Search results

 1. M

  Niuzie kiwanja iringa manispaa

  Bajeti 2.5mil Iwe maeneo yaliyopimwa Angalia kiwe na 30m x 30m Kiwe karibu na laini ya maji na umeme Sent using Jamii Forums mobile app
 2. M

  Nahitaji laptop Mpya kabisa

  Sifa za hiyo laptop ni 1. HDD kuanzia 500GB nakuendelea 2. Processor core i 5 gb 2.5 nakuendelea 3. RAM 4gb na kuendeleza 4. Display 15" 5 iwe na DVD ROM 6.iwe na uwezo wa kusapoti wifi na blootooth 7. Brand iwe Dell au Hp hasa Dell Bajeti yangu 500,0000 tu Sent using Jamii Forums mobile app
 3. M

  Msaada : Anayefahamu bookshop nzuri ya vitabu vya a level mwanza

  Habari wanajukwaa wote! Anayefahamu maduka ya vitabu vizuri vya science Mwanza ninapoweza kupata vitabu vifuatavyo na gharama zake niandae bajeti: 1.Biological science (BS) 2.Organic chemistry vya TIE (1 &2) 3.Conceptual chemistry vol xi etc by chande ABC (MODERN Chemistry na biology)...
 4. M

  Msaada:Kwa anayifahamu shule ya sekondari Nyehunge

  Mdogo wangu amechaguliwa shule hiyo chaguo la pili inaonekana iko Mwanza lakini siipati shule hiyo kwenye mkoa wa mwanza ninapoitafuta,ninashida na joining instruction ya shule hiyo ili nimwandalie mahitaji, na kama kuna mtu anaifahamu anaweza kunipa ABC, nitafurahi kujua kama ni ya day au la...
 5. M

  Msaada: selection F 5 awamu ya pili

  Naomba kujuzwa hivi hawa wanafunzi waliochaguliwa awamu ya pili na hawajapangiwa shule wala combination (tahasusi) je watapangiwa kabla ya muda wa kujiunga kidato cha 5 haujafika? Ama wanasubiri watakaoshindwa kuripoti muda utakapoisha ndio hawa wapate nafasi? Nina mdogo wangu jina lake...
 6. M

  Mdogo wangu anaweza kusoma A level?

  Habari wana jf! Ninamdogo wangu alihitimu mwaka Jana ana div 3 ya 22 ameharibu michepuo karibu yote ana C 6 za kemia, baiolojia, jiografia kiswahili civics na,English historia d,phys na math f anaweza kuchaguliwa kweli hata mchepuo wa cbg kwa while za serikali ninawasiwasi kwa vile hesabu...
 7. M

  Nauza asali ya Nyuki wadogo

  Ni asali mbichi na safi kabisa Lita sh 35000 napatikana Iringa tuwasiliane kwa 0682517635
 8. M

  Natafuta wanunuzi wa Asali niko iringa

  Wadau Nina Asali mbichi takribani Lita 300 natafuta soko mwenye uhitaji naomba tuwasiliane tufanye biashara kwa namba 0764518076 karibuni
 9. M

  Nimeamua kuwa naye tu ingawa sina uhakika wa kuvumilia

  Habari za wakati huu wakuu! Ni hivi,baada kuona mshahara anaopata alipo ni wa kijungu jiko tulipatana na mchumba Wangu kwamba baada ya kufunga ndoa angehamia niliko tuishi pamoja huku akifanya biashara ndogondogo ilimradi anapata chochote huku akisaka ajira gvt, Sasa anaona aendelee na ajira...
 10. M

  Nitaenda tena kanda ya ziwa kila likizo

  Habari zenu wakuu. Naomba ni share na ninyi niliyojionea nilivyoenda likizo yangu ya mwaka. Kwanza kabisa likizo yangu ilikuwa na madhumuni makuu mawili 1.kuonana na mchumba Wangu ninayetarajia kufunga naye kifungo cha ndoa ya maisha 2. Kuwatembelea ndugu na jamaa. Kwa kweli nilijikuta...
 11. M

  Mchumba kadhoofisha ujamaa wetu

  Habari wanajf! Ni hivi huyu ni jamaa yangu sababu mjomba wake alimuoa shangazi, na pia tumesoma darasa moja O level na tuliunda group discussion moja. Tumekuja kumpenda dada mmoja kwa nyakati tofauti mimi nilikuwa wa kwanza kutangaza nia mwenzangu kumbe alikuwa na nia akawa anashindwa...
 12. M

  Kwanini walimu wa S/M na Sekondari huwa hawafanyi usaili?

  Nimekuwa nikijiuliza haya maswali bila majibu. Je wote wanafaa? Uwalimu ni kazi nyepesi wanaamini alimradi amehitimu kila mtu anaweza? Au ni kwa sababu mahitaji ni makubwa ndio maana wanapangiwa moja kwa moja.
 13. M

  Analalamika nikioa sitamjali

  Ni mwezi huu nilipoamua kuwaokoa wadogo zangu wawili na ndoa za utotoni. Iko hivi: Wakati nikifanya utaratibu wa kumwendeleza kielimu mdogo wangu wa miaka 14 wa kike aliyefeli la 7,kumbe baba alikuwa tayari ameamua aolewe ila anaunga mkono nia yangu kinafiki .akaja akinidanganya mama amekataa...
 14. M

  Naomba kufahamishwa majina ya vitabu vya kiada vya darasa la nne na la tano

  Habari wanajf Ninataka kuwanunulia watoto wangu vitabu hivyo ili niende sawa na mwalimu wao shuleni ninapowasaidia nyumbani ila sivijui majina nilienda bookshop kuulizia nao wakawa hawana uhakika wao wanasoma shule za msingi ya serikali
 15. M

  Hakuna urafiki wa mke na mwanaume nasitataka kuaminishwa na yeyote

  Zamani niliamini jambo hili linawezekana. Lakini kupitia uzoefu wangu nimeona jambo hili haiwezekani. Nitashare nanyi uzoefu wangu. Nimewahi kufahamiana na wadada kadhaa katika pilikapilika zangu za maisha aidha kupitia huduma anayotoa au kama mteja kwangu lakini mwisho wa siku wenzangu...
 16. M

  Video ya mwana FA ya wimbo asanteni kwa kuja haifai kuangalia na watoto

  Video hii ina wanawake waliovaa bikin sana kiufupi haifai kwa maadili ya watanzania, naomba basata iangalie upya video hiyo sio lazima tuwe kama wazungu kwa kila kitu inakera sana
 17. M

  Mwana JF ulimpendea nini mwenza wako?

  Nawasabahi wanajf wote! Sina shaka mnaendelea vyema kama sivyo pole, chukulia ni kawaida kwa maisha ya wanadamu hapa dunia.Turudi kwenye mada, katika kutafuta wenza wengi tumekuwa na preference tofauti baadhi huangalia muonekano kama kimo, unene au ufupi na rangi . Wapo ambao kabila ni...
 18. M

  Alimpa namba yangu ya simu aje anisalimie sasa amenuna

  Wasalaam wanajf Mchumba wangu kipenzi ananishangaza sijajua hata nimueleweje! Iko hivi mchumba wangu anarafiki yake ambaye yeye na rafiki yake niliwafahamu wote wakiwa pamoja wakati tukifanya kazi kwenye taasisi moja hapa nchini. Mwanzoni nilivutiwa na huyo rafiki yake nikamtongoza hata...
 19. M

  Alimpa namba yangu ya simu aje anisalimie sasa amenuna

  Wasalaam wanajf Mchumba wangu kipenzi ananishangaza sijajua hata nimueleweje! Iko hivi mchumba wangu anarafiki yake ambaye yeye na rafiki yake niliwafahamu wote wakiwa pamoja wakati tukifanya kazi kwenye taasisi moja hapa nchini. Mwanzoni nilivutiwa na huyo rafiki yake nikamtongoza hata...
 20. M

  Alimpa namba yangu ya simu aje anisalimie sasa amenuna

  Wasalaam wanajf Mchumba wangu kipenzi ananishangaza sijajua hata nimueleweje! Iko hivi mchumba wangu anarafiki yake ambaye yeye na rafiki yake niliwafahamu wote wakiwa pamoja wakati tukifanya kazi kwenye taasisi moja hapa nchini. Mwanzoni nilivutiwa na huyo rafiki yake nikamtongoza hata...
Top Bottom