Search results

 1. Mushobozi

  Jaji mkuu kuapisha mawakili zaidi ya mia tatu tisini tarehe 17/12/2010

  Wajameni kwa mara ya kwanza tanzania itakuwa na vijana wengi wa kuapishwa kuwa mawakili. Huu ni mwanzo na labda ukumbusho wakati jajai huyu mkuu akiwa katika kipindi chake cha kustaafu.
 2. Mushobozi

  kweli elimu ya juu yafanywa ngumu!!!

  hapa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam jana ya tarehe 16, vijana kadhaa kama 50 walipita maeneo ya Nkurumah na maktaba wakiimba Tunataka Boom. wakati huo tulikuwa ndani ya maktaba, na hivu kuanza kuogoka kama tutapona maana move hizi zikishaanza hata kama wewe sio mmoja wao unalazimika kuwa nao; ama...
 3. Mushobozi

  Kumbe Kikwete alibanwa mbavu Butiama!

  ndio hapa nimeamua kupunguza hasira zangu kwa huyu jamaa baada ya kupata dondoo kutoka kwa RAIA MWEMA kuwa angalau alijitahidi kupiga kelele. yafuatayo ni nukuu kutoka gazeti hilo
 4. Mushobozi

  mzumbe University kugoma saa hizi mlikuwa wapi?

  ninasikia eti kuna fukutu la mgomo pale mzumbe university. kadiri ya gazeti la mwananchi la mwezi huu jumatatu ya wiki hii. mambo yanayodaiwa ni kupanda kwa ghalama ya malazi kutoka sh. 250 mpaka 500, kutozwa ela ya matibabu na caution money. nikiangalia matatizo haya kwa makini yanafanana...
 5. Mushobozi

  Ni kwa namna ipi kashfa ya BOT inaweza kuathri benki nyingine?

  heshima yenu wana JF. ni maoni yangu kuwa JF ina watu wenye vipaji na proffessions mbalimbali. mimi siko kwenye uchumi kielimu. ila baada ya kupata maoni namna ambavyo BOT imechafuka, tukianza na kashfa ya Balali, ikaja ya kuajiri vihiyo na watoto wa wakubwa wenye Hisa benki za biashara, na hii...
 6. Mushobozi

  Mzumbe University gets a New Vice Chancellor

  After a long time waiting for some changes at MU, a New Vice Chancellor has been obtained replace the former prof.Joseph Sinde Warioba. we, tanzanians would like to see the higher learning education getting effective and liberalized from one public institute alone. as we need many parties in...
 7. Mushobozi

  Wembe uliomnyoa Wassira watumika kwa Lowassa

  heshima yenu wakuu. jana ilikuwa siku ya kuanza ziara ya lowasa hapa Mbeya itakayochukua siku nane kikazi. pia ni siku ya huzuni kwake maana kama WAANDISHI huandika habari za kila mkoa vizuri, basi hamna mkoa ambao uliwahi tia fora kama huu mkoa wa Wanyakyusa, Wasafa, Wamalila, Wanyiha ambao...
 8. Mushobozi

  Mbeya waichezesha kwata CCM - Mawaziri wazomewa

  jana ilikuwa siku ya huzuni kwa CCM na viongozi wake ambao walitembelea mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kuondoa sumu ya wapinzani. msafara huo ukiongozwa na Wasira, na viongozi wengine wa CCM walipata jiwe la moto toka kwa wananchi ambao waliudhuria kwenye mkutano huo, huku idadi yao ikiwa ndogo...
Top Bottom