Search results

 1. Senator jr

  Wapi nitapata best Video graphic adapter kwa ajili ya modern PC?

  Habari ya uzima wakuu, Naomba mnishauri wapi nitapata gpu nzuri na ikiwezekana mniambie ninunue toleo gani bajeti yangu 400k asante CHIEF MKWAWA
 2. Senator jr

  Je, unawashauri nini Huawei baada ya kupigwa ban?

  Habari Wadau wa Tech! Kusema ukweli Kampuni ya simu na BAADHI ya vifaa vya kielectronics ya HUAWEI iko kwenye wakati MGUMU sana. Nanukuu moja ya Technician wa HUAWEI baada ya kuulizwa mna malengo gani baada ya kupigwa Ban alisema company told us: “Huawei has made substantial contributions to...
 3. Senator jr

  Je, utaratibu wa Serikali kutoa namba ya hundi ya mshahara ukoje?

  Habari wakuu. Hivi umeajiriwa na Serikali unacheleweshewa mshahara ukiuliza wanasema ndio wamerequest application for check no. Umeshahakiki kila kitu ndo umeniajiri how come unanicheleweshea mshahara kwa kigezo cha check no. Swali ni je ni inachukua muda gani na kigezo kipi kinqangaliwa mtu...
 4. Senator jr

  Miezi mi nne bila mshahara serikalini bora kuacha kazi

  Habari wakuu, Mtu unamuuliza HR anakwambia request ziko online subiri ziwe approved ndo upewe check no. Yamenishinda tangia mwezi wa 11 kitu ni hichohicho bora kuresign tu kazi sio serikali ni tu. Mijitu kisa yenyewe salio linasoma wengine tunaonekana hatuna maana.
 5. Senator jr

  Bodi ya mishahara kwa watumishi wa Umma waangalieni watumishi wapya

  Habari wakuu. Tunawashukuru bodi ya MISHAHARA kwa kuwa suala la mishahara kwa WATUMISHI wapya limeanza kufanyiwa kazi baadhi wamepokea salary ila si wote. Ninachoomba ni chonde chonde wapatieni WATUMISHI wote MISHAHARA kwa wakati. Natanguliza shukrani
 6. Senator jr

  TAMISEMI msituumize watumishi wa umma kwa kuchelewesha mishahara

  Ni mdogo wangu kaajiriwa hivi mwaka Jana October 2017 kada ya afya. Analalamika mpaka leo MISHAHARA hakuna. Hivi kweli sera ya good Governance inatumika vizuri? Miezi minne mtu yuko kijijini hana mshahara si bora angebaki nyumbani hadi mishahara itoke maisha yenyewe magumu kiasi hiki...
 7. Senator jr

  Usafiri wa mizigo kutoka Arusha kwenda Kigoma

  Habari wakuu. Huyu ni mwajiriwa mpya na serikali. Anaomba USHAURI kutoka Moshi kwenda Kigoma kusafirisha vitu kama furniture za ndani usafiri unagharimu KIASI gani na atumie usafiri gani. Ikiwezkana hata contact za wahusika wakuu.
 8. Senator jr

  Selemani Jafo asema taarifa za watumishi 2058 walioajiriwa imekamilika

  Habari wakuu. Jana tar 6 tamisemi walitangaza ajira mpya kutoka zaidi ya 2000. Mwenye link ya ajira hizo pls naiomba ============================== MHE SELEMANI JAFO ASEMA TAARIFA ZA WATUMISHI 2058 WALIOAJIRIWA IMEKAMILIKA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
 9. Senator jr

  Tatizo laptop kuonyesha mawimbi nikiplay videos

  Habari wakuu. Sina muda tangia niinunue hii laptop lakini hii tabia ya kuonyesha mawimbi hadi mida mwingine inazima screen.je jinsi gani nitasolve hilo tatxo wakuu
 10. Senator jr

  Jifunze kwa nini "Time travel" inawezekana!

  Habari za uzima wakuu! Watu wengi wamekuwa namaswali kuwa time travel haiwezkani. Kwa nini Hii ni kutokana na kanuni za Newton za Mwendokasi. kuwa haiwezkani kwa kuwa ili kuurudisha muda nyuma itabidi na mass nayo ibebwe ambacho ni kitu hakiwezkani mean kiko infinity. Lakini inasemekana kuwa...
 11. Senator jr

  Ila bongo tunauzia sura.

 12. Senator jr

  Dhumuni kuu la NASA kutuma keppler telescope Kwenye Anga ni lipi hasa?

  Wakuu Habari ya uzima! Nimejaribu kugoole kuhusu keppler telescope lakini sijaelewa Kwa mwenye ufahamu zaidi naomba anijuze..
 13. Senator jr

  Unasemaje kuhusu India na Unyanyasaji wa Watanzania

  Kuwa Mwaafrika nchini India: Tunaonekana kama mashetani _______________________________ Mwaka mmoja wa masomo nchini India umekuwa mgumu kwa Zaharaddeen Muhammed, 27. Anasoma shahada ya pili kemia kwenye chuo kikuu cha Noida International [University]. Kwa ni nchini Nigeria. Anasema watu wa...
 14. Senator jr

  Boss wa TAHMEED hata uagize hadi ndege kama Service ni poor bado hujateka soko

  Habari wakuu, Huu ni ujumbe maridhawa kwako boss wa TAHMEED. Kwanza kabisa nakupongeza kwa kujali soko lako. Umetuletea magari mapya mazuri ila ninachokuomba... 1. WAFANYAKAZI Naomba wafanyakazi wako wajali wateja sio ukipanda gari unskuwa kana umepanda Daladala, mfano Haiwezkani mteja apande...
 15. Senator jr

  Zijue faida za trophy point na maana yake hapa Jf

  Wakuu! Nijuzeni ni zipi hasa faida za hii kitu mazna naona zimetofautiana kati ya mtu na mtu ..
 16. Senator jr

  Kuba watu wabishi balaa cheki hii..

  Yaaani kuna watu wabishi duniani.. Kana kwamba wako watu hata akiambiwa mto huu una mamba tusivuke mtu anajiandaa na nguo zake za kuogelea anavuka.. IMAGINE Leo ifikapo saa sita usiku simu zote feki zitazimwa lakini kuna lijamaa hapa naona amenunua kifurushi cha wiki kabisaa.. IMAGINE mtu...
 17. Senator jr

  Msaada: Maswali kuhusu pharmay council

  Habarini wakuu, Samahanini wakuu nimemaliza certificate ya pharmacutical assistant mwaka jana nahitaji kuwa registered pharmacy council naomba kuuliza maswali machache. 1. Naomba kujua procedure zote za kuwa registered. 2.Nimeambiwa kuwa kuna mtihani wa Forensic exam tuna ulipia sh ngap na je...
 18. Senator jr

  Kwanini mabasi ya scandinavia yanazidi kushuka kiwango!

  Habari wakuu.. Hapo juz miaka ya 2002 hadi 10 ilikuwa poa sana .. Hizi gari ukiachana ba jina zilikuwa na huduma nzuri sana japo nauli zilikuwa ghali.. Lakini naona tangu miaka ya kikwete hali imekuwa mbaya sana zimekuwa ni kama gari za mikoani bwana.. Kama Bisi wa Scandnavia huko apa nbadilike...
 19. Senator jr

  Ijue tofauti kati ya binadamu anayefariki leo na yule atakayefariki baada ya karne moja ijayo

  Habarini wakuu.. Leo ninataka sote kwa pamoja na kwa hoja za maana tuzijadili sababu za kiinteligensia juu ya maisha ya binadamu wa karne hii na karne zijazo. Kama mada tajwa hapo juu. Natanguliza sababu na mawazo yangu.. 1.MAISHA YAJAYO YATAKUWA MAFUPI SANA.. Tukiangalia from begining binadamu...
Top Bottom