 10 Lafunguliwa Rasmi

  "Nani bora kati ya Yanga na Simba?" Marehemu Tanzanian musician Cool James aliuza. Wakuu hayo tuachie wazushi bcoz tunaeza kesha tukibisha. Bunge lilifunguliwa leo rasmi. Kabla ya ufunguo huo vyama hasimu vya ODM na PNU (ikiwa na ODMK) vilifanya mkutano wa wajumbe wao wa pamoja...
 2. Kenyan-Tanzanian

  Raila Apata Mabodigadi Kama PM (mteule)

  Baada ya dhiki faraja.... Siasa zimeanza kuingia tena katika ulingo wa uwiano huku kwa akina watani wenu wa jadi. PNU na ODM zipo mbioni kuhalalisha the Annan Deal huku kimbunga cha siasa motomoto kikionekana kana kwamba kinayeyuka. Yamkini Rais Emilio Mwai Kibaki ameona kwamba sasa yupo kwenye...
 3. Kenyan-Tanzanian

  Mamilionea Wa Kenya?

  Wakati sisi wananchi kama siafu tunahangaika kutafuta hali ndani ya dunia ya Mwenyezi Mungu hawa mabwana kubwa, wengi ambao wa jamii fulani Kenya, kweli wanazidi kutafuna matunda ya uhuru si mchezo! Hebu someni wenyewe vile asilimia 80% ya ardhi iliyonzuri inamilikiwa na asilimia 20% ya nchi...
 4. Kenyan-Tanzanian

  99 Tajiri Zaidi Kenya

  The 99 Richest Kenyans 1) .philip ndegwa family (central bank thief) 2) .manu chandaria (ea match co, kaluworks and the 2billion dollaz a year mabati) 3). Simeon nyachea ( kabansora, prime bank) 4) anoop vohra(sarova hotels/athi river mining co / the avenue park estate) 5 . Kentan...
 5. Kenyan-Tanzanian

  Kenya Yaipongeza Sana Tanzania

  Naomba nafasi ili niwapongezeni Watanzania wote popote mulipo duniani. 1. Hongera kwa kuweza kutuonyesha ukomavu wa siasa zenu baada ya presha ya wananchi kumtimua Lowassa na wengineo waliohusika kwenye the Richmond Scandal. 2. Kwa Rais wenu stadi Mh. Jakaya Mrisho Kikwete kuteuliwa kama...
 6. Kenyan-Tanzanian

  Is This The Kenya Kibaki Wants?

  [COLOR="Red"][B] I. WHAT I GATHER AROUND IN SUMMARY WESTERN COUNTRIES ACCEPT, KENYAN ELECTION WAS STOLEN: http://www.guardian.co.uk/leaders/story/0,,2233471,00.html
 7. Kenyan-Tanzanian

  Kula Kwa Kibaki, Kura Kwa Raila

  Ishara ya Siasa za Kifasisti sio tu alama zao za kuamkuana ila kutowajabika kwa wanasiasa wa mrengo huu kwenye kujumlisha wote ndani ya ujenzi wa jamii....kwao wanasiasa hawa maendeleo ni maendeleo wakati wao hao ndio wananufaika at the expense of the nation and the majority of its people...
 8. Kenyan-Tanzanian

  Kenya: Wamerikani Wa Tabiri Ushindi Wa Raila

  MAONI YA WAAMERIKA KUHUSU USHINDI WA RAILA Waheshimiwa Raila amekubalika na hata waMarekani wanajua Kibaki na mafisadi wake yao imekwisha.... http://www.washingtonpost.com/wp-dyn/content/article/2007/12/21/AR2007122102136.html?nav=hcmodule HEBU CHEKINI HII PIA...
 9. Kenyan-Tanzanian

  Uchaguzi: Wakenya Waamua

  KIFO CHA SERIKALI FISADI YA RAIS MWAI KIBAKI Zikiwa zimesalia masaa 80 tuu halafu Muungano wa Chungwa ( au Orange Democratic Movement) na Mgombea Rais wake RAILA AMOLO ODINGA atawazwe kama RAIS WA AWAMU YA NNE KATIKA JAMHURI YA KENYA hizi hapa news na video kibao zakuwapatia hali vile ilivyo on...
 10. Kenyan-Tanzanian

  Waheshimiwa Jf: Hatimaye Kibaki Kwisha

  Wakuu Mambo yanazidi kunoga hukuu sasa hata wapambe kutoka kwa jamii ya Kibaki wakisalimu amri kwamba ZUMANAMI iliomleta ZUMA madarakani huko USAUZI sasa inamleta RAILANAMI au Sunami ya RAILA huku KENYA. Ni wakati wa kihistoria leo Ikulu Nairobi jili hii ndio Ijumaa ya mwisho ya Kibaki na...
 11. Kenyan-Tanzanian

  KENYA: Mwisho wa Moi

  The Standard Online | Dec 18 2007 Rift Valley is astir, so which way for region? Published on December 19, 2007, 12:00 am Rift Valley is astir, so which way for region? By Andrew Kipkemboi Amidst the enthusiasm to vote in the Rift Valley are forces grinding against each other. Former...
 12. Kenyan-Tanzanian

  Kwanini Kibaki Ameshindwa?

  http://www.youtube.com/watch?v=T9qNF70hc4A http://www.youtube.com/watch?v=CNxGXuNGvKo&feature=related
 13. Kenyan-Tanzanian

  Ufisadi Nzito Wa Rais Kibaki's Government

  Raila fanya hima utusafishie huu ufisadi ambao Githongo alifichua... Wakuu, zikiwa zimesalia sikuu tisa tuu tuingie kwenye mabox za kuamua political future ya Kenya, pokeeni hizi ripoti kali on kashfaa nzito ya ufisadi wa serikali ya Rais Mwai Kibaki zilizofichuliwa na Bw. John Githongo...
 14. Kenyan-Tanzanian

  Tz To Invade Ug?

  Wakubwa naomba kuelimishwa. Hii ni kutereza kwa ulimi au ni nini?
 15. Kenyan-Tanzanian

  Idara ya Upelelezi>Kwaheri Kibaki

  Opinion polls ratings released today by Nation Media Group by Strategic Research, Infotrak Harris and Consumer Insight: Raila [46%, 45.8%, 42.5%] Kibaki [36%, 35.9%, 40.8%] Kalonzo [17%, 16.4%, 15.1%] Unofficial opinion poll survey done by the National Security Intelligence Service...
 16. Kenyan-Tanzanian

  George Bush, Mama Lucy na Kibaki

  Mama Lucy, Rais Kibaki na rafiki zao huko Uraibuni.... Huko Marekani mtoto wa Lake Victoria anatakamng'oa Rais Bush madarakani... Huku Kenya mtoto wa Lake Victoria anatakafanya vivyo hivyo dhidi ya Rais Kibaki Kwanini wasiunde alliance marais hawa? Nikujuiliza kwa sauti tuu...nawaza...
 17. Kenyan-Tanzanian

  Kenya Woi! Siasa Za Chachaaa!

  Siasa za chacha Kenya huku mbinu zote zikitumiwa kwenye mbio zakumchagua mpangaji wa Ikulu Nairobi wa miaka mingine mitano. Angalia hapo chini nakala au attachment ya jitihada za ODM chama cha Upinzani kutumia sasa vibonzo kuikashifu vikali serekali ya Mheshimiwa Rais Kibaki duh hii kali!
 18. Kenyan-Tanzanian

  Kenya: Yazinduliwa siri ya Kura ya Maoni!

  Waheshimiwa, Hii hapa ripoti ya kura ya maoni ya Steadman ya hivi karibuni zaidi. Inaonyesha bayana kwamba Raila anaelekea kuwa Rais wa awamu ya nne ya Kenya kwa margin kubwa mno. Ila kabla Steadman waitoe kwenye umma, waliikarabati ili iweze onyesha Raila (46) yuko mbele ya Kibaki kwa...
 19. Kenyan-Tanzanian

  Manifesto Ya Odm

  Ndugu Waheshimiwa, Zikiwa zimesalia takriban wiki mbili na siku kumi hivi ili tufikie siku ya kihistoria ya Elections Kenya, hii hapa MANIFESTO YA ODM. IChambueni na mtuweke kwenye maombi tuweze kuinyakua mamlaka toka kwa Mheshimiwa Kibaki na Wenzake. 1. Chini hapa mna link ambayo itakupa...
Top Bottom