Search results

 1. advocate kiza

  AHSANTE MUNGU FOUNDATION COURSE NIMEPASUA TUKUTANE UDSM

  Open uiversity of Tanzania(OUT) Chuo kikuu huria ndicho kilicho pewa mamlaka ya kutoa foundation
 2. advocate kiza

  CHUO CHA TANZANIA PUBLIC SERVICE TANGA

  Jaribu kukaa hostel atleast for first year, hostel itakuweka bize na kitabu though magetoni inakupa challenge ya maisha
 3. advocate kiza

  MZUMBE UNIVERSITY - (MU) Special thread

  Kwa ngazi ya certificate maisha ya hapo yapoje especially kwenye law?? Avalaibility ya hostels ulipwaji wa ada??
 4. advocate kiza

  Msaada mzumbe university- Morogoro

  Guys p poleni na majukumu Nina mpango wa kujiunga na sheria ngazi ya cheti katika chuo hichi cha mzumbe Nilikuwa nauliza kwa mwenye uzoefu na mazingia ya pale. Upatikanaji wa materials, upatikanaji wa hosteli, gharama za maisha n,k Ahsanten sana
 5. advocate kiza

  Msaada kwa mwenye Div. IV ya point 26

  Write your reply...kama ana Credit(C) tatu katika masomo yasiyo kuwa ya dini Anaweza kusoma form five private,, second option ni chuo course yoyote ya art mfano community devolmnt law n.k thirfd option ni veta
 6. advocate kiza

  SCHOOL OF LAW

  Though hujasema level gani cert,diploma ama degree Kama ni cert IJA is the best, ila pana changamoto nyingi sana pale, binafsi ningekushauri uendee RUCU, wapo vizuri kwa cert na diploma, pia unaweza jaribu mzumbe though for me RUCU is the best,
 7. advocate kiza

  Tatizo la kuomba vyuo NACTE, shida ni nini hasa?

  Vyuo vya afya vingi wanasajiliwa chuoni,
 8. advocate kiza

  Tatizo la kuomba vyuo NACTE, shida ni nini hasa?

  Jaribu kusoma vizuri taratibu za application Vyuo vya afya wanaomba kwa mfumo wa panel
 9. advocate kiza

  Tatizo la kuomba vyuo NACTE, shida ni nini hasa?

  Jaribu kuingia katika tovuti ya chuo husika mfano chuo kama RUCU nime apply mda mchache uliopita kuoitia tovuti yao
 10. advocate kiza

  Naomba ushauri

  Write your reply... Mwalimu??/Stashada= Stashahada
 11. advocate kiza

  MSAADA WENU TAFADHALI

  Write your reply...maybe kwa sababu ni wekend jaribu weekdays
 12. advocate kiza

  MSAADA WENU TAFADHALI

  Write your reply...www.school.co.tz tafuta morogoro utaipata na mawasaliano yake
 13. advocate kiza

  Sifa gani znahitajika kujiunga na chuo(certificate)?

  Write your reply...mkuu usiangalie ukubwa wa chuo kinacho matter ni qualification Pia qualification inategemea na course yenyewe
 14. advocate kiza

  Ufadhili

  mkuu. samahani kidogo vipi hapo chooni kwako upatikanaji wa matirio ,starehe( cafe ya kucheck game) n.k inshort nataka kuja hapo september nisaidie mkuu PIA nisemehe kwa kukuharibia uzi
 15. advocate kiza

  naomba ushauri

  Write your reply...nikushauri tafuta C mbili, ya kingereza na history ukasome HKL, ama nenda certificate course kama, community development sheria, busness admin
 16. advocate kiza

  Msaada wanajukwaa

  Hapo umenisaidia???? Acha ujuaji
 17. advocate kiza

  Msaada wanajukwaa

  Guys, lets me make it simpleee!!! Nilikuwa nahitaji mtu yoyote mwenye experience, na chuo cha usimamizi wa mahakama-lushoto, anisaidie, nataka kujoin pale mwaka huu, certificate I tried to search online, but unfortunately i didnt saw more info, Thanks
Top Bottom