Search results

 1. comte

  Dr. Bagonza: Mkandamizaji wako wa jana hawezi kuwa mkombozi wako wa leo

  Mkuu nakuomba mpelekee Baba Askofu Bagonza ujumbe huu SOMO LA 96 Yesu Amchagua Sauli Sauli alikuwa raia wa Roma aliyezaliwa Tarso. Alikuwa Farisayo mwenye ujuzi mwingi wa Sheria ya Kiyahudi, na aliwachukia Wakristo. Aliwakokota wanaume na wanawake Wakristo kutoka nyumbani kwao na kuwatupa...
 2. comte

  Uchaguzi 2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

  Mkuu una umri gani sasa? maana hata mtoto anajua baba hapangiwi saa ya kurudi nyumbani
 3. comte

  Uchaguzi 2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

  Mkuu aliyesaini si Mnyika ni katibu mkuu wa CHADEMA- kwa hiyo kukataa kwa Mnyika hakuleti tofauti yoyote.
 4. comte

  Mzee Dkt. Pius Ng'wandu (Waziri wa zamani) aoa mrembo

  Mkuu- huwezi kujisafisha kwa matusi ndiyo unachafuka zaidi
 5. comte

  Mzee Dkt. Pius Ng'wandu (Waziri wa zamani) aoa mrembo

  Wivu wa kike ndio unaokuhangaisha- sibiri akifa uoe mjane
 6. comte

  Tetesi: Suala la Viti Maalum kuna usaliti unaotaka kufanywa na Wanawake wa CHADEMA

  Kusema uchaguzi haukufanyika ni jaribio la kutaka kusema kwamba waliokuwa wabunge bunge la 11 waendelee mpaka uchaguzi mpya utakapofanyika ikimaaanisha kuwa Mbowe et al watarudi bungeni- jamani kushindwa kubaya
 7. comte

  Mkoa wa Mwanza na changamoto zake: Usafiri jijini ni kikwazo kikubwa

  wewe utakuwa ulienda kuiba kuku kwao na Mongella pale kabangaja ukakamatwa. JPM kesha sema hateuwi wapya labda washindwe au wajiuzulu wenyewe
 8. comte

  Rais Magufuli anatakiwa kutengua uteuzi wa Waziri Mpango na Waziri Kabudi kwa kuwateua kabla Waziri Mkuu hajapatikana

  Mkuu tuko kwenye enzi ya ANTI- ESTABLISHMENT ambazo zinachelewesha mambo kwenda
 9. comte

  Rais Magufuli anatakiwa kutengua uteuzi wa Waziri Mpango na Waziri Kabudi kwa kuwateua kabla Waziri Mkuu hajapatikana

  Mkuu hizo nituhuma nzito sana- ila kumbuka kuwa ni ngumu sana kutafuta lini usiku unisha na lini mchna unaanza wakati mwingine huamuliwa na jua liko wapi
 10. comte

  Rais Magufuli anatakiwa kutengua uteuzi wa Waziri Mpango na Waziri Kabudi kwa kuwateua kabla Waziri Mkuu hajapatikana

  Mkuu-Uwaziri mkuu, Uwaziri, na Unaibu Waziri unakoma pale Rais mteule anapoanza kuapa article 57 (1) (2) CURT (1977) (2) The Office of a Minister or a Deputy Minister shall become vacant upon the occurrence of any of the following: (a) if the incumbent resigns or dies; (b) where the incumbent...
 11. comte

  Rais Magufuli anatakiwa kutengua uteuzi wa Waziri Mpango na Waziri Kabudi kwa kuwateua kabla Waziri Mkuu hajapatikana

  55. (1) All Ministers who are members of Cabinet by virtue of Article 54 of Ministers shall be appointed by the President after consultation with the Prime Minister and and Deputy they shall be responsible for such offices as the President may, from time to time, (2) In addition to the...
 12. comte

  Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Nassor Mazrui aachiwa kwa dhamana

  Mkuu wanasiasa nao ni raia pia
 13. comte

  Mwili wa Khalid, Askari aliyeuawa Pemba Oktoba 28 wapatikana

  Mkuu jikumbushe https://www.bbc.com/news/world-africa-35965760
 14. comte

  Jenerali Ulimwengu: Hakukuwa na Uchaguzi huru na haki

  Nani Jenerali Ulimwengu- Mkuu huyo hata kabla hajasema tunajua hawezi kuisema serkali ya Tanzania vizuri.
 15. comte

  Mwili wa Khalid, Askari aliyeuawa Pemba Oktoba 28 wapatikana

  Mkuu pole sana maana mlango wa kwenda ikulu kupitia ICC ulishafungwa. Uhuru Kenyatta na Ruto walisingiziwa wakapelekwa huku na wachochezi aibu yao ikawakuta. Leo Kenyatta na Ruto wako ikulu.
Top Bottom