Search results

 1. L

  Utafiti: Vijana wengi wahitimu wa vyuo wasio na kazi au kufanya kazi za kawaida hudanganya wana elimu ya kidato cha 4, 6 au stashahada

  tatizo jamii bado haijawakubali wenye degree kufanya kazi ndogo ndogo ...na ikitokea wakakujua itakuwa ndio habari ya kitaa.
 2. L

  UKIMWI bado upo na wengi hufariki kutokana na UKIMWI

  sasa kama ARV zipo unachoogopa kitu gani?
 3. L

  Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

  bora iwe hostel, maana ilishaanza kuwa msitu, angalau sasa ivi itakuwa safi
 4. L

  Mvuta sigara hujisikia fahari anapoishika sigara mkononi

  Dah, usiombe addiction ya sigara ni mbaya sana, usipovuta unahisi mdomo mchachu, halafu hujui chochote kuhusu sigara, sigara zina ladha tofauti tofauti, we sio mvutaji, kunywa soda.
 5. L

  Halima Mdee: Mimi pamoja na timu yangu (Wabunge 19) tutabaki kuwa WanaCHADEMA kindakindaki. Tutaenda kuyajenga ndani kwetu

  Uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA waliupinga, hata bungeni Magufuli alipoenda kuhutubia walitoka nje, mbona hawakususia bunge? Naomba jibu tafadhali
 6. L

  Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

  angemkuta Papaa Mopao enzi zake yuko kwenye peak na yale madharau yake ya kikongo, asingekubali kufanya hio collab , ashukuru papaa amechoka, hata kibeku alikuwa ungo
 7. L

  Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

  angemkuta Papaa Mopao enzi zake yuko kwenye peak na yale madharau yake ya kikongo, asingekubali kufanya hio collab , ashukuru papaa amechoka, hata kibeku alikuwa ungo
 8. L

  Shaffi Dauda punguza uropokaji

  hata waarabu wanasajili kwa ajili ya kombe lao la nchi za kiarabu, unaambiwa ilo kombe lina pesa balaa. . CAF wanachukua kwa sababu tu ya ubora wa timu zao
 9. L

  Wanawake wengine hawajielewi kabisa

  tenager bana, ndio maana mabinti wanakimbilia kwa wazee wa miaka 75
 10. L

  Halima Mdee: Mimi pamoja na timu yangu (Wabunge 19) tutabaki kuwa WanaCHADEMA kindakindaki. Tutaenda kuyajenga ndani kwetu

  Tatizo ni vita ya ubunge ndani ya chama, wakisamehewa kuna watu hawataridhika, Mbowe ana majina yake, Mnyika ya kwake, yaani ni full vurugu.
 11. L

  Hii ndo Zaburi ya 35 aliyotwambia tusome Halima Mdee

  sawa, wanachama mko tayari kwa lolote, je, viongozi wenu wako tayari kwa lolote? hivi kweli Salim Mwalim alikuwa hajui mke wake Esther Matiko anaenda kuapishwa? kwenye lile kundi la akina mdee kuna wajumbe wa kamati kuu wana uhusiano wa karibu, usijidanganye walikuwa hawajui...
 12. L

  Mtu mkubwa ana agenda ya kishetani; Watanzania tusijigawe

  Kwa hiyo unataka na huyu wa hapa Tanzania tumfanyeje?
 13. L

  Hii ndo Zaburi ya 35 aliyotwambia tusome Halima Mdee

  wakisema watakipasua chama, leo angesema mnyika ndio aliepeleka fomu tume si hali ya hewa ingechafuka
 14. L

  Msaada - Wataalamu wa DSE (Dar es Salaam Stock Exchange)

  ok, na ukitaka kuuza, unauzia wapi?
 15. L

  Msaada - Wataalamu wa DSE (Dar es Salaam Stock Exchange)

  inachukua muda gani kupata faida? maana nasikia investment za kwenye stock zinachukua miaka kupata faida.
 16. L

  Spika Ndugai asilaumiwe mpaka sasa

  kila kitu kiko wazi, NEC wamesema majina yamepelekwa na katibu mkuu, na Mbowe kwenye press yake hakukanusha, huoni kuna namna hapo?
 17. L

  Spika Ndugai asilaumiwe mpaka sasa

  NEC walishasema, katibu mkuu wa CHADEMA ndio amepeleka hayo majina ya wabunge, na kwenye press ya mbowe hakujibu hili zaidi ya kujitetea kwamba hana taarifa, huoni CHADEMA wanajichanganya? ivi inawezekanaje Salim Mwalimu asijue taarifa za mke wake Esther Matiko ? inawezekanaje kigogo wa...
 18. L

  Spika Ndugai asilaumiwe mpaka sasa

  Inawezekana mnyika ameshirikiana na akina mdee kupeleka majina nec bila kushirikisha akina mbowe n.k. hayo majina yaliyopelekwa nec yachunguzwe yalisainiwa na nani.
Top Bottom