Search results

 1. S

  Katiba undecided

  Nimeambiwa humu ili topic yako iwe na viewers wengi for somehow you have to find a way to link with Zitto... hahaha. Anyway, sina haja hiyo topic yangu niliyoanzisha zaidi ya miaka mine iliyopita ndiyo inayoongoza humu wa Replies/Views. Mwanakijiji upo hapo...
 2. S

  Sam's Reloading... PART II

  Loading.... Please wait
 3. S

  Kilango sasa awageukia akina Slaa

  • Kilango sasa awageukia akina Slaa *Awataka wasiparamie hoja yake, wasubiri majibu *Asema hoja ya Commodity Import Support si mpya Na John Daniel, Dodoma MBUNGE wa Same Mashariki, Bibi Anne Kilango-Malecela (CCM), ameitaka kambi ya upinzani bungeni, kuacha kuparamia hoja yake na...
 4. S

  Karamagi awataka mafisadi wa EPA kujisafisha

  Wazee weekend imeanza SLOW DOWN... Bajeti imepita ni nyama tu Dodoma labda mwakani mtamsikiliza sam angalau kidogo.
 5. S

  Link: JK - CHADEMA

  Tuliambiwa kwamba kama JK angeshindwa katika kinyang'anyiro ndani ya CCM basi angeamishia majeshi CHADEMA na Mh. Mbowe alikuwa tayari kumpokea. Mwanzoni nilishindwa kuamini kama huo uhusiano unaweza kutokea lakini sasa nimeanza kuamini kwamba JK aliombwa kuandika sera za CHADEMA. Sera ya Ajira...
 6. S

  Naomba muongozo wa CHADEMA

  Kwa kuwa lengo la kwanza la CHADEMA wakiingia madarakani ni kuitisha mkutano wa Katiba sasa na kwa matazamo wangu nadhani kama hilo ni lengo wa kwanza basi CHADEMA haina sera kwa sasa. Kwa nini nasema hivyo, kwa mfano wananchi wakikataa mfumo wa majimbo kwenye katiba ni kivipi CHADEMA...
 7. S

  Dr. Mushemba "YOU ARE WRONG!"

  Askofu mstaafu Dkt. Mushemba Akizungumza kwenye hafla hiyo, Askofu Mkuu Mstaafu wa KKKT Dkt. Samson Mushemba alimpongeza Rais Kikwete kwa kufafanua chanzo cha mjadala huo na kusema ni salamu nzuri hasa katika maneno ya Rais kwamba ataruhusu uamuzi wenye maslahi ya Taifa. Alimshauri Rais...
 8. S

  Dk. Nchimbi tulia! Mwosha huoshwa

  Naomba nianze kwa kuomba msamaha kwa kweli kila nikisikia huyu jamaa kafungua domo lake nashindwa kulala naweweseka wiki nzima. Nchimbi, najua unapita hapa kila siku ila kwa taarifa yako tu kama Slaa ni mzushi basi wewe ni nunda. Maneno yako yanaweza kuwa ya ukweli, kama wewe ulivyompaka matope...
 9. S

  Mkapa: Lowassa was right!

  Mkapa explains rescinding of City Water contract CORRESPONDENT Arumeru FORMER president Benjamin Mkapa has defended the dissolution of a contract between the government and City Water, saying the company failed to improve the delivery of potable water in Dar es Salaam. Mr. Mkapa...
 10. S

  JK ni Nabii

  Maaskofu: Kikwete ni 'Nabii' Habari Zinazoshabihiana • Maaskofu: Kikwete ni 'Nabii' 31.05.2006 [Soma] • Maaskofu wampa mtihani Kikwete na yeye awatega 09.06.2006 [Soma] • Makamba afuata nyayo za Kikwete 10.07.2006 [Soma] Maaskofu: Kikwete ni 'Nabii' *Wasema hata...
 11. S

  Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, Tuuvunje?

  Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha. Kitu kinachonitisha ni kwamba yale mambo waliowaamulia wananchi yatapelekwa bungeni october kwa ajili ya "constitutional...
Top Bottom