Search results

 1. G.MWAKASEGE

  Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

  Mechi ndo zimeisha leo Tunisi vs Zambia ni moja moja wakati Cameroun imepigwa moja na Gabon. Alafu Essien ndo ameshafika Angola baada ya kukwama kupata ndege toka UK kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa
 2. G.MWAKASEGE

  Kumwagwa Kwa Fedha za Ufisadi Majimboni: Wabunge "Wapambanaji" Acheni Siasa!

  Mimi kama raia fedha nachukua bse uamuzi wa kumchagua nimpendae uko ndani yangu siku ya kupiga kura!Si wana mihera ya mchezo waipeleke Kilosa!
 3. G.MWAKASEGE

  CPJ condemns "Kulikoni" suspension; demand immediate lifting!

  Ivi inakuwaje mtu mzima na akili zako unatoa maamuzi based on sheria za toka 1970s lazima uwe mwoga kama uko timamu otherwise unakaa kimya tuu as utaonekana kituko. Utu tusheria twa kikoloni kuanzia kwenye BIMA mpka mambo ya habari lazima tuvibadilishe!
 4. G.MWAKASEGE

  Kwanini wazungu husaidia haraka kwenye majanga?

  Jamani mimi sishangai maisha ya watz wengi ni maafa tuu thus mtu akiona ivyo anatake easy tofauti na wenzetu maisha yao ni shavu kwa kwenda mbele. Above all kutoa ni moyo ila uwe nacho sasa cha kutoa!
 5. G.MWAKASEGE

  Ole Naiko: Mnatuonea watu wa Monduli

  Nazani mmesahau usemi usemao"mfa maji..................."
 6. G.MWAKASEGE

  mwenyekiti wa AU JK kuwasili kenya kusaidia usuluhishi

  Mtiani wa kwanza kwa JK bila shaka. ALL THE BEST
 7. G.MWAKASEGE

  Anna Kilango na mamilioni yaliyo porwa ilikuwaje?

  Hakuna kitu kibaya kama kumtuhumu mtu bila kuwa na ushaidi mtu mzima waweza onekana mzushi bure. Kama ni kweli twaitaji testmonies tafadhali otherwise JF isiwe kijiwe cha majungu as ata HADHI yake yaweza shuka.Currently watu wengi wanajua apa ndo credible source ya info on Tz mazuri na mabaya...
 8. G.MWAKASEGE

  Rais Kikwete amwagiwa sifa toka Cameroon

  Tunayaona ya BoT, hayana mjadala kazi inafanyika na chini ya uongozi wa nani? Mbona kafara ni ya Balali tuu,na wadogo wadogo wengine -Tunayaona ya kina Lowassa, kazi inafanyika na chini ya uongozi wa nani? Infact ni shinikizo la Kamati ya Mwakyembe na Bunge otherwise ilibidi awe proactive...
 9. G.MWAKASEGE

  Kurudi kwa JF: Je, nini hatma ya umaarufu wake?

  Natumai JF itazidi kupasua anga na nawakaribisha wale wote ambao wamejoin recently. To me naona ni haki ya kila mtanzania kupata the right information at the right time ili aweze jua nini kinachoendelea ndani na nje ya Taifa la Tanzania. Mungu ibariki JF,idumu milele
 10. G.MWAKASEGE

  Just In: Fidel Castro Amejiuzulu Urais Cuba

  Cuba's ailing leader Fidel Castro has announced he will not return to the presidency, in a letter published by official Communist Party paper, Granma. "I neither will aspire to, nor will I accept, the position of president of the council of state and commander in chief," he wrote in the...
 11. G.MWAKASEGE

  Just In: Fidel Castro Amejiuzulu Urais Cuba

  Cuba's ailing leader Fidel Castro has announced he will not return to the presidency, in a letter published by official Communist Party paper, Granma. "I neither will aspire to, nor will I accept, the position of president of the council of state and commander in chief," he wrote in the...
 12. G.MWAKASEGE

  Spy satellite to plummet to the Earth

  A "large" US spy satellite has gone out of control and is expected to crash to Earth sometime in late February or March, government sources say. Officials speaking on condition of anonymity said the satellite had lost power and propulsion, and could contain hazardous materials. The White...
 13. G.MWAKASEGE

  Uchaguzi wa Kiteto: Taarifa mbalimbali

  Nini hasa kisa cha kupigwa kiasi icho may I be enlighten manake vipigo ni kama tuko Sobibo ya enzi za Hitler
 14. G.MWAKASEGE

  US Naval Bases In Africa (AFRICOM): Sababu, Pingamizi, Faida na Hasara

  Nasikia ratiba yake kwa Africa ni kama ifuatvyo Benin - Cotonou: arrival ceremony, meets president Tanzania - Dar es Salaam: meets president, tours hospital; Arusha: tours hospital, textile mill and girls' school Rwanda - Kigali: meets president, visits genocide memorial Ghana - Accra...
 15. G.MWAKASEGE

  Dr. Mwakyembe aliwahi kuwa TBS?

  Daimon na Harrison ninavyowafahamu ni mtu na mdogo wake meaning Daimoni ni mkubwa na Harrison ni mdogo wote wakiwa wanatokea Mbeya,wilaya ya kyela kijiji cha Ikolo.
 16. G.MWAKASEGE

  UDSM ndio chanzo cha mfubao wa Elimu Tz

  Ni kama mnaochangia humu labda hamjawai ishi Tz na kusoma aya mambo Tz. Kwa mtu aliyesoma na kukulia ktk elimu ya tz,Ni obvious mara nyingi UDSM wamekuwa wakiweka nguma the rising of new universities kisa Fungu, kama MU nakumbuka akina Warioba walipata shida mno kumbe ishu ni fungu!Thanks to...
 17. G.MWAKASEGE

  UDSM ndio chanzo cha mfubao wa Elimu Tz

  Ni kama mnaochangia humu labda hamjawai ishi Tz na kusoma aya mambo Tz. Ni obvious mara nyingi UDSM wamekuwa wakiweka nguma the rising of new universities kama MU nakumbuka akina Warioba walipata shida mno kumbe ishu ni fungu!Thanks to mama Mary Nagu yeye alisimamia kidete ilo naona bse mme...
 18. G.MWAKASEGE

  Who deserves credit for Lowassa's resignation?

  Problem ya CCM huwa wanazani kuwa there is nothing bad that can come out of the Opposition party ndo maana wanajikajaga. After all suala who deserves credit its common sense kuwa Media na Wapinzani since CCM sers yao ya Kulindana ndo imewadiscredit. Watumia ela za nchi kukrash hoja za...
 19. G.MWAKASEGE

  Baraza Jipya La Mawaziri hili hapa

  Frankly speaking nimekelwa na kubaki kwa Chenge na Kapuya anyway labda watajirudi.May the lord enlighten them so that they may accomplish their tactical and strategic tasks for the interest of the nation and not otherwise.
 20. G.MWAKASEGE

  Je, ni nani wanamtumia mwana JF huyu?

  Si mshangai ni hulka ya watanzania kuwa waoga,hasa kwa viongozi wao ambazo ni zama za kale tena enzi za machief sio ulimwengu wa sasa. Come back to your senses bi 50 otherwise uhuru wa mtu kuongea na kutoa chochote kile or kushare na wenzio kwa namna yoyote ile ni vyema as long as anachoandika...
Top Bottom