Search results

 1. Masanja

  Mzee Dkt. Pius Ng'wandu (Waziri wa zamani) aoa mrembo

  Binadamu wanasahau kitu kimoja. Kumchukia mwenye pesa, haimaanishi hela yake itahamia kwako! Hivi ni kwanini mara nyingi tusio na kitu ndo tunakuwa na chuki za wenye nacho? Let Mzee enjoy his life! Kila mtu mtu aishi Maisha yake. Hayo ya atakufa lini...na mengineyo hayakuhusu. Unaweza ukaondoka...
 2. Masanja

  Mbagala ni sehemu ya hovyo, unajengaje nyumba ya kifahari Mbagala?

  Mkuu umeongea kwa uchungu sana. I feel you bro :- Mpaka unawapa mifano jinsi mshua alivyopewa kiwanja na Mkapa..duh..Mji mzito sana huu! Ngoja tulioingia mjini kwa mbio za Mwenge tuendelee kujifunza kwa vijana wa mjini. Kwangu mimi bado naamini mjini ni sehemu ya kutafuta. Ukitaka uishi...
 3. Masanja

  Mzee Dkt. Pius Ng'wandu (Waziri wa zamani) aoa mrembo

  Nimeipenda hii. Kama alivyofanya J. Mengi
 4. Masanja

  Mzee Dkt. Pius Ng'wandu (Waziri wa zamani) aoa mrembo

  Mkuu siku hizi hata vijana wanachapiwa mbayaaaa!!! Kwa swala la kuchapiwa halina mzee wala kijana. Kula vyako mapema. Warithi hawana shukrani!
 5. Masanja

  Mzee Dkt. Pius Ng'wandu (Waziri wa zamani) aoa mrembo

  Mkuu kifo hakina mwenyewe. Unaweza kumtangulia vile vile. Muulize Lowassa….John Komba na Celina Kombani walimsema mzee wa watu weee...kwamba Hawawezi kupeleka maiti Ikulu. Unajua matokeo yake. Lowassa bado anapumua! Kamwe usidhihaki Maisha ya mtu. Anayetoa pumzi si CCM wala Sirro!
 6. Masanja

  Mfahamu Ginimbi wa Uingereza Tim Burton (schmee)

  Mkuu akili yako unaitambua mwenyewe. Kwa hiyo unaamini kwamba kila neno tafsiri yake ni universal? unavyoielewa maana ya neno PAGAN haina maana kila mtu/jamii wanalielewa hivo. Haya mambo ya kupangiana ukipata mpunga...sijui..toa misaada kwa Yatima, wagonjwa au fukara..ni uamuzi wa mhusika...
 7. Masanja

  Kifurushi gani unatumia kwenye simu?

  Jamani hivi kwa nini internet ya Vodacom ni so expensive? Nilikuwa naitumia lakini nimeamua kuwakimbia. Yaani internet yao ni ghali wakati kwa uzoefu wangu sioni kama wako bora kuliko Airtel au Tigo. Kama humu kuna mtu wa Vodacom atusaidie. Kwa nini vifurushi vyenu ni ghali mno? Kuna kitu...
 8. Masanja

  Lijue Ziwa Ngosi linalopatikana kwenye milima ya Uporoto, Mkoa wa Mbeya

  Afadhali umetusaidia. Maana waliokimbia shule walikuwa wameshaanza ramli chonganishi….
 9. Masanja

  Miaka 10 Kawe Barabara ni mitaro ya maji, Gwajima okoa jahazi

  …….... Unataka kuniambia kwamba majimbo yenye wawakilishi wa CCM yana hali nzuri kuliko yenye wabunge wa upinzani? Really? unaweza ukalisemea hili toka moyoni mwako? Jimbo letu tangu nazaliwa tumeichagua CCM.....na hata kipindi hiki nadhani mbunge atapita bila kupingwa. Lakini naamini ni katika...
 10. Masanja

  Miaka 10 Kawe Barabara ni mitaro ya maji, Gwajima okoa jahazi

  Mkuu Askofu kwanza ajenge Kanisa la waumini wake. Charity starts at home :cool: Vipi uko tayari kupanda Train ya Gwajima kuelekea Airport kwa ajili ya safari ya Birmingham? Au bado? Mama Tanzania ataendelea kuwepo tuu hata baada ya uchaguzi...tupendane na kuheshimiana. Pamoja sana!
 11. Masanja

  Bado natafuta mantiki ya kujenga hili Daraja la Kigongo - Busisi kwa Tshs. Bilioni 700

  I associate myself with you. Mpaka leo sijaelewa mantiki ya hili daraja. Labda ni ule msemo .....mwenye nacho huongezewa.
 12. Masanja

  Bado natafuta mantiki ya kujenga hili Daraja la Kigongo - Busisi kwa Tshs. Bilioni 700

  Kama wewe si mkazi wa kanda ya ziwa huwezi kuona umuhimu wa hili daraja. Juzi nimepita pale Busisi nilikaa masaa matatu kwa sababu ya foleni kutoka Sengerema kwenda Mwanza. Naamini hili daraja litakuwa mkombozi wetu especially tunaotumia hii barabara. Litakuwa kiungo muhimu sana kuunganisha...
 13. Masanja

  Uchaguzi 2020 Rais Magufuli kama Mbeya na Kanda ya Nyasa na Arusha mjini wanamshabikia Tundu Lissu na CHADEMA kiasi hiki, wapi utakuwa umefanya makosa?

  Thanks for sharing. Brilliant piece! Labda tuu kuongezea kidogo. Tunahitaji kubadilisha mindset za vijana/raia wetu. Tunahitaji vijana wanaojituma. Kama ulivyosema hapo juu, wengi bado tunategemea serikali ifanye kila kitu (ndo maana hata vyoo vya shule zetu inategemewa serikali ndo ifanye hilo...
 14. Masanja

  Maaskofu Niwemugizi na Bagonza wanapaswa kumpigia kampeni Lissu hadharani wasijifiche wawe majasiri kama Gwajima! Matendo yao yanaonekana

  Mkuu hizi ni siasa tuu zinapita.Usiumize kichwa. Hao maaskofu wapo na watakuwepo tuu…. Wewe pambana kutafuta mkate wa wanao na wanaokuhusu. Ukweli ni kwamba hao unaowahangaikia kutwa mitandaoni..hata uwepo wako inawezekana hawana taarifa nao. Siasa ni kitu cha ajabu sana..unakuwa busy...
 15. Masanja

  Kula ya Jacqueline Mengi hapa mjini inamtegemea Regina na Abdiel Mengi

  Mwisho wa siku mali za kurithi ni ubatili mtupu! Pambana. Tafuta vyako. Kwa sisi waAfrika..ukiwa Tajiri...ni vizuri mali zako ukarithisha kanisa, taasisi za kijamii kama mashule nk. zisaidie wenye uhitaji.....kuwaachia ndugu...mwisho wa siku unaacha lawama na ugomvi usioisha. Na kibaya warithi...
 16. Masanja

  Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

  Dada ndoa zina mengi. Baada ya kuwa na familia..nimejifunza mengi sana kwenye hii taasisi adhimu. So huwezi jua Shamim na huyo mme wake "cool" nani alikuwa ameishikilia hiyo ndoa :) Anyway kwa upande mwingine uko sahihi. Ndoa nyingi mjini zinaparaganyika kwa sababu ya uwezo na vipato. Ndo...
 17. Masanja

  Omega Ngowi: Rubani mdogo mwenye ujasiri

  Uko sahihi lakini ni vema ukakubai hali halisi. Hata kama gharama ingekuwa million mbili kwa kozi yote, bado kuna mamilion ya watanzania hawawezi na hawataweza kumudu hizo gharama. Na kwa hiyo gharama ya mamilioni uliyoonyesha hapo juu bado kuna "wakulima" wa kitanzania wanasomesha watoto...
 18. Masanja

  Mbagala Rangi Tatu, Uchafu umezidi mno

  Umetumwa na mabeberu wewe! Tutakufungulia kesi ya uhujumu uchumi..ohhh...
 19. Masanja

  Vita Janga la Corona, Rais Magufuli Aanza Kusifiwa Duniani!, Jarida la The Economist 'Lamsifu' JPM Kumtegemea Mungu!, Ni Uamuzi Sahihi?, Utatuokoa?

  Paskali nchi ngumu hii. pambana tuu mkuu..huwezi jua hata Mwigulu amekumbukwa. Otherwise itabidi vijana uwaondoe private.....
 20. Masanja

  COVID-19 ilivyobadili maisha yako

  Nilikuwa na safari ya Montreal kupitia bara la Uropa....next week..imeota mbawa.. till further notice..
Top Bottom