Search results

 1. R

  Msaada: Ninawezaje kutatua tatizo la TV licence

  Habari wakuu! Naomba mwenye uelewa na hili anijuze. Ninatumia smart tv kwa muda sasa. Zamani wakati naichukua kutoka dukani nilikuwa na uwezo wa kuaccess apps zake kama vile youtube, netflix etc lakini baadaye sana zikawa zinagoma kufunguka na nikawa naambiwa "your tv is not licenced". Hiki ni...
 2. R

  Uchaguzi 2020 Ndugu Tundu Antipas Lissu, mgombea bora wa urais kuwahi kutokea Tanzania

  Habari kwenu waungwana. Tangu nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi hii kwa vipindi kadhaa vya chaguzi kuu. Hapa ni kwa kipindi ambapo sikuwepo ila kwa njia ya masimulizi ya kihistoria na vile vipindi ambavyo nimekuwa nikishuhudia kwa macho na masikio yangu hasa baada ya kuwa na uchaguzi wa vyama...
 3. R

  Mfugale amuokoa Kamwelwe kutumbuliwa

  Kilichotokea muda mfupi katika ukaguzi wa rais kwenye kalavati la Kayegeya linalounganisha barabara ya Morogoro na Dodoma ambalo hivi siku za karibuni limekwenda na maji hivyo kupelekea serikali kuagiza kutengenezwa daraja eneo hilo. Kwa kweli usumbufu kwa wasafiri na wasafarishaji wa mizigo...
 4. R

  Msaada wa spare ( engine SR 20 )

  Amani na iwe kwenu wadau. Natafuta spare za gari yangu Nissan Liberty 2001 Engine SR 20 Spare nazotafuta ni:- 1. Ring 2. Men and cone (standard) 3. Transwashel 4. Head gasget Nb: samahani kama nitakuwa nimekosea kuziandika majina kwa ufasaha. Mwenye nazo au ambaye anafahamu duka ambalo naweza...
Top Bottom