Search results

 1. nanawoo

  Asalaam alaikum wana mwanza ROCK CITY

  Asalaam alaikum jaman kwa wenyej wa mwanza naomben msaada nakuja mwanza inshaalah kesho hotel nzur isizid elf 40 na nahitaj mwenyeji atakaentembeza Sent using Jamii Forums mobile app
 2. nanawoo

  Hodi hodi wanaJF walioko Pemba

  Habar za jioni wanaJF mliopo Pemba Chake mi mgeni wenu ndio naingia. Naomba mwenyeji jamani kama yupo anifuate private na humu naomba tufahamishane wapi pa kutembelea Chake.
 3. nanawoo

  Nasaha kwa waliofika umri wa 35 yrs na kuendelea

  *Nasaha kw waliofikia 35Age 40-50 na juu ya Umri huo...* *Nasaha 1... Juu yko kupiga CHUKU(Hijama) kila mwaka hata kama huhisi maradhi au mapungufu yyte* *Nasiha 2...Kunywa maji kw wingi japo huoni kiu au huyahitajii ...kwani mashakil mengi ya mwili huja kw kupungua maji mwilini* *Nasaha...
 4. nanawoo

  Akram Aziz na madai ya kukamatwa na nyara za Serikali: Ufafanuzi

  Mfanyabiashara wa Utalii avamiwa na kusachiwa kwa kwa saa 20 Mfanyabiashara mkubwa wa Utalii na uwindaji Akram Azizi ambaye ni Mkurugenzi wa kampuni ya Kilombero North Safaris jana mchana alivamiwa na askari wakiwa na maofisa wananyamapori, akituhumiwa kuwa kontena lililosheheni nyara za taifa...
 5. nanawoo

  Wenyeji wa dar hapo unaweza jua ni wapi?

 6. nanawoo

  Ya Mungu mengi

 7. nanawoo

  special kwa madada wapenda maboss

  Sent using Jamii Forums mobile app
 8. nanawoo

  Natafuta nissan civilian ilotumika kidogo bajet inaanzia M20 kishuka

  natafuta civilian ilotumika kidogo bajet ni milion 20 kushuka chini Sent using Jamii Forums mobile app
 9. nanawoo

  Jinsi majina ya Wanaume yanavyobadilika kutokana na uongozi

  WANAUME NA ENZI ZETU! Enzi za #Mwalimu wanaume tulipewa majina stahiki kama vile MUME WANGU au BABA WATOTO Enzi za #Mwinyi wanaume tuliitwa MABWANA utasikia mwanamke ana muhadisia mwenzie kapata #Bwana. Enzi za #Mkapa wanaume tukaitwa MABUZI Mwanamke ana msimulia mwenzake nime pata #Buzi...
 10. nanawoo

  Azam atoa ndege au ni editing tu wakuu

  Sent using Jamii Forums mobile app
 11. nanawoo

  Serikali imeziagiza mamlaka za miji nchini kuwavunjia watakaojenga maeneo yasiyopimwa

  Serikali imeziagiza mamlaka za miji nchini kuwavunjia mara moja watu ambao wananzisha ujenzi katika maeneo ambayo hayajapimwa kwani kwa sasa Serikali imeweka mazingira rafiki ya watu kumiliki ardhi. Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya makazi Mhe.Willium Lukuvi ametoa agizo hilo mara baada ya...
 12. nanawoo

  Nini hupelekea mtu kuwa maarufu eneo geni?

  Nina mshikaji wangu kila tukisafiri nae kwenda mikoa tofauti tukifika haichukui muda kashazoeleka na watu gafla wanamfahamu na hata msaada pia kama tumekwama tunasaidiwa haraka na jamaa tunaowakuta yaani wanajitolea kama tulikua tunafahamiana mwanzo kumbe ndio kwanza tunaonana nao.
 13. nanawoo

  RATIBA YA WANAUME WA DAR W/END

  RATIBA YA WANAUME WA DAR W/KEND 1.Asubuhi-Chai na soseji moja na yai la kuchemsha Baada ya chai anaangalia tamthiliya ya kifilipino[emoji2][emoji2][emoji2] 2.Mchana-Chips mayai na mayonaiza na mshikaki mmoja. Jioni jioni anaenda kufanya pedcure[emoji4][emoji4] pale mwenge. Baada ya hapo dili...
 14. nanawoo

  Sababu zinazonifanya nisitazame Bongo movie tena

  1. Wachawi wanakamatwa na mgambo. 2. Majeruhi na maiti zinabebwa kwa mikono mitupu. 3. Jini anavuka barabara anaangalia kushoto na kulia anatizama usalama kwanza. 4. Risasi inachukua dakika kumfika mpigwaji. 5. Mtu yupo na demu wake super maket wanachukua nusu saa nzima wakati muvi ina saa moja...
 15. nanawoo

  Muda utakaeweza kuzoeana na baba yako

  [emoji23][emoji23][emoji23] *Muda pekee unaoweza kumzoea baba ako ni pale unapomfundisha kutumia smartphone,* *Wanakuaga wapole yan unaweza kumtuma hata maji ya kunywa akaleta* [emoji134]‍♂[emoji134]‍♂[emoji134]‍♂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Top Bottom