Search results

 1. T

  Maandamano nchi nzima, yanaweza kutatua kero zetu?

  Wasalaam wote, Napenda kuanzisha muamko wa maandamano sasa haya maneno hayatasaidia hata siku moja, maana wao wanamajibu wanayoyataka pindi wanapoulizwa maswali magumu, tuweke UDINI pembeni jamani, tuweke ubishi pembeni sasa.. naomba sasa tuanzishe makakati wa maandamano.. tuwe serios...
 2. T

  Lipumba amlipua Chenge

  MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ameeleza kusikitishwa na kigugumizi cha serikali cha kushindwa kumchukulia hatua aliyekuwa waziri na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Andrew Chenge, kwa madai ya kuhusika katika kashfa ya ununuzi wa rada. Alisema inashangaza hadi...
 3. T

  They Dont read

  Nimepata hii Article nikaona nishee na nyie kama ita kuwa imeshawekwa basi si vibaya MODS mkiitoa Greetings All, For those of you who heard it, this is the article Dee Lee was reading on a New York radio station. For those of you who didn't hear it ...
 4. T

  Mustafa Mkullo haziheshimu sheria za barabarani

  Jana saa kumi na moja na dakika hamsini na nane (17:58), gari la waziri wa fedha na uchumu (lenye namba za usajiri W FU) na ndani akiwemo waziri mwenyewe wa fedha na uchumi bwana M Mkullo, likiwa maeneo ya upanga karibu na AMREF kuelekea California Dreamer, dereva aliepuka barabara kuu na kupita...
 5. T

  Five Surgeons

  Five surgeons are discussing who has the best patients to operate on. The first surgeon says, 'I like to see accountants on my operating table because when you open them up, everything inside is numbered.' The second responds, 'Yeah, but you should try electricians...
 6. T

  KIGODA:Tofauti za Takwimu kwenye vitabu vya fedha ni SAHIHI

  Heshima Mbele wana JF naomba kuwakilisha machache kuhusu tofauti hizi, sikuweza kuchukua zote maana nilikuwa natoa direct toka kwenye speech na mimi si mtaalamu wa maandishi so I was missing some points, kwa alie weza kuchukua yote anaweza kuwalisha. Wakati michango juu ya bajeti ikiwa...
 7. T

  Jamani wabunge this is too much....

  Heshima mbele wana JF Nimekereka mpaka nimeona ni bora nije mbele yenu ile tujadili hili, Bahati nzuri nna kalikizo kadogo na kamenisaidia kuweza kupata muda wa kuangalia bunge moja kwa moja (live), Kinachonikera na wabunge wetu hasa wa CCM ni uzembe na upuuzi wa mambo, wabunge wamekuwa...
 8. T

  Ruling party sweats over grand corruption scandals, muafaka

  Ruling party sweats over grand corruption scandals, muafaka By The Citizen Team Chama Cha Mapinduzi (CCM) says the recent war against graft is being over-amplified by the media on their own agenda, neglecting some key issues of national interest. Speaking to Political Platform...
 9. T

  Common Interview Questions and how to answer them

  One of the easiest ways to build confidence before a job interview is to prepare answers to questions you might be asked. Whether you're applying for a position as a web programmer, accountant, or legal secretary, interviewers often use some general questions to assess candidates, so you'll...
 10. T

  First Send a Resume, Then Follow Up

  You've found your dream job. You spot the job posting, craft a winning resume and e-mail it to the recruiter. Then the waiting game begins. After you've sent a resume, it's tempting to sit back and hope the recruiter will call. But -- make no mistake -- you SHOULD follow up. You just need...
 11. T

  Filll the blank space

  TAKUKURU is the definition of........................
 12. T

  Uongozi wa wa UDSM wawafutiwa mashitaka wanafunzi

  Leo Uongozi wa UDSM umewautiwa mashitaka wanafunzi 38 walioshitakiwa kwa tuhuma za kufanya fujo chuoni
 13. T

  Wakazi wa Buzwagi watawanywa kwa risasi, mabomu

  Huu si ndio ule unaodaiwa kuwa ni wa mkapa?? Mkapa umefikia hatua hii??? WANANCHI waliohamishwa kupisha ujenzi wa Mgodi wa Buzwagi, wilayani Kahama jana walitawanywa kwa risasi na mabomu ya kutoa machozi yaliyokuwa yakipigwa na Polisi kuzima jaribio lao la kutaka kurudi kwa nguvu...
 14. T

  Ukizoea Vya Kunyonga

  KAMPUNI ya Maji safi na Maji Taka mkoa wa Dar es Salaam (Dawasco) jana ilianza tena oparesheni maalum ya kukata maji kwa wadaiwa sugu 112, wakiwemo waliowahi kuwa mawaziri katika Serikali ya Awamu ya Tatu. Katika oparesheni hiyo maalum baadhi ya vigogo walioathirika ni Brigedia Jenerali...
 15. T

  Tanzania Idols auditions were a joke!!! AIBU TUPU

  Category: Idols They have got to be kidding us !!!!! Did you watch The idols east and southern africa auditions in Tanzania?? It was worse then the Nairobi!!! Only four of the many hopefuls pictured above were to chosen by the judges…Either Tanzanians can’t sing or what else...
 16. T

  Dear Jakaya Mrisho Kiwete

  Pole sana na safari na karibu tena hapa nyumbani, ningependa pia kukupa hali halisi ya hewa ya hapa nyumbani (nikiamini kabisa wapambe wako hawawezi kukupa ukweli halisa maana bado they will simply tell you what you like to hear na pia bado wako juu hawajui hali halisi ya huku chini), moto bado...
 17. T

  Sasa Jf Ihamishie Nguvu Huku

  Ndugu wana JF ningependa kutoa pongezi kubwa kwa kazi nzuri inayofanywa nanyi nyote, matunda yanaonekana hata kwa kiziwi na kipofu, sasa ningependa kutoa ushauri wa kuhamishia moto kwa kushinikiza MANYIKA, HOSEA-TAKUKURU kuachia ngazi HAniingii akilini kuona kuwa hawajamaa wanatuhumiwa na...
 18. T

  Azzani Zungu Atukanwa Na Wananchi

  Mbunge alalamikia kutukanwa na wananchi JIBU LA SWALI LA MBUNGE JIMBO LA ILALA MBUNGE wa Ilala, Musa Azzan Zungu (CCM), amelalamikia kutukanwa na wananchi wake kutokana na kutokarabatiwa kwa Barabara ya Uhuru jijini Dar es Salaam, ambayo ni kero kwa wananchi hao. Akiuliza swali la...
 19. T

  Malaria sugu inanitesa! Dawa gani itanipa tiba ya kudumu?

  Malaria sasa naona haitibika maana watu wengi sana hata wakinywa hizi dawa za Metakalfin, Arinet lakini baada ya wiki malaria iko palepale. Niliwahi kumuuliza Dokta mmoja aliniambia mara nyingi wale wadudu hujificha kwenye maini na kizazi (kwa wanawake). Ningependa mwenye utaalamu basi...
 20. T

  Mabilioni yetu wameiba, adhabu yao kigugumizi

  Nimeguswa sana na uchambuzi wa Gervas nikaona nivizuri niulete hapa Na Gervas Zombwe wa Tanzania Daima WANANCHI wanachangishwa michango ya ujenzi wa shule kwa nguvu. Na kutokana na umaskini wao wanaamua kuuza kuku, mazao yao, na hata baadhi ya vitu ili watoe michango ya kujenga...
Top Bottom